JKT Kwa Mujibu wa sheria 2019 | Waliochaguliwa JKT Kwa mujibu wa Sheria 2019 | Majina ya waliochaguliwa JKT Kwa mujibu wa sheria 2019 | Majina ya JKT Kwa mujibu 2019 | www.jkt.go.tz | JKT kwa mujibu awamu ya pili | Form six JKT Kwa
LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICES
National service is a system of either compulsory or voluntary government service, usually military service. Many young people spent one or more years in such programmes. Compulsory military service typically requires all male citizens to enroll for one or two years, usually at age 18 (later for university-level students), while voluntary national service requires only three months of basic military training.
National Service was established on 10th July 1963 emanating from the ideas of the Father of the Nation, the late President Julius K Nyerere who once said ” National Service is the demand made by the Nation on youth and youth response in fulfilling their duty in building the Nation”.
The National Service was established by the National Service Act to bring together the youths of Tanzania for the following purpose:
- Work together in order to build the sense of nationalism.
- Develop cultural and sociological awareness.
- Provide skills, build economic independency, and reduce unemployment.
- Train and develop the youth for national service and assist the government during natural disasters and calamities.
- Build and develop the national economy.
- Provide military training for national defense.
The Following are the official list of students selected to join Different JKT camps.You can Download The PDF File To view Full Information,Requirements, and the day of Report to All Camps(VIEW PDF FILE).
VIEW OR DOWNLOAD PDF FILE —-LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICES
DOWNLOAD PDF FILES BELOW AU INSTALL APP YETU( KUANGALIA MAJINA KWA URAHISI ZAIDI)
Bonyeza Hii Picha Hapa
READ ALSO :
Asanteni sana
Na mm nataka kujiunga kwenda kwenye mafunzo ya jeshi Niko chuo mbeya ila kwa sasa siko chuo Niko nyumban chuo narud mwez wa Tisa naomba nijiunge na jeshi kwa ajiliya mafunzo
Niliahid kujiunga na mafunzo nkimalza chuo kama tulivyoelekezwa mwaka 2014. Nmetuma barua mwezi wa NNE nwaka huu kuomba kupangiwa mafunzo haya ya mwaka huu Ila sijapangiwa. Kama inafaa basi tupangiwe mana ni muhimu kwa ambao hatukuyapata tulipomalza kidato cha sita
Mimi nimechaguliwa JKT
Duh kambi gan na uliangalia kwa tovut gan tafadhal
Mimi ni edina j.Kalekale nimemaliza kidato cha sits 2019 hapo nyantakala high school,ninapenda kujiunga jkt lakini sijachaguliwa.Lini nitachaguliwa? Ninaomba majibu
Namba 0673963482 nitafte
je wenye matatizo kama ya operation,mo yo,pumu
Wanaenda ruvu au kwenye kambi walizopangwa
Nahitaji kujiunga naomba mnichague jaman mm aggrey nimemaliza form four mwaka 2017 saiv Niko chuo nilichagliwa na serikal koz ya utabibu diploma ila Niko nyumban kwasababu maalumu ila natakakujiunga jeshi kwanza
Nitafte kwa namba hii 0673963482 wew unahitaj kujiunga an jeshi
Duh st Marys dulutt hamuijui au MBNA hamjachaguaa hats mwanafunzi mmjo dah
Ni vizuri watoto wanaomaliza advance wajiunge na jeshi ili wafundishwe uzalendo
Ni mtanzania mkazi wa dar es salaam nimeitim kidato cha nne mwaka 2009. ivyo mm na umriwa miaka 32 niziefu asa kazi za netweck, udeleva
mm nilimaliza mwaka 2012 jitegemee naomba kujiunga na mafunzo ayo
Namba 0673963482 nitafte
Nami NATAKA kwenda jeshi 0786446650
Kwa maagizo ya vifaa mlivyovitoa mzazi mwingine hana uwezo wa kuvipata hivyo vifaa kwa uharaka kama mnavyojua Hali ya maisha mnatusaidiaje? Na mtoto mwenye matatizo ya kiafya ambaye hatoweza kufika jeshini turipoti wapi? Msaada tafadhari
Mbona iyo pdf ya mpwapwa haifunguki… Naomba msaada
ni kweli inazngua
Jina langu naitwaa Damian Joseph mwita nimesomea mwanza sec PGM naomba NA mm kujiunga jkt kwa ajili ya kulijenga taifa katika post za pil ntashukur kama mtanichagua asante
Nimemalz kidato cha sita mwaka 2019 bwiru boys nawish kujiunga na jkt hvyo naomba awamu ya pili mnichague
unadhani chakula huko
Kama Nina kijana jina halionekani nifanyaje
naombeni kujiunga na mafunzo ya kijeshi niko kahama
Tuliokosa awamu ya pili VP
jaman nina mdogo wangu kashamaliza kidato cha sita mwaka huu 2019 je taratibu zipoje ili na yeye apate nafasi ya kujiunga
asubir jina asipoliona basi yeye angojee kwenda chuo tu
So interesting
Mimi Mbona sioni orodha ya majina
mm mbona sion jina
Naomba msaada sina uwezo wa nauli na vifaa kwani ni mapema mno na siku chache zimebaki nifanyeje?
Hairisha kwenda
Polee
Mbona PDF ya dodoma mpwapwa haifunguki kila nikijaribu (not found)
Naitwa priscka meckisoni masaki nime hutimi kidato cha nne mwaka jana 2018 nimepata four napenda jeshi na Mimi naomba nafasi za kujiunga na jeshi katika mwaka 2019 nipo tayari kulitumikia taifa .
pole mama n kaz ngumu jkt kuipata kwa sasa ujue hilo Kwanzaa
mbona PDF haifunguki msaada jaman
Je ni lazima kwenda jkt na kama usipoenda Kuna athari yoyote?
unaogpa toch au
Mimi pia ni mwanafunzi nliehitim advance mwaka huu 2019 combnation ya science nahtj kwenda kujenga taifa jkt .naomba fursa hiyo kama uwezekano upo .
0673963482 kwa msaada
Naomba taarifa ya jinsi ya kufika jkt lua rukwa
Jinsi ya kufika jkt lua kwa mawasiliano ya simu
0673963482
Kwa maelezo ya jkt no 0673963482 nichek kuanzia saa 1 asubh had 12 jion
Nicheki0716928111
Mm naitw HAJI IMANI nimeishia darasa la saba Nina fom ya
Darsa la saba inawzekana kujiuna na Jkt ?
nia na malengo ya kujiunga na jkt yapo ila sijapangiwa jaman na nimemaliza six 2019 nifanyeje ili nishiriki mafunzo hayo?
kama hjaona jina lako na unataka twanga hapa kwa fac chap nktmie jina lako na kamb au jnsi ya kuapply kama unataka
@SNIX:G 0658823849
Amim boge athumani…..nataka kuapply
Nataka kujiunga
Mpwapwa haifunguki kabisa
Nimekosa nafasi ya kujiunga na mafunzo ya jkt kwa awamu zote mbili…hata nilipojaribu kwenda makao makuu pia nikakosa….sasa nilikuwa nauliza haitaweza kunisumbua huko baadae katika masuala ya labda kujiunga na jeshi au kutafuta kazi katika taasisi za kiserikali……Alafu katika uchaguzi wenu kuna baadhi ya wanafunzi hawatajiunga…sasa mtatusaidiaje sisi tunaotaka kujiunga Alafu nafasi hatujapata..?
second selectn mwsho wa kulpot lin naomben mnsaidie
VP