MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO TPRI & TCAA

Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanya usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Wasailiwa wa kada ya?AIR TRAFFIC MANAGEMENT OFFICERS II wanatakiwa kuzingatia tarehe za usaili wao wa Practical kama zilivyoainishwa kwenye tangazo hili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (Mask)