Innovation Funding Opportunities at Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH),2018

Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) is a parastatal organization with the responsibility of co-ordinating and promoting research and technology development activities in the country. It is the chief advisor to the Government on all matters pertaining to science and technology and their application to the socio-economic development of the country.

The Commission for Science & Technology (COSTECH) and The Human Development Innovation Fund (HDIF) invite applications for the 2018 call on “Opportunities for Fostering Innovation”. COSTECH and HDIF are in collaboration to fund creativity and innovation generated from innovative ideas of citizens and institutions of Tanzania through a competitive call. The initiative is jointly funded by the United Kingdom’s Department for International Development (DFID). The aim of the Call is to strengthen the innovation ecosystem in Tanzania through facilitating the building up of capacity to innovate amongst researchers, private entrepreneurs, innovators and others.

 

 BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD APPLICATIONS FORMS NA JINSI YA KUTUMA MAOMBI….>>>>>CLICK HERE

 

 

 

About unistoreTZ Media 2973 Articles
Unistoretz is the innovative education platform, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle branding which provides studying materials for students and Opportunities. All Education Announcements, Jobs Advertisements, Scholarships, studying materials and Other Opportunities Published In this Website are From their Original Sources&Their Trusted Sources.Copyright to the materials remain with the actual owner of the content.

68 Comments

 1. MIMI NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KWA MAJINA NAITWA JOSHUA SAIYE NAISHI DAR ES SALAAM NA PLAN YANGU KUBWA NIKUFANYA BIASHARA ENDAPO NIKAPATA IYO PESA ITANIKOMBOA MIMI MAANA NIMEPLAN NIFANYE BIASHARA YA KUUZA NGUO ZA MITUMBA MAANA JAMII YA SASA WANAHITAJI KUPENDEZA HAKIKA NIKIPATA IYO PESA ITANIPA FAIDA KUBWA SANA

 2. Mimi natamani kuisaidia jamii kwa ubunifu wa kutengeneza juice za aina mbalimba kwa kutumia matunda asilia pia kusambaza bidhaa za matumizi ya nyumbani kama mchele, maharage, mahindi, nafaka zote kwa ujumla, mafuta ya kupikia, na nyingine nyingi zinazotumika zaidi kwa ajiri ya kuiwezesha jamii iweze kuishi na kustawi zaidi…kisha iweze kuleta maendeleo katika nchi kwa ujumla.

  • Naitwa Muhsin Kombo Ali,niko Wilaya ya Mkoani Pemba.Elimu nilioishia ni form four,ni mjasiriamali wa biashara ndogondogo.nikipata hiyo hela nitaendesha vikundi vya ujasiri amali ambavyo vinamuelekeo wa shughuli hizo,kwa kuvipa mtaji na kuendesha shughuli zao,nitavisimamia kwa kazi zao na faida inayopatikana itagaiwa kwa mkataba tuliokubaliana.Na awali mkataba utaeleza kwamba endapo kikundi kitashindwa kuendelea kwa uzembe wao kitashtakiwa na kulipa mtaji uliopewa.

  • Assalam alaikum. Habari Tanzania. Naitwa Iddi Ali Iddi. Nina Shahada ya Uzamili ya Utawala. Moja ya Mambo ningependa sana kuona yanafanyika katika nchi yangu ni “Managing Time” Ukweli watu wetu wanahitaji huduma bora na nzuri kwa WAKATI na SIO nje ya Wakati. ( EFFICIENCY AND EFFECTIVE CUSTOMERS’ SERVICES) hili ndilo eneo ambalo ndio kiini changu kikuu cha mawazo. Mfano mzuri endapo tutaweza kujenga vizuri bandari ya Wete na Mkoani kwa Pemba, halafu tukajenga bandari bora eneo la NUNGWI kwa Unguja, ukweli nchi yetu itapata pesa nyingi na usalama wa watu na mali zao utakuwa mkubwa, lakini pia kwa sababu Pemba kwa Upande wa Kaskazini tumepakana na Kenya, ni wazi kwamba tutaweza kutoa huduma bora za kiutalii na kiuchumi, kwa sababu meli kubwa za abiria na mizigo zitatia nanga eneo hilo. Ukweli nina mawazo fulani ” I think I am proactive to my Tanzania ” Thank you for sharing “.

