41 Jobs Opportunities at Management and Development for Health (MDH)

MDH Tanzania jobs

Management and Development for Health (MDH),Jobs Vacancies at Management and Development for Health (MDH), Nafasi za kazi Tanzania, Ajira mpya leo, Ajira mpya Tanzania, Jobs in Tanzania

 
Management and Development for Health (MDH) is a non-profit, non-governmental organization whose primary aim is to contribute to address public health priorities of the people of Tanzania and the world at large. These priorities include: communicable diseases such as HIV/AIDS, Tuberculosis and Malaria; Reproductive, Maternal, New-born and Child health (RMNCH); Nutrition; Non-Communicable Diseases of public health significance; as well as Health System Strengthening.
MDH strongly believes in and works in partnership with various local and global institutions, Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MOHCDGEC); President’s Office Regional Authorities and Local Government (PORALG); donor agencies; academic and non-academic institutions; implementing partners; civil society, community-based and faith-based organizations and others. All job positions require significant field work and travel up to 80% of the time.

MDH don’t have any agents and don’t charge any fees or commission or any payments to the  interested candidates. MDH seeks to recruit qualified individuals to fill in vacancies in the regions:
TO APPLY:
Interested candidates for any of the above positions should submit an application letter indicating clearly the position applied for, a detailed copy of their CV, and names and contact information (email addresses and telephone numbers) of three work related referees. MDH don’t have any agents and don’t charge any fees to the interested candidates. Applications should be submitted by 30th July, 2019, to the Human Resource Manager through e-mail hr@mdh-tz.org or dropped by hand at the MDH Head Office in Mikocheni, along Mwai Kibaki Road, Plot No. 802.

Bonyeza hapa—KUJIUNGA NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM

Kindly note that only shortlisted applicants will be contacted.

 

SEE ALSO

Internship Opportunities at Ubongo Kids

TCU Tanzania | Tanzania Universities | Tanzania Universities Admission

Total
0
Shares
60 comments
 1. Im à student of medical laboratory Technition i was read the letter and im understant,

   1. Naitwa Regnald naomba nafasi ya kazi ya ukusanyaji data mkoa wa arusha au Kilimanjaro

   2. Mm naitwa yussuf Hamad makame nimesoma clinical officer ngazi ya diploma naomba kazi na nipo tayari kufanya kazi kwa moyo wangu wote na popote pale nitaridhia kufanya kazi

   3. Mm naitwa yussuf Hamad makame nimesoma clinical officer ngazi ya diploma naomba kazi na nipo tayari kufanya kazi kwa moyo wangu wote na popote pale nitaridhia kufanya kazi namba zangu +255621104547

  1. Naitwa Happyness Mwasha, naomba kazi ya ukusanyaji data mji wa Moshi mawasiliano yangu ni 0654539789,

 2. Naitwa Badru Bashir naitaji kazi ya ukusanyaki data mikoani Tel +255 754 515 881

  1. Naitwa Elizabeth John Mbusule, naomba kazi ya ukusanyaji data mkoani wa Mwanza,Simiyu au Shinyanga
   Ninataaluma ya utunzaji wa kumbukumbu za Anya ngazi ya Cheti
   Simu :0746226308 ,0624140846

 3. Naomba nafasi yakukusanya data nipo uyole -mbeya
  Mawasiliana 0765118911/0621574542

 4. Nataka kazi ya ukusanyaji data mkoa wa simiyu nmehitimu stashahada ya uuguz na ukunga. 0743157876

 5. Kwa majina naitwa David Charles,Nipo Mkoani Mwanza.
  Nimesomea taaluma ya uhudumu wa afya ngazi ya jamii( COMMUNITY HEALTH WORKER)
  Naomba kazi ya ukusanyaji Wa Data.
  Natanguliza shukrani za dhati kama ombi langu litafanyiwa kazi.
  Mawasiliano yangu ni
  0757520874.

 6. Naomba kazi ya Kukusanya ka Data Mkoa wowote. Ila itakuwa vizuri zaidi Mkoani Dar es Salaam, Dodoma na Singida.

 7. Naitwa Hamza Mahmoud Said nahitaji kazi ya ukusanyaji data, mkoa wowote nitakuwa tayari kwenda.
  +255657399870
  +255620470569

 8. KITOSI MOSES B.
  Namba kazi ya ukusanyaji data mikoani..au mkoa wa dar
  Simu no 0719123725

 9. Naomba niwe miongoni mwa vijana watachaguliwa kujiunga katika ukusanyaji wa data

 10. Mm Marco nicodemas simbila ninaomba kazi ya ukusanyaji data mkoa wowote ule elimu diploma in education

 11. Naitwa musa dominico nimesoma kozi ya uhudumu wa afya ngazi ya jamii (community health) ninaomba kazi ya ukusanyaji wa data mkoa wowote nitakaopangiwa. Natanguliza shukrani za dhati kabisa.Asante. 0753661539

  1. Naitwa stanley nimesomaea health management dipllomma levelnaomba nafasi ya ukusanyaji data kwwenye mmkoa wowote tanzania mawasilianno 0767432586;0656524614

 12. Naitwa Bakari S Mshengeli naomba kazi ya ukusanyaji wa data mkoa wowote 0675527898/0768727640

   1. Mimi ni Lazaro Staphord, Ninaomba kazi Mimi nimesomea kozi ya uuguzi na ukungu

 13. I request for job of data collection at kibaha, Coast region or any other region in Tanzania.

 14. .naitwa Amani Vuriva
  .umri miaka 25
  .elimu kidato cha nne, basic certificate in community health
  .nipo mkoa wa Tanga
  .naomba nafasi ya kazi ya ukusanyaji wa data nashukuru sana

