The National Bureau of Statistics (NBS) has been established as an autonomous public office by the Statistics Act, 2015 and has the mandate to provide official statistics to the Government, business community and the public at large. The Act also gives NBS the mandate to play the role as a co-coordinating agency, within the National Statistical System (NSS) to ensure that quality official statistics is produced. Before the enactment of the Statistics Act of 2015, the NBS was one of the Government Executive Agencies which was established on the 26th March, 1999 under the Executive Agencies Act, 1997.
VISION
To become a one-stop centre for official statistics in Tanzania.
MISSION
To produce quality official statistics and services that meet needs of national and international stakeholders for evidence based planning and decision making.
Temporary Job Opportunities at The National Bureau of Statistics (NBS)
Thanks for this
Naitwa Lameck devid petro, nimehitimu kidato cha nne 2017, naomba nafasi ya kazi ya ukusanyaji takwimu.ntashukuru endapo ombi Langu litakubaliwa na kutekelezwa.
Keep it up
Mimi naitwa Eward Zake nina umri wa miaka 19 naomba kazi ya kujaza data
Ninaomba kazi ya kukusanya data kwenye shirika lenu natumaini mtanikubaria nimemaliza kidato cha sita mwaka huu
Mim ni joel Narock naomba kazi ya kukusanya data nimehitimu kidato cha sita mwaka huu
Mimi naitwa Martha Herman ninaumri wa miaka 24 elimu yangu ni kidato cha nne ninaomba nafasi ya kazi ya kukusanya data
Mimi naitwa Safulo Masika naomba kazi ya kukusanya taarifa hapo ofisin.
Naomba nafasi y ukusanyaji was taarifa ndani y shirika lenu ninavyo vigezo vyote kulingana na tangazo lenu
Andika barua ya maimbi sasa sio kikomment kweny rangazo
Naitwa Nora Novaty Lugemeleza. Nimehitimu elimu yangu ya diploma katika Chuo cha maendeleo ya jamii Rungembe. Naomba kazi ya kukusanya takwimu. natumaini ombi langu litafanikiwa hasante.
Naitwa Nora Novaty Lugemeleza. Nimehitimu elimu yangu ya diploma katika Chuo cha maendeleo ya jamii Rungembe. Naomba kazi ya kukusanya takwimu. natumaini ombi langu litafanikiwa hasante.
naitwa amina mzuzu
Naitwa HAMIS OMARY BAD naomba nafasi ya kukusanya data, nina umri wa miaka 20, elimu yangu ni ngazi ya chuo certificate
I am a Water and Civil Technician, I
Naitwa pendo Marco nimehitmu chuo cha medical attendant naomba kazi ya kukusanya data no0757363371
Kwa majina naitwa stanley steven bunuma nimuitu wa elimu ya form four baada ya hapo nilijiunga nga chuo cha udeleva na nina lesen ya A,B and D, na nilifanikiwa kupata certificate ya ufundi wa umeme wa magali. Naomba kazi ya udeleva .
no: 0654112015
Naitwa Hilgat Mngazija nmehitimu diploma ya recording management and information studies ktk chuo cha SLADS bagamoyo naomba nafasi ya kukusanya data ktk project yenu… Kwa mawasiliano 0692977959/0654927343
Naomba kazi ya ukusanyaji data ,nishawahi kufanya field ya ukusanyaj data
Naitwa Dorcass mallya, ni msichana wa kitanzania Nina umri wa miaka 19 elimu yangu ni ya kidato cha nne, ninaomba Nafasi kazi katika project yenu ya kukusanya data
Mawasiliano; 0782807790
Kwa majina naitwa Abdullatif Ally kassim. Nimuhitimu wa kidato cha nne, vile ni muhitimu wa ngazi ya takwimu chazi ya cheti yaani certificate kwenye chuo cha takwimu Afrika mashariki na kati kilichopo changanyikeni pia nina uzoefu wa kutosha wa ukusanyaji data.natumai ombi langu litapokewa kwa mikono mikunjufu.no 0672202772
Naitwa Vedness ponsian, Nina umri wa miaka 22 ni mtanzania nimehitimu elim ya ngazi ya certificate. Naomba kazi ya kukusanya data kwenye shirika lenu. Ntashukuru sana ombi langu likikubaliwa. No 0762201135.