 3. naitwa festo mwangake nilimalizs chuo kikuu, nikipata kamtaji natamani kufanya ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa uwingi hata wakiwa kuanzia mia hamsini pamoja na ndege wengine kaka bata,kanga,njiwa na kwale kama wazo langu mmelipenda mawasiliano mwangakefesto2018@gmail. com au +255768061827

 4. NAITWA AMANA LUTAMBI NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA DODOMA (UDOM) kwa Mimi napenda kilimo pamoja na ufugaji wa kuku wa kienyeji na wa KISIASA hii fulsa ni nzuri kwa vijana wengi HUSUSANI waishio kijijini bila dira yeyote napenda kuomba kupatiwa huo msaada ili kuweza kuungana na vijana wengi walioko kijijini ambao hawajui wafanye nini kwahii fulsa nikipatiwa pamoja na jopo la usimamizi ambalo litashirikiana na Mimi kuelimisha vijana waishio kijijini na kuwapa Elimu kupitia semina fupi za ufugaji na kilimo itasaidia kuondoa vijana tegemezi na idadi ya vijana kukimbilia mjini wasijue cha kufanya !!! ahsante

 5. mimi ni muhitimu wa chuo cha kilimo na mifugo MATI-MTWARA ningependa hasa kujiusaisha na kilimo kwasababu tunaelekea kwenyue tanzania ya viwanda na kilimo ndo kitu cha msingi tanzania kwanza nimeweka mkakati wa kilimo cha mazao ya biashara, matunda na mbogamboga ambocho kilimo hichi kina tija katika jamii na pia naweza kuzalisha ajira ndani yake katika jamii inayonizunguka pamoja na kuongeza kipato kwa kiwango kikubwa. kutokana na hilo pia naweza kuendeleza eneo langu la kilimo lenye ukubwa wa ekari mbili(2) na kuzidisha wigo wa uzalishaji kufikia malengo yangu katika kilimo na jamii kwa ujumla wake.

 6. Napenda biashara
  @nitafungua kampooni ya tunza madhingiraa okoa madhingiraa..
  @@nitafungua kampunii na usambazaji wa vyakula na mayunda kwenye arusi ….kichen part
  . ..na birthday part
  @@nitafungua biashara ya usambazaji wa vifaaa vya ujenziii
  Napenda sana hardware …
  Asanteeee naipenda biashara yani kama 95 percentageeee…..

  Baba mapenzi yako yatimie
  Nikipata hiyo hela nitaisaidia jamiii yangu ok pia ñitaondokana naumaskin..

 7. Naitwa bernadetha Ngonyani nasoma chuo kikuu cha ruaha Catholic university. Mimi nikipata fursa napenda sana kujishughulisha na kilimo cha alizeti kwasababu zinafaida nyingi katika jamii yetu na nimeanza kwa kulima hekali moja nimepata kuuZa na hela niliyopata nimewekeza katika kufuga nguruwe nawashAuri vijana wezangu tuwe na ubunifu katika maisha. Tusitegemee elimu ya darasani peke yake.

 8. Mimi naitwa Christopher Dioniz nimuhitumu wa ngazi ya stashahada ya kilimo na mifugo nilianza na Kuku watano wa kienyeji ndani ya miezi sita nikawa na Kuku miambili nakila kuku nikamuuza kwa tsh 8,000.nikapata million moja na laki sita nikaitumia kununua mashine ya kutotolesha vifanga chotala nikipata hiyo pesa nitaitumia kutoa elimu hiyo kwa vijana wenzangu ilikuepuka kuwa tegemezi kwenye jamii.mpaka sasa ninakuku wengine 150 nawaandaa kwaajiri ya mayai ya kutotolesha mwenyewe nipo Dodoma
  Mawasiliano:0782350862/0679289868