 15. naitwa happyglory lasseko naomba kazi ya ukusanyaji data mkoa wa mbeya na songwe nimehitimu stashahada ya uuguzi na ukunga .thank u

  1. Naitwa otavina laulence dunda naomba kazi ya ukusanyaji wa data mkoa wa iringa elimu kidato cha 4 pia nimesoma nursing atentant

   1. NAITWA NANAI K MASATO ELIMU FORM SIX NIPO MARA NAOMBA NAFASI YA KUKUSANYA DATA NITAKUA PAMOJA KUONESHA USHIRIKIANO KAMA NIKIITWA

 16. Naitwa Huruma Hasunga nipo songwe naomba kazi ya kukusanya data nimehitimu diploma nirashukru kama ombi langu litafanyiwa kazi Mungu awabariki.namba zangu za simu ni 0765859195

 17. Naomba kazi ya ukusanyaji wa data mkoa wa mbeya na songwe nimesomea stashahada ya uuguzi na ukunga p iraqia nina cheti cha counceling of hiv and family planin pia nimesomea compyuta v iraqizuri no 0753968053

 18. Niko chato naomba kujusanya data mkoa wa geita elimu diploma in education

  1. Naitwa frida mtui elimu diploma in record naomba kazi ya kukusanya data mkoa wowote mawasiliano 0717733451

 19. Kwa majina naitwa Samwel Maguga,nimemaliza diploma ya uhasibu.Naomba kazi ya kukusanya data ktk mkoa Mara na nipo tayari kufanya kazi ktk mikoa yote ya Tanzania.Kwa mawasiliano zaidi piga 0766 650870 au 0683 292053

  1. Naitwa SUZANA LUKA nimemaliza diploma ya Procurement and Logistics Management nipo Dar es salaam naomba kazi ya ukusanyaji wa data
   No.0718589846 au 0655310075.

 20. Naitwa Asifiwe Clemence Nimemaliza Diploma ya Procurement pia ninajua kutumia computer kwa ufasaha Naomba kazi ya ukusanyaji data nipo tayarii kufanya kazi MKoa wowote Asante kwa sasa Niko Njombe

 21. naitwa thobias james…,nimesomea kozi ya information technology(IT)…naomba nafasi ya ukusanyaji data mkoa wa dar es salaam….,0622758784

 22. Mm naitwa yussuf Hamad makame nimesoma clinical officer ngazi ya diploma naomba kazi na nipo tayari kufanya kazi kwa moyo wangu wote na popote pale nitaridhia kufanya kazi namba zangu +255621104547

 23. Joseph kiganza elimu formsix. Naomba nafadi ya ukusanyaji data mkoa wowote morogoro ,tanga na Dsm

 24. Joseph kiganza elimu formsix. Naomba nafasi ya ukusanyaji data mkoa wowote morogoro ,tanga na Dsm
  Email:josephkiganza@gmail.com
  Phone.0758285204

 25. Joseph kiganza elimu formsix. Naomba nafasi ya ukusanyaji data mkoa wowote morogoro ,tanga na Dsm
  Email:josephkiganza16@gmail.com
  Phone.0758285204

 26. Naomba kazi ya ukusanyaji data nipo kigoma,elimu yangu ni diploma ya ustawi wa jamii.

 27. Naomba kazi ya ukusanyaji data nipo kigoma,elimu yangu ni diploma ya ustawi wa jamii.Nipo tayari kufanya kazi nanyi na katika mazingira yoyote,: Phone-0746084105

 28. naitwa evance Charles nimesomea certificate IN Health Administration ninaomba kazi ya ukusanyaji data itilima mkoani simiyu namba yangu ni 0687 409646 au 0754 437780

 29. I would like to get this position in data collection so as to serve for the society and the organization as well…. My name is Mussa Dassa please canbi get this Position

 30. Mimi nkwimba Edward naomba kazi ya ukusanyaji wa data mkoa wa shinyanga au mkoa wowote mtakaopangiwa niko tayari
  Nimesoma (community health)

 31. Naitwa Furaha Andrea. Naomba kazi ya kukusanya data mkoa wowote hapa Tanzania. Nipo Dodoma. mawasiliano 0759349361

 32. Naitwa KIYAGO PHILIP NKUBILE nimesoma kozi (community health) naomba kazi ya kukusanya data mkoa wowote,mawasiliano 0765677896,kiyagonkubile@gmail.com

 33. Naitwa farida jerome nimesoma kozi ya (community health)naomba kazi ya kukusanya data mkoa wowote, mawasiliano 0628045810

 34. Naitwa Elizabeth John Mbusule,naomba kazi yaukusanyaji wa data mkoa wa Mwanza,dar alesam,au mkoa wowote. Niko Mwanza nimesomea utunzaji kumbumbu ngazi ya Chet :0746226308 / 0624140846

 35. Naitwa Elizabeth John Mbusule,naomba kazi yaukusanyaji wa data mkoa wa Mwanza,dar alesam,au mkoa wowote. Niko Mwanza nimesomea utunzaji kumbumbukumbu za afya ngazi ya Chet
  Simu
  :0746226308 / 0624140846

 36. Naitwa Andrew samwel mbuya kutoka Moshi elimu yangu ni kidato cha sita naomba nafasi ya kukusanya data mkoa wowote naahidi kua mwaminifu asante telephon number 0789027431

Comments are closed.

Previous Article
AUC-UNDP African Young Women Leaders Fellowship Programme 2019

Fully Funded : AUC-UNDP African Young Women Leaders Fellowship Programme 2019 at UNDP Headquarters in New York or in a regional or country office

Next Article
nmb jobs 2019

Jobs Vacancies at NMB Plc. Northern Zone, Direst Sales Staffs (DSS)

Related Posts