Global Publishers is the leading gossip, entertainment and popular culture website in Tanzania.
Global TV Online is owned by Global Publishers & General Enterprises Limited, a registered private company dealing with publishing weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi, Ijumaa Wikienda & Spoti Xtra.
READ PDF FILE FOR MORE DETAILS-JOB VACANCIES
READ-JOB VACANCIES DETAILS AND MODE OF APPLICATION
JOB APPLICATION LETTERS AND CV SAMPLES
OCTA AYUBU,
S.L.P 78,
MUFINDI,
28.12.2018.
KWA MKURUGENZI-
GLOBAL PUBLISHERS,
S.L.P______,
DAR-ES-SALAAM,
28.12.2018.
YAH:OMBI LA KAZI.
Ndg
Husika na maada tajwa hapo juu ya barua.Lengo la barua yangu ni kuomba kazi ya uandishi na utangazaji katika kituo chako.
Nimewahi kufanya kazi kama mchambuzi wa masuala ya michezo katika vituo vya radio Overcomers FM iliyopo Iringa na Ice FM iliyopo makambako.Hivyo nina uzoefu na kazi usiopungua mwaka mmoja na nusu.
Naahidi kufanya kazi kwa ushirikiano na utiifu nikishirikiana na wafanyakazi nitakaowakuta kama ombi langu litakubaliwa.
Wako katika kazi
O.ayubu.
OCTA AYUBU.