 9. Mimi naitwa Shadrack Marwa na deploma ya T.C.T pia nimjasiamali nikipata mtaji huo malengo Yangu nitajikita kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji pia baada ya kukuza kipato changu na ndoto ya kufungua veta ya kujifunzia cherehani na computer training centre Shadrackmarwa@yahoo.com .0766488890

 10. Mimi naitwa Kennedy simon mapunda , nina FTC toka chuo cha Mbeya tech college, Ubunifu wangu na idear niliyonayo kwa 80% ni kutengeneza mtambo ama engine isiyo tumia
  nishati yeyote iwe ni mafuta, gas,umeme nk. Uwezo ninao ila pesa sina kwa kutekele
  za hiyo project.

 11. Mim kwa majina nahitwa fredy philimon kutoka mwanza, na nimehitimu chuo cha mipango ya maendeleo vijijini, kwangu mimi kama mtumishi experience yangu ni kuwa katika jamii kuna mambo mengi ambayo ni changamoto yasiyopelekea ustawi katika jamii mfano swala la afya na huduma zingine za kijamii, sasa basi niliomba hizo rasilimali fedha zitumike katika kustawisha jamii kwa kusaidia serikali katika utatuzi na ujenzi au manunuzi ya vifaa vya uduma za afya kwa kuleta tija na kuwapatia afya bora wananchi waweze kutimiza malengo yao ya kimaendeleo. Ikumbukwe kuwa bila afya hakuna maendeleo maana bila kuwa na afya uwez kufanya kazi, ivyo basi mkoa wa shinyanga hasa vijijini kumesaulika kwa miradi ya vituo vya afya hasa zahanati vujiin ambapo upelekea wananchi kukumbana na vifo visivyo vya lazima na kupoteza nguvu kazi nyingi sana kwa taifa kiujumla. Niliomba fedha izo ziende mkoani shinyanga kata ya chela kijiji cha buchambaga kwa ajili ya kumalizia mradi wa zahanati na kufikia malengo ya serikali ya hawamu ya 5 ya kuwasogezea huduma wananchi karibu. Ahsanten wakubwa that’s my idea phon number 0768332239/ 0676855197. Nawatakieni kazi njema

 12. Lengo langu ni kufanya biashara au jambo ambalo litakua na msaada chanya katika jamii nampango wakufungua biashara ya kuwa na sambaza vitu vyenye maitaji muhimu kama chakula maofisini vitendea kazi katika makampuni ya ujenzi na taasisi zingine kwa kufanya iv itafanya niwaajiri baadhi ya vijana wenzangu wengi
  Pia kama ntapata fursa na mpango kuanzisha kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi ya alizeti ili kupunguza kiwango cha mafuta yenye lehemu kwq wingi

 13. Mimi naitwa bushilikale kagoyi Michael ni kiwana mwenzangu mlezi mpelemi hakika tuna mambo mengi ya kusaidia jamii ikiwemo kuvumbua na kuunda mashine ya kupiga mpunga unapotoka jabani badala ya kupiga kwa mkono, pia ubunifu wetu uko kwenye mashine ya kupanda mpunga majalubani itapanda yenyewe, pia mashine itwayo overhead crane ya kutoa mchanga kwenye mashimo inajipandisha na kujishusha hyo ni ya wachimbaji wadogowadogo tatzo ni mtaji hatuna kama kununua mota,waya,giabox na vyingine naiman tukiwezeshwa tunaweza. Mwasiliano 0766640005 tupo mkoa wa
  geita.

