Jobs Opportunities at the US Embassy Tanzania

Nafasi za Kazi Ubalozi wa marekani Tanzania

Jobs at the US Embassy Tanzania
U.S. MISSION DAR ES SALAAM
The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the position below.

Job Title: Telephone Operator (All Interested Candidates)
The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the position of Telephone Operator.
Basic Function: The position is the Telephone Operator in the Embassy Chancery and Annex buildings. The incumbent operates a Nortel Meridian telephone system with a computerized auto attendant. Supervised by Mailroom Supervisor.

Salary: (TZS) TSh14,241,388 – (TZS) TSh14,241,388/Per Year
Series/Grade: LE – 0605 – 4
Agency: Embassy Dar Es Salaam
Location: Dar Es Salaam, TZ
Close Date: (MM/DD/YYYY) 04/01/2019
Education Requirements: Completion of Secondary School is required.

HOW TO APPLY:
Applicants MUST follow instructions in the notice on the website: Failure to do so will result in an incomplete application.
Only Shortlisted candidates will be contacted via email.

FULL JOB DESCRIPTION AND APPLICATION CLICK HEREJobs at the US Embassy Tanzania
U.S. MISSION DAR ES SALAAM
The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the position below.Job Title: Secretary – CDC (All Interested Candidates)
The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the position of Secretary at the Center of Disease Control (CDC).
Salary: (TZS) TSh22,806,070 – (TZS) TSh22,806,070/Per Year
Series/Grade: LE – 0120 – 7
Agency: Embassy Dar Es Salaam
Location: Dar Es Salaam, TZ
Close Date: (MM/DD/YYYY) 04/01/2019


HOW TO APPLY:
Applicants MUST follow instructions in the notice on the website: Failure to do so will result in an incomplete application.
Only Shortlisted candidates will be contacted via email.

TO READ MORE AND APPLY CLICK HERE

Total
2
Shares
30 comments
  1. SULAMBA M .TWAHA 27/3/2019 12:56 Ninaomba kazi ya secretary katika kampuni yako ni mtanzania mwenye miaka 29 nimemaliza kidato cha nne 2009,nina uzoefu wa kazi miaka miwili , Nipo Tabora,Tanzania nitafurahi ombi langu likikubaliwa .Mawasiliano 0757161443 au 0763810832

 1. Naitwa abdi hafidhi in kijana was kitanzania,naomba nafasi ya kazi kitengo cha kupokea simu,ninaelimu ya kidato cha NNE na ufaulu mzuri was masomo ya English na kiswahili na mengineyo,matumaini yangu ombi language litashughulikiwa,wako mtiifu abdi hafidhi 0629778581

 2. Naitwa abdi hafidhi in kijana wa kitanzania,naomba nafasi ya kazi kitengo cha kupokea simu,ninaelimu ya kidato cha NNE na ufaulu mzuri wa masomo ya English na kiswahili na mengineyo,matumaini yangu ombi langu litashughulikiwa,wako mtiifu abdi hafidhi 0629778581

 3. Naitwa winnie Alfred Mgute, Nina umri wa miaka 24 na elimu Yangu ni kidato cha nne 2013.
  Naomba nafasi ya telephone operator, Nina uzoefu wa receptionist na cashier ktk kampuni ya butterfly hotel ndani miaka mitatu, niko tayari kuelekezwa na kufanya kazi kwa umakini. Naishi Dar es Salaam chang’ombe
  Number zangu ni 0785422604 au 0742223780

 4. Naitwa Rodger David nimehitimu elimu ya form naishi daresalaam banana nilikuwa naomba nafasi ya kazi ya kupokea simu za ofisini nitakuwa mwangalifu sana hapo ofisini nitafuata sheria na kanuni za hapo ofisini natumaini ombi langu limefikika 0714829871 au 0629817505

 5. Naitwa Rodger David nimuhitimu wa kidacho cha NNE naishi daresalaam banana naomba kazi ya kupokea simu za ofisini natumain ntafanya vizur San hapo ofisini ntafata sheria na kanuni zote za ofisini natumaini ombi langu litafika 0714829872 au 0629817505