Naitwa Winnie Mkali, ni mtanzania wa umri wa miaka 24.Nimehitimu elimu ya ngazi ya degree katika chuo cha usimamizi wa fedha(IFM). Naomba nafasi ya kazi ya kukusanya taarifa katika shirika lenu.Natumaini ombi langu litakubaliwa.
Mawasiliano; 0788070868/0719065875.
Naitwa BARAKA kyabusha . nmemaliza diploma . Nina umri wa miaka 23. Nanaomba kazi ya ukusanyaji wa data na pia nnauzoefu wa kutumia computer kwa ajili ya kuingiza data na mengine mengi .
Nitashukuru endapo ombi langu litapokelewa .
0683572889
mim naitwa Dennis somela nimemaliza kidato cha nne na kijiungaa Chuo cha uuguzi kozi ya community health ngazi ya Chet na nmeitimu vizurii naomba kazii katka shirika lenuu 0658355443
i don’t understand things hereby, because most of us we do post or apply through this portal while we’re supposed to apply online
we’re supposed to know how to apply online
thanks and regards
Enock
naitwa Yona Ngailo ,naomba kazi ya kukusanya data Niko songwe ,Niko chuo ngazi ya certificate .
Naitwa chacha Joseph Paul ni mzaliwa wa mkoa wa mwanza naomba kazi ya kukusanya data katika taasisi yenu ,nimehitimu kidato cha nne ,pia chuo cha ufundi ngazi ya pili katika fani ya umeme wa magari,kwa mawasiliano zaidi napatikana kwa njia ya anuani box 2003 nyamagana mwanza ,josephchacha [email protected]
Mimi ninaotwa Denis chambogo magnus elimu yangu ni kidato cha sita naomba nafasi hii ya kazi kukusanya data
Kwa majina naitwa Mary claud mahimbali, elimu yangu ni kidato cha NNE, ninaomba kazi ya kukusanya data , umri wangu ni miaka 25, natumaini ombi langu litapokelewa, mawasiliano yangu ni 0674263502
Ninaitwa Denis chambogo magnus elimu yangu ni kidato cha sita nina umri wa miaka 22 ,ninaomba Nazi ya kukusanya data kwani ninaufanisi wa kutosha katika masomo ya takwimu namba zangu za simu ni 0658941142/0756520499
kwa kina naitwa Hawa jumanne Rajab nimuhitimu tu wa kidato cha NNE
Naitwa zaidaty nina diploma ya Afisa uhusino nimemaliza mwaka huu ninaomba kazi ya kukusananya Data
Naitwa rehema Paul… Elimu yangu ni stashahada ya ukutubi na ukusanyaji nyaraka katika chuo cha slads bagamoyo….ninauwezo wa kufanya kazi zenu bila pingamizi lolote
0686671395
Naitwa France Ngondola Nina miaka 22 nimemaliza elimu ya kidato cha sita . naomba kupata ajira ya kukusanya data . namatumaini ombi langu litakubalika
Mawasiliano
0765949612
Naitwa Hilda Mandela. Naomba kaz katika shirika lenu! Professionally me ni Mwalimu! Nimesomea siasa na lugha ya kiswahili. katika siasa nmejifunza koz nyingi ikiwemo public policy. administration na vingine vingi. Nmehitim shahada yangu katika Chuo kishiriki cha elimu DUCE, mwaka 2015 ndo mwaka nilohitimu.
