Iringa Urban District is one of the five districts of the Iringa Region of Tanzania. It is bordered to the north, east, and west by the Iringa Rural District and to the south by the Kilolo District.
According to the 2012 census, the population of the Iringa Urban District was 151,345.
Job Vacancies details and Mode of Application-View or Download Attached PDF File
OTHER NEW JOBS
YAH;OMBI LA UTENDAJI WA KIJIJI KATIKA HALMASHAURI YAKO.
Mim ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 22 nimehitimu kidato cha 4 mwaka 2014 na nimehitimu mafunzo ya utunzaji wa kumbukumbu katika huo cha utumishi wa umma tawi la tanga tpsc 2016
Naomba nafasi tajwa hapo juu niwez tumia taaluma yangu kwa maendeleo ya nchi yangu
Nipo tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote
HERBET TULO YAMBAZI
SIMU; 0789606708 AU 0627221011
YA H:OMBI LA UDEREVA mm kijana wakiume nina umri wa miaka 22 elimu yangu ya msingi nimemaliza 2011 nimesomea udereva nina cheti cha driving leseni yangu no class A,B,D,E hivyo niko tayali kufanya kazi sehem yoyote kwa maendeleo ya taifa A sante
Mimi ni kijana wa kiume Nina umri wa miaka 24 ninaomba nafasi ya Afisa utendaji wa kijiji katika halmashauri yako nimehitimu shahada ya uongozi wa biashara Katika chuo cha saut tabora ntashukuru ombi langu likikubaliwa