  1. Naitwa dauson zabron ni muhitimu wa kidato cha NNE Nina miaka 21 naishi dar es salaam ninaomba nafasi ya kupokea Simu za maofsin natumaini ombi languagu litapokelewa. 0674320337

 6. Naitwa Mary Evance nimemaliza kidato cha nne nimesoma Full secretary miaka miwili na speed ya kuchapa 100 nauzohefu na kazi yng miaka 11 nauwezo wakumaliza maneno robo saa. Natumaini nifanya kazi kwa bidii sana

 7. Message:naitwa Jennifer Raphael naishi dar es salaam mbez nina umri wa miaka 18 na nimehitimu elimu ya form four naomba nafasi ya kazi katika kitengo cha secretary natumaini ombi langu litakubaliwa namba zangu za simu:0654064563

 8. naitwa kulwa salum zomola,nina umri wa miaka 25 nina elimu ya kidato cha 6! ninaomba kazi katika ya kupokea simu ofisini kwako, naimani ombi langu litapokelewa na kufanyiwa kazi!! 0659 613582, 0687 023592 asante!!

 9. Naitwa Kulwa S Zomola, mi ni mkazi wa dar es salaam, nina elimu ya kidato cha sita, nina umri wa miaka 25 ,naomba kazi katika ofisi yako kua mpokeaji wa simu kama tangazo lilivyoonyeshwa katika ofisi yako! Naimani ombi langu litapokelewa na kufanyiwa kazi, wako katika ujenzi wa Taifa K. Zomola. 0659613582, 0687023592

 10. Naitwa Saidi j Tozzo nina umli wa miaka 29 natokea bagamoyo pwana naomba nafasi ya udereva nina leseni kiras E nimesomea udeleva 0659793144

 11. Naitwa prisca Silvester nikijan wa ki TANZANIA ninamiaka 22 naomba nafasi ya kazi katika kitengo Cha kupokea simu Nina elimu ya kidato Cha nne Nina ufaulu wa masomo ya kingeleza kiswahili natumain ombi langu litashughulikiwa namba zangu za simu 0657530602

 12. Naitwa prisca Silvester nikijan wa ki TANZANIA ninamiaka 22 naomba nafasi ya kazi katika kitengo Cha kupokea simu Nina elimu ya kidato Cha nne Nina ufaulu wa masomo ya kingeleza kiswahili natumain ombi langu litashughulikiwa namba zangu za simu 0657530602

 13. Naitwa Anna Mawala nina umri wa miaka 20 nimemaliza kidato cha nne ninaishi Dar es salaam ni kijana wa kitanzania nilikua naomba kazi katika kitengo cha kupokea simu hapo ofisini naahid kuwa muadilifu na kufata kanuni zilizowekwa hapo ofisini ,namba yangu ni 0710876202 ahsante

 14. naitwa monika godfrey nina umri wa miaka 26 nimemaliza kidato cha sita ninaishi dar es salaam .naomba kazi katika kitengo cha kupokea simu hapo ofisini naimani maombi yangu yatakubaliwa kwani nitafanya kazi kwa umakini sana na kanuni nitafuata za apo ofisini namba simu 0766414744

 15. Naitwa mwanaheri Rashidi ninaumeimiaka 21 ninaelimu ya kidato cha nne naomba kazi ya kipokea simu za ofisini natumaini ombi langu litakubaliwa. 0716529590

  1. SULAMBA M. TWAHA 27/3/2019 Ninaitwa Sulamba M Twaha ninaomba kazi ya secretary katika kampuni yako nina diploma ya secretary nina umri wa miaka 29 nina elimu ya kidato cha nne nina uzoefu wa kazi miaka miwili nina tumaini ombi langu litafanyiwa kazi mawasilano 0757161443 au 0763810832

 16. Naitwa mwanaheri Rashidi, ninaumri wa miaka 21, ninaelimu ya kidato cha nne nina ufaulu wa masomo ya kiswahili na kingereza, ninaomba kazi ya kupokea simu za ofisini. natumaini ombi langu litakubaliwa ,0716529590

 17. Naitwa Happy Lupogo. Nina miaka 23 .Nina elimu ya kidato cha sits. Ufaulu wangu wa kibgereza na kiswahili ni nzuri. Naomba kazi ya mpkeaji simu nitaifanya kwa umakini na uaminifu.Naamini nitakubaliwa. 0755770539 .

 18. Jina langu ni Yusuph a Yusuph, ni Kijana wa kitanzania, Nina afya njema, Nimemaliza kidato cha nne baadae nikajiunga na chuo cha ufundi stadi Veta Tanga nikasomea Umeme. Baadae nikasomea udereva .natafurahi kama nitapata nafasi hii. 0673823930

 19. Naitwa Fatma Juma Mustafa ni kijana wa kizanzibar nina miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne , vile vile nina diploma ya procurement and supply.Naomba nafasi ya kazi ya kupokea simu katika ofisi yako nitafanya kazi kwa moyo wote na uangalifu wa hali ya juu.matarajio yangu ombi langu litazingatiwa kwa moyo wa huruma namba yangu 0776721021

 20. Naitwa Kulwa Salum Zomola, Nina elimu ya kidato cha nne, naomva kazi ya kupokea simu za hapo ofisini, naahidi nitafanya kazi kwa bidii. Naimani ombi langu litakubaliwa na kufanyiwa kazi. 0659613582, 0687023592

 21. MAOMBI YA KAZI YA UDEREVA.
  Ndugu, Husika na kichwa cha habari chajieleza hapo juu.
  Mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 32, Elimu yangu kidato cha nne pia nmesoma chuo cha NIT nina uzoefu wa kutosha wa kuendesha gari ndani ya nchi na mikoa yote naendesha bila tabu nipo vizuri.
  Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litakubaliwa, Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa ELIAS SHIDA NDIHABI
  0715 666 206, 0756 666 206, 0692 642 445

 22. Message Naitwa nurdin Mahundi, Nimehitimu kidato cha nne , Naomba nafasi ya kazi katika kitengo cha kupokea simu,
  0768302545

  1. APPRICATION FOR A JOB
   HI..my name is Leonard Matthew I am Tanzanian citizen I finished up my secondary school in O level I have experience in doing operator on telephone I will be happy to do that job in US embassy to share more with you guys good lucky I wish I joined the job with all respect
   God bless you

 23. MAOMBI YA KAZI YA SECRETARY
  Ndugu, husika na kichwa cha barua hapo juu. Naitwa Zuhura Hassan Jolla nipo Mtwara Tanzania naomba nafasi ya kazi hapo ofosin kwako,Mimi ni binti wa miaka 25 nimehitimu kidato cha nne, pia Nimesoma chuo cha Computer and Secret(EREMI VOCATIONAL TRAINING CENTRE IN MTWARA) hivyo nina ujuzi na uzoefu wa kazi hiyo.Ndugu mheshimiwa nakuahidi nitakuwa mtiifu katika kazi pia nitazingatia sheria na taratibu za kazi.Natumain ombi langu litakubaliwa.
  Asante.
  Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa

 24. MAOMBI YA KAZI YA SECRETARY
  Ndugu, husika na kichwa cha barua hapo juu. Naitwa Zuhura Hassan Jolla nipo Mtwara Tanzania naomba nafasi ya kazi hapo ofosin kwako,Mimi ni binti wa miaka 25 nimehitimu kidato cha nne, pia Nimesoma chuo cha Computer and Secret(EREMI VOCATIONAL TRAINING CENTRE IN MTWARA) hivyo nina ujuzi na uzoefu wa kazi hiyo.Ndugu mheshimiwa nakuahidi nitakuwa mtiifu katika kazi pia nitazingatia sheria na taratibu za kazi.Natumain ombi langu litakubaliwa.
  Asante.
  Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa
  0654322902

 25. Naitwa Neema Mnong’one, nina miaka 24. Nina elimu ngazi ya chuo. Ninaomba kazi ya kupokea simu, nina ufaul wa masomo ya kiswahili na kiingereza na pia nina uzoefu wa kazi ya mapokez na cashier niliyoipata zahanat ya shangan kwa muda wa miaka miwili. Natumaini ombi langu litakubaliwa.
  Namba zangu ni 0676 009092 na 0687 355688

Comments are closed.

Previous Article

3 International Jobs Opportunities at TradeMark East Africa (TMEA)

Next Article

Job Opportunity at The Aga Khan Development Network (AKDN)

Related Posts