Ninaitwa Hamida Yusufu Abdassy nina umri wa miaka 23 nimehitimu stashahada ya mifugo mwaka huu ninaomba kupewa kazi ya kukusanya data.Natumaini ombi langu litafanikiwa. 0716130454
Naitwa james sostenes ni mtanzania kijana mwenye umri wa miaka 20 nme htimu elimu ya information technology kwa ngaz ya chet AT UCC dodoma naomba nafas katika kampun hyo ili kwa pamoja tuweze kufanya kaz kwa ubora na umakini wa hali ya juu Akhsante 0764694403
Naitwa tatu Nina umri was miaka 25 nimtanzania halisi. Naomba kaz ya kukusanya data katika shirika lenu
Naitwa Hilda Mandela! ni muhitimu katika Chuo kikuu kishiriki cha elimu dar es salaam DUCE. naomba kaz ya kukusanya data nitashukuru endapo mtanikubalia ombi langu
Naitwa zawadi abdallah mshindo,nina umri wa miaka 23 ni muhitimu katika fani ya UMEME level 3 (VC3) mwaka huu katika chuo cha VETA kipawa Dar es salaam, Naomba kazi ya kukusanya Data.Ahsanteni natumaini ombi langu litakubaliwa kwa mawasiliano zaidi 0654322590.
Naitwa Robert T. Charles, Nina Umri Wa Miaka 23 Nimtanzania halisi. Naomba Kazi ya Kukusanya Data Nitashukuru Sana, Elimu Yangu Ngazi Ya Cheti Fani Ya Maendeleo Ya Jamii, Natumaini Ombi langu Litapokelewa. 0762022119 Au 0654523369
Naitwa Emmanuel Shaban elimu yangu kidato cha sita nina uzoefu kazini miaka 12, namba yangu 0755509127
Hello Sir/Madam,
My name is Mtemi,Hamisi , I’m 24 years older I lived in Mwanza. third year student from University of Dodoma (Udom).I’m well knowledgeable on different statistical data since I pursue the bachelor of science in environmental science. I’m sincerely interested on this project and it will be glad if I meet your qualifications.
I’m Samwel Kadelya (age 26) from Shinyanga . I’m applying for the post of data collector. I hold a bachelor degree in Arts with Education from SAUT-MWANZA.
0757411290
Naitwa Peragia Paschal nina umri wa miaka 24 nimeitimu Elimu ya Maendeleo ya jamii na ustawi ngazi Ya diploma. Ninauzoefu katika ukusanyanya wa takwimu na certificate ya utafiti nimefanya na mashirika mbalimbali likiwemo world vision Dodoma. +255764570198
Kwa majina naitwa Zubeda Haroun Abdallah,Nmehitimu chuo cha Mipango na maendeleo vijijini -dodoma.Ngazi ya diploma,na nnavigezo timilifu za uuandaaji data na ukusanyaji,hii yote ni kwa sababu na sifa nilizonazo na ufasaha wa kuzingatia mafunzo niliyopitia sehemu tofauti tofauti kwa vitendo,iliyopelekea kutunukiwa daraj A la ujusanyaji taarifa,.ASANTE NA NATUMAINI MNAWEZA KUNIPATIA NAFASI NITEKELEZE UJUZI NA MAJUKUMU YA KAZI.
Kwa majina naitwa Zubeda Haroun Abdallah,Nmehitimu chuo cha Mipango na maendeleo vijijini -dodoma.Ngazi ya diploma,na nnavigezo timilifu za uuandaaji data na ukusanyaji,hii yote ni kwa sababu na sifa nilizonazo na ufasaha wa kuzingatia mafunzo niliyopitia sehemu tofauti tofauti kwa vitendo,iliyopelekea kutunukiwa daraj A la ukusanyaji taarifa,.ASANTE NA NATUMAINI MNAWEZA KUNIPATIA NAFASI NITEKELEZE UJUZI NA MAJUKUMU YA KAZI.
Mimi ni msichana wa miaka 25. Nimemaliza kozi ya huduma za afya ngazi ya jamii (Community Health) mwaka 2016. Ninauelewa wa kukusanya taarifa hasa zinazohusu afya kwa uaminifu. Naomba nafasi hiyo.
Nimwenye uelewa wa kukusanya data na pia nitasaidia kukusanya hata kwa watu wenye ulemavu wa uziwi kwan ninafani ya lugha ya alama na pia nimemaliza form 6. Na pia nimuelewa na mwenye ujasir katk kazi. Natumai kuteuliwa na kupatiwa fursa hio
mimi naitwa ANANIA STEPHANO nina umri wa miaka 27 nimehitimu shahada ya takwimu katika mchepuo wa sayansi (Bachelor of science in Statistics in UDOM) kwa mwaka wa masomo 2017/18
You guys are required to send your request via hand writte letter the address is provided above , why do you send via comment tab, afu mnalalamika hamjibiwi follow instruction , thank you
kwamajina naitwa paschal john nimehitim kidato cha nne umri miaka 33 naomba kaz ya ukusanyaji wadata data entry nnaujuzi wakutumia computer vizuli
Naitwa Raphael Joseph (27) nimehitimu shahada ya kwanza ya Jamii na Maendleo (B.A in Community and Development Studies) at Ardhi University-DSM 2018. Hivyo ninauzoefu na ukusanyaji data kwasababu nmefanya pia Research mwaka wa mwisho wa Masomo yangu. Contact 0683970035/0768313380/0629325081
Naitwa issa zuberi,nina miaka 24 ni mhitimu kidato cha sita naomba kazi kwenye taasis yenu ya kukusanya data namba yangu ni 0717181989
Kwa jina ninaitwa frank Anatory nina elimu ya dplma ya uhasibu naomba kazi kwenye taasisi yenu ya ukusanyaji wa data. Nicheki kwa nambari 0673455482
Mimi auleria kavenga.niko tayari kufanya Kaz ya kukusanya data nauzoefu wa hali ya juu…namba yngu 0719913069
Mnaopokea watumishi mnapatikana mkoa gani
0765609056/0753212918
Naitwa Frank Jackson nimemaliza astashahada ya uuguzi na ukunga Niko tiyari kwa kazi no 0765609056/0753212918
naitwa CALVIN KISENDI umri wangu miaka 25 elimu yangu kidato cha nne naomba Kaz (NBS) niko tayar kwamazingira yoyote kuifanya kwa mawasiliano 0765707019 au 0655443927
Mimi Patrick peter Mhebela elimu yangu Ni shahada ya elimu Nina umri wa miaka 27 nauzoefu wa kutumia computer naomba kazi ya kukusanya data nitashukuru endapo ombi langu litakubaliwa mawasiliano 0683740072
Kwa majina yangu naitwa festo charles lendava ni mkazi wa arusha,nina umri wa miaka 21,jinsia ya kiume nimehitimu elimu yangu ngazi ya diploma katika chuo cha maendeleo ya jammii kilichopo mkoan arusha(monduli cdti) natanguliza shukran zenu endepo nikipatiwa nafasi kwenye taasisi yenu.wenu katika ujenzi wa taifa
Kwa majina ni Geofrey Mfungo nina elimu ngazi ya Stashahada ya Information Technology (IT), kwa uwezo na ujuzi nilioupata napenda kuomba nafasi ya kuungana nanyi katika nafasi mliyotangaza ya kuingiza data (data entry) katika taasisi yenu. Naimani nitapata nafasi ya kuungana nanyi hivi karibuni.
Kwa mawasiliano: 0659 979 385.
Naiweza kazi hii naomba nafasi
Dial: 0713138799 au 0743890445
Mimi elvira sweetbertus na umri miaka 19 nimehitimu kidato cha NNE 2017 napenda kuomba nafasi ya Kukusanya data katika shirika lenu natumaini ombi langu litakubaliwa asante. Cont 0621368000
Naitwa HUSSEIN CHILLO ninaomba nafasi ya kazi ya kujaza takwimu
Kwa majina naitwa Mangaza Mwinyi Issa ni binti wa Tanzania nina umri wa miaka 23 nina elimu ya chuo ngazi ya cheti upande Record management(masijala) na nina uzoefu nilio upata katika ofisi ya masijala ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ninaomba kazi ya kukusanya data katika ofisi yenu nina imani mtanikubalia maombi yangu. Kwa mawasiliano 0713846573 au 0672363762 Asanteni
Kwa majina naitwa Mangaza Mwinyi Issa ni binti wa Tanzania nina umri wa miaka 23 nina elimu ya chuo ngazi ya cheti upande wa Record management(masijala)na nina uzoefu nlio upata katika ofisi ya masijala ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,nina omba kazi ya kukusanya data katika ofisi yenu nina imani mtanikubalia ombi langu. Kwa mawasiliano 0713846573 au 0672363762 Asanteni.
Naitwa Ezekia Chilendu nimemaliza chuo kozi ya Community health na nina ujuzi wa computer vizur naomba kazi ya kukusanya data kwenye kampuni yenu
Namba, 0718582765
Habari naitwa habiba nina elimu ya secondary nimemaliza form four nina uhitaji wa kazi 0656600162
Naitwa Anicet Malege nimesoma procurement & logistics management naomba kazi Nina uzoefhuu wakutosha
Naitwa Penina Masatu nimehitimu shahada ya Afisa rasilimali watu katika mwaka wa masomo 2017/2018,na nilishawah kufanya kazi ya ukusanyaji data natumai ombi langu litakubalika kufanya kazi na nyie ,no.0757463306
Naitwa theresia edward nmehitimu chuo mwaka huu degree ya economics pia nimeshawai kukusanya data katika halmashauri ninaomba kazi katika shirika lenu nina miaka23 namba yangu 0754683340
Habari za mida!
Kwa majina naitwa Agrey Chang’a ni kijana wa kiume MWENYE vigezo anuai ambavyo mmeviainisha ,nina uzoefu Wa kutosha Wa kazi ya ukusanyaji takwimu na Nina elimu ya Shahada ya Sana’a na Elimu.
Natanguliza shukrani kwa kujali ombi langu.
naitwa makinda mwita Nina elimu ya diploma ya public administration kutoka chuo cha utumishi wa umma CV yangu nimewai kufanya kufanya kazi ya kujitolea katika shirika la Ni Hekima pekee mwanza. mwaka 2017 nimefanya research katika shule ya watoto yatima mwaka 2015 nimefanya field katika mahakama ya mkoa wa Mwanza ofisi ya utawala namba yangu ya simu 0763822193
Habari naitwa devotha athanas nina umri wa miaka 23 ni mhitim wa diploma in project planning and management, nina uzoefu wa kukusanya takwim nilifanya field katika shirika la watoto world vision dodoma.0762910322
naitwa fadhili misanya nimesomea sheria ngazi ya cheti naomba kazi ya kukusanya data
Naitwa Masune Mayuki ,shahada ya kwanza chuo kikuu dsm, simu namba…0765871039
Naitwa Sebastian iman nimemaliza sharada ya ualimu Nina uzoefu na data entry kwan nimefanya kazi na NIDA Full time kwa miez sita naomba nafasi ntatoa ushirikiano 0757919025
naitwa neema j. yahya, nimehitimu elimu ya chup Ngazi ya diploma ktk chuo cha ufundi arusha technical college naomba nafasi ya ukusanyaji wa data mana Nina sifa zote. kwa mawasiliano 0755 427902
Naitwa Justin danford chinkinya naomba kazi ya ukusanyaji wa taarifa.nimehitim STASHAHADA
YA UALIMU chuo cha ualimu bustani.namba zangu ni 0763921828
Would love to work with you guyys; for more experience as its the firld my studies are based on.My name is Gladys am pursuing Bachelor of arts in economics and statistics at Udsm
My name is mercy belili l have 25 years old ,l have completed diploma of secretary and management development advance at Tanzania public service college am asking job to your company my contact number is 0682201283 and my email address is [email protected]
Naitwa Elias vyabandi mhitimu wa degree ya takwimu na uchumi UDOM,napenda kupongeza kwa kazi nzuri inayofanywa na NBS TANZANIA .
ninauzoefu wa kukusanya data kwani nimekusanya data mwaka 2017 katika zoezi lililofanywa na NBS la ukusanyaji wa data 2017 mwezi wa 9, lakni pia nina uzoefu kuingiza data kwa kutumia SPSS ,
hivyo naomba kuomba kuchaguliwa ili niweze kushiliki katika zoezi la ukusanyaji wa data kwa manufaa ya TANZANIA
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI NBS
Habari naitwa nikobhili Hiliza ni mihitumu wa chuo cha kodi tanzania(institute of tax administration) nimehitimu cheti cha clearing and forwarfing agent pamoja ushuru wa forodha ,naomba niweze kushiri katika zoezi la kukusanya data
I Ephraim Kennedy a from six liver this year 18 year old I request for a job in data collection.. Hope my request will be answered positively your sincerely in building the nation thank
Naitwa Jesca Dastan,ni mhitimu wa chuo kikuu naomba kazi ya kukusanya data,mawasiliano, 0759316731ahsante
Kwa majina naitwa Nickson Gilbert (24) mzaliwa wa mkoa wa Ruvuma.Nimefika hadi kidato cha sita,napia Nina cheti Na leseni ya udereva daraja “D”kutoka VETA,cheti cha ushirika wa kikristo wa wanafunzi Tanzania(UKWATA),cheti cha ujuzi wa kutumia Tarakishi(computer), Na cheti cha masomo ya stadi za maisha(LIFE SKILLS).Ninaomba nafasi ya udereva au takwimu kwenye shirika lenu muhimu nchini,natumai urejesho kutoka kwenu.0742-331 764
Naitwa Anna M Matiko,nimesomea Business Administration, Nina Diploma.hivyo ninaomba kazi hiyo kwani ninaiweza,mawasiliano 0752410488,0654065201.
Naitwa Anitha.Akusenzius,Mwageni.
Nimesomea stashahada ya uuguzi na ukunga katika chuo kikuu cha Dodoma( nimefanikiwa kuhitimu masomo yangu mwaka huu.
Napenda kutumia fursa hii kuomba kazi ya kukusanya data katika shirika lenu.Maana ninauzofe wa kutosha kuhusu suala la ukusanyaji data.
Natumai ombi langu litapokelewa.
No.0742716283
Jinalangu naitwa Nasra Hassani ninaelimu ya kidato cha nne ninaomba kazi katika shilika lenu.Natumaini nitapat nafasi nambayangu ni 0717439166Nasra
Naitwa Pendo Mang’ondi Nina umri wa miaka 22 naomba kazi ya kukusanya data halo NBS,,elimu yangu ni ngazi ya chuo kikuu shahada ya usimamizi wa fedha.
Naitwa Einoth M Paul nina umri wa miaka 23,Nimehitimu ngazi ya stashahada ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania course Public Sector Account and Finance, Naomba kazi ya kukusanya data kwenye kampuni yako namba yangu 0753041160.
I am Selemani Hamisi Hatibu of 25 years old I ask for the job at your company . am a form four leaver on 2012 and was joined the college of community health in the part of the basic sertificate of community health oneyear.
All thanks to you.
I am a man, completed form six at central college Nateete Uganda 2008 and also have a basic technical certificate in shipping and port operation management 2014-2015 and original diploma in logistic trans[port management 2015-2017 both at Tanzania port authority BANDARI COLLEGE, Tandika, Maunda street, I have experience some different organization in Tanzania were have done a field, Tanzania port authority during in certificate and Tanzania Railway cooperation when I took diploma.
I am chosen as apply for job for you company, I will work hard toward achieving the objectives and goal.
I am preparing to be called up for any time for registration by the company; I hope that my application will receive a favorable reply from you.
Your faithfully
JOHANSEN BENETSON
0658738244
0689779151
Naitwa Elizabeth mwageni. Nina umri wa miaka 22, na ni muhitimu wa chuo cha uhasibu (Tanzania institute of accountancy) ngazi ya degree, naomba kazi ya kukusanya data Kwenye kampuni lako. Natumaini maombi yangu yatakubalika.. Namba yangu ni 0743465025
Naitwa Bisura Athumani umri miaka 23 ni mwanachuo wa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere kigamboni,nasomea Degree in Gender and Development mwaka wa pili,ningependa Kufanya kazi ya ukusanyaji data kwenye shirika la NBS,ninahakika ninaweza kwa usahihi zaidi,ntashukuru nikipata nafasi hiyo.Asanteni.0714879207.
Naitwa Josephine Michael mtaresi Nimrsomea taaluma ya ualimu na nimeitimu mwaka huu naomba kazi ya ukusanyaji wa takwimu katika kampuni yenu ni matumaini yangu ombi langu litashughulikiwa
Mawasiliano 0754618602
Naitwa Josephine Michael mtaresi Nina umri wa miaka 22,nimemaliza kidato cha nne na ufaulu wa division 3,na kwenda kusomea taaluma ya ualimu daraja A chuo cha ualimu monduli kilichopo mkoani Arusha pia Nina uzoefu wa kutumia tarakilishi na vyet ninavyo nimesoma na kulielew tangazo lenu la kazi ya utafiti naomba kuwa mmoja wa wakusanyaji wa takwimu kwenye kampuni yenu natumaini ombi langu litashughulikiwa.
Mawasiliano 0754618602
Naitwa
Naitwa Stewart Temi Mlewa Nimesomea taaluma ya katika jamii mwaka 2016-2017 naomba kazi ya ukusanyaji wa takwimu katika kampuni yenu ni matumaini yangu ombi langu litashughulikiwa
Mawasiliano 0652323570
Naitwa George Bright.Nina Elimu ya diploma ya (IT) Information Technology,CV yangu nimewahi kufanya kazi kampuni ya mawasiliano,nina uzoefu mkubwa wa kutumia computer,naomba nafasi ya kazi ya kukusanya data kwenye kampuni yenu.namba 0757398253
Naitwa Ester maximillian .nina elimu ya certificate in procurement and supplier .pia niamesomea computer na nina umri wa miaka 21ninauzoefu mkubwa wa uchukuaj takwimu niliwahi kuchukua takwimu za afya ya kampeni ya maralia .hivyo bas naomba nafsi ya ukusanyaji wa data katika kampuni yenu namba ya simu 0742971596
Naitwa kadinda Kalonga nmemaliza chuo Kikuu naomba nafas ya kukusanya takwimuu 00762582391
Naitwa zuhura Bakari ni mkazi wa Bagamoyo,Elimu yangu nikidato cha nne Mimi ni mzoefu Wa Kazi hizi nimeshafanya Katika Mikoa mbalimbali naomba nafasi ya Kazi ntashukuru ombilangu likikubaliwa. 0654395626
Naitwa Renatha George, nina umri wa miaka 30, naishi Dar es salaam, Elimu yangu nikidato cha nne Mimi ni mzoefu Wa Kazi hizi za ukusanyaji wa takwimu (Data collection) nimeshafanya Katika Mikoa mbalimbali, naomba nafasi ya Kazi nitashukuru ombi langu likikubaliwa. 0759263330 / 0714138495
NAITWA JAMES FABIAN NINA MIAKA 21..ELIMU YANGU NIYAKIDATO CHA NNE PIA NIMWANAFUNZI WA USTAWI WA JAMII NIKICHUKUA FAKATI YA MALI ASIRI WATU MWAKA PILI…NILIKUWA NAOMBA KAZI YA KUTUNZA DATA KATIKA OFISI ZENU..NATUMAINA NITAKUBALIWA
NAITWA JAMES FABIAN NINA MIAKA 21..ELIMU YANGU NIYAKIDATO CHA NNE PIA NIMWANAFUNZI WA USTAWI WA JAMII NIKICHUKUA FAKATI YA MALI ASIRI WATU MWAKA PILI…NILIKUWA NAOMBA KAZI YA KUTUNZA DATA KATIKA OFISI ZENU..NATUMAINA NITAKUBALIWA 0675903187..0623939819
Habari naitwa hapiness Jonas ni mhitimu wa Must college ngazi ya chert coz ya GIS naomba kazi ya data entry au data collection nk ila pia nimefanya kazi tofauti za ukusanyaji taarifa njombe na kabanga nikel , pia nipo na kazi ya data entry hapa ofisin namini naweza kufanya vizuri