Job Opportunities at Tanzania Police Force
Various Jobs at Tanzania Police Force August, 2021
Various Jobs at Tanzania Police Force August, 2021. The Tanzania Police Force is announcing job vacancies for JKT / JKU graduates present at JKT / JKU Camps with Form Four, Form Six, Diploma and Degree.
The deadline for submitting the application is 30 August 2021
How to apply??
Naomba kujiunga na ajira zenu. Pia naomba naomba njisi ya ku apply .
Naomba kujiunga na ajira zenu
How to apply
Naomba kujiunga na ajira
Naomba kujua jinsi ya kuaply pls
Jamani mimi ndoto yangu ni kujiunga na jeshi la police Tanzania toka nikiwa primary lakini hadi leo nimemaliza chuo bado sijapata nafasi Hii.
Inspekta jenerali wa police naomba nisaidie kujumuika kulitumikia jeshi la police ninapenda sana na ninatamani sana kuwa police.
Napenda kuwa police kutoka moyoni
Naomba kujiunga na ajira zenu. Pia naomba naomba njisi ya ku apply
Naomba kujua jinsi ya kutuma maombi
Naomba kujua jinsi ya kua apply
how to apply jaman
Naomba na mimi nijiunge kwenye jeshi la police, naombeni jins ya kuapply
Naombeni na mimi kujiunga na jeshi la polisi
Naomba nakujua jinsi ya kujiunga
Naomba kujiunga na Jeshi la polis tangu zamani ndoto yangu ni kujiunga na polis nimehitimu masomo yangu chuo kikuu
Nimesoma electrical installation na kwa sasa nipo Tanesco Kilimanjaro ila sio katika mfumo rasmi wa Ajira hivyo naomba muongozo wenu namna ya kujiunga Ahksanteni
Naomba kujiunga n jeshi
How to apply
Thank u