 14. Naitwa Musa Nelson elimu ya yangu form four na pia ni dereva nikipata hizo hela nitaboresha kilimo cha uyoga na nitafundisha vijana wengi ili waweze kujiajiri katika kazi hiyo,inalipa sema sina mtaji napatikana Morogoro Mjini kwa mawasiliano 0755783988 au 0716901564

 15. Naitwa Getrude Karoli Chanze,muhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma,nikifanikiwa kupata mtaji nitanunua mashine ya kutengenezea mkaa wa kisasa ambao hauharibu mazingira kwani nimekuwa nikifanya shughuli hii ya kutengeneza mkaa kwa kutumia mikono takribani miaka miwili sasa toka nihitimu shahada yangu ya elimu.
  Kwasababu mimi ni mwalimu nitaisaidia jamii yangu kwa kuwafundisha kutengeneza na kutumia nishati mbadala ili mazingira yetu yanayotunzunguka yawe salama,yasichafuliwe wala kuharibiwa.
  Nitawasaidia vijana wa mtaani kwangu jinsi ya kujiajiri na biashara ya mkaa ambayo inatumia takataka zilizokaushwa hivyo kwakupitia mafunzo yangu mazingira yatakuwa safi kwani tutakusanya takataka zote za mtaa tutazikausha na tutazitumia kutengeneza mkaa wa kisasa.
  Napatikana morogoro mjini mawasiliano 0719854241 au 0762038674

 16. Bismillah rahmaan rrahiim kwa majina naitwa abbas haidar khamis elimu yangu ni form four mkaazi wa dar es salaam nikipata fursa yaan pesa nitanunua mashine ya kufatulia matofal kwa itakuwa fursa moja kwa vijana ukiangalia miji sasa inakuwa watu wanajenga nitafyatua matofal kwa kiwango kinachotakiwa ahsanten pia namba yng ni 0784808749 immitate job but not expenditures

 17. naitwa peter kilawe ni muhitimu wa chuo cha ualimu naishi dar,mm nikipata hiyo hela nafanya biashara ya kuuza dagaa kutoka ziwa victoria ,dagaa za kuku na zile za kula binadamu ,pia nitasaidia vijana wengine kwenye kusambaza na kuuza dagaa hao ,tatizo la ajira litapungua

 18. Naitwa MSOMA BALTAZARY nasoma MWECAU. Nikipata hiyo ela nitajikita katika uandishi wa kubuni kama vile kuandika mashairi, riwaya , tamthilia na uandish wa skript hivyo kuwasaidia vijana wengi kuingia katka tasnia ya uandish na kusoma vitabu. Zaidi nitaingia migahawa na kuuza chakula kwani watu wanakula chakula kilasiku.

 19. Naitwa Gerlad Enock Sichula nipo sumbawanga na ninasoma chuo kikuu cha Dodoma mwaka wa pili, pia ni na jishughurisha na kilimo na nimeajiri vijana wenzangu wanao nisaidia kufanikisha shughuri yangu nikipata hiyo pesa nita nunua mashine za umwagiliaji na nitawajiri vijana wengine wengi ili tuweze kuzalisha matunda na mbogamboga ambazo tutaziuza kwa jamii yetu na watanzania wote kwaujumula. Napatikana kwa namba 0625743563

  • Mimi naitwa Mzakiru Abdallah mimi plan yangu naweza kuitumia hiyo milion40. Kununua mshine za kutotolea vifaranga na kuwafugaji mkubwa wa kuku na kuisaidia jamii inayopenda kufuga kwa kuwauzia vifaranga kwa bei ndogo na kuwapa ajira
   Napatikana kwa no0765085790

 20. Naitwa Robert Charles Kingazi, ninajihusisha na maswala ya graohics design nikifanikiwa kuipata pesa ninakusudia kufanya usajili niwe na kampuni rasmi kwa ajili ya kazi yangu, nafikiria kuanzisha videoshooting soon na pia kuwekeza katika kilimo cha matunda haswa matikiti na mazao. Finally kuwa na watoto wawili wakuwasomesha kuisaidia jamii.

 21. I must win this competition.

  Quality value Brand,me society and environment.
  Says,
  Faza frank.

 22. Naitwa Witness Josiah mwanafunzi chuo kikuu cha Dodoma,,,Nikipata hiyo pesