JKT KWA MUJIBU WA SHERIA 2019| LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICES

JKT Kwa mujibu wa sheria

JKT Kwa Mujibu wa sheria 2019 | Waliochaguliwa JKT Kwa mujibu wa Sheria 2019 | Majina ya waliochaguliwa JKT Kwa mujibu wa sheria 2019 | Majina ya JKT Kwa mujibu 2019 | www.jkt.go.tz | JKT kwa mujibu awamu ya pili | Form six JKT  Kwa

LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICESNational service is a system of either compulsory or voluntary government service, usually military service. Many young people spent one or more years in such programmes. Compulsory military service typically requires all male citizens to enroll for one or two years, usually at age 18 (later for university-level students), while voluntary national service requires only three months of basic military training.
National Service was established on 10th July 1963 emanating from the ideas of the Father of the Nation, the late President Julius K Nyerere who once said ” National Service is the demand made by the Nation on youth and youth response in fulfilling their duty in building the Nation”.

The National Service was established by the National Service Act to bring together the youths of Tanzania for the following purpose:

 • Work together in order to build the sense of nationalism.
 • Develop cultural and sociological awareness.
 • Provide skills, build economic independency, and reduce unemployment.
 • Train and develop the youth for national service and assist the government during natural disasters and calamities.
 • Build and develop the national economy.
 • Provide military training for national defense.

The Following are the official list of students selected to join Different  JKT camps.You can Download The PDF File To view Full Information,Requirements,  and the day of Report to All Camps(VIEW PDF FILE).

VIEW OR DOWNLOAD PDF FILE —-LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICESDOWNLOAD PDF FILES BELOW AU  INSTALL  APP  YETU( KUANGALIA MAJINA KWA URAHISI ZAIDI)

Bonyeza Hii Picha Hapa

JKT Rwamkoma-Mara

JKT Msange-Tabora

JKT Bulombora-Kigoma

JKT Kanembwa-Kigoma

JKT Mtabila –Kigoma

JKT Ruvu-Pwani

JKT Mpwapwa-Dodoma

JKT Makutupora-Dodoma

JKT Mafinga-Iringa

JKT Mlale-Ruvuma

JKT Mgambo-Tanga

JKT Maramba-Tanga

JKT Makuyuni-Arusha

JKT Itaka-Songwe

JKT Lua-Rukwa

JKT Milundikwa-Rukwa

JKT Nachingwea-Lindi

READ ALSO :

About unistoreTZ Media 2973 Articles
Unistoretz is the innovative education platform, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle branding which provides studying materials for students and Opportunities. All Education Announcements, Jobs Advertisements, Scholarships, studying materials and Other Opportunities Published In this Website are From their Original Sources&Their Trusted Sources.Copyright to the materials remain with the actual owner of the content.

56 Comments

  • Na mm nataka kujiunga kwenda kwenye mafunzo ya jeshi Niko chuo mbeya ila kwa sasa siko chuo Niko nyumban chuo narud mwez wa Tisa naomba nijiunge na jeshi kwa ajiliya mafunzo

  • Niliahid kujiunga na mafunzo nkimalza chuo kama tulivyoelekezwa mwaka 2014. Nmetuma barua mwezi wa NNE nwaka huu kuomba kupangiwa mafunzo haya ya mwaka huu Ila sijapangiwa. Kama inafaa basi tupangiwe mana ni muhimu kwa ambao hatukuyapata tulipomalza kidato cha sita

 1. Nahitaji kujiunga naomba mnichague jaman mm aggrey nimemaliza form four mwaka 2017 saiv Niko chuo nilichagliwa na serikal koz ya utabibu diploma ila Niko nyumban kwasababu maalumu ila natakakujiunga jeshi kwanza

 2. Ni vizuri watoto wanaomaliza advance wajiunge na jeshi ili wafundishwe uzalendo

 3. Ni mtanzania mkazi wa dar es salaam nimeitim kidato cha nne mwaka 2009. ivyo mm na umriwa miaka 32 niziefu asa kazi za netweck, udeleva

 4. Kwa maagizo ya vifaa mlivyovitoa mzazi mwingine hana uwezo wa kuvipata hivyo vifaa kwa uharaka kama mnavyojua Hali ya maisha mnatusaidiaje? Na mtoto mwenye matatizo ya kiafya ambaye hatoweza kufika jeshini turipoti wapi? Msaada tafadhari

 5. Jina langu naitwaa Damian Joseph mwita nimesomea mwanza sec PGM naomba NA mm kujiunga jkt kwa ajili ya kulijenga taifa katika post za pil ntashukur kama mtanichagua asante

 6. Nimemalz kidato cha sita mwaka 2019 bwiru boys nawish kujiunga na jkt hvyo naomba awamu ya pili mnichague

 7. jaman nina mdogo wangu kashamaliza kidato cha sita mwaka huu 2019 je taratibu zipoje ili na yeye apate nafasi ya kujiunga

 8. Naomba msaada sina uwezo wa nauli na vifaa kwani ni mapema mno na siku chache zimebaki nifanyeje?

  • Naitwa priscka meckisoni masaki nime hutimi kidato cha nne mwaka jana 2018 nimepata four napenda jeshi na Mimi naomba nafasi za kujiunga na jeshi katika mwaka 2019 nipo tayari kulitumikia taifa .

 9. Mimi pia ni mwanafunzi nliehitim advance mwaka huu 2019 combnation ya science nahtj kwenda kujenga taifa jkt .naomba fursa hiyo kama uwezekano upo .

 10. nia na malengo ya kujiunga na jkt yapo ila sijapangiwa jaman na nimemaliza six 2019 nifanyeje ili nishiriki mafunzo hayo?

 11. kama hjaona jina lako na unataka twanga hapa kwa fac chap nktmie jina lako na kamb au jnsi ya kuapply kama unataka
  @SNIX:G 0658823849

 12. Nimekosa nafasi ya kujiunga na mafunzo ya jkt kwa awamu zote mbili…hata nilipojaribu kwenda makao makuu pia nikakosa….sasa nilikuwa nauliza haitaweza kunisumbua huko baadae katika masuala ya labda kujiunga na jeshi au kutafuta kazi katika taasisi za kiserikali……Alafu katika uchaguzi wenu kuna baadhi ya wanafunzi hawatajiunga…sasa mtatusaidiaje sisi tunaotaka kujiunga Alafu nafasi hatujapata..?

Comments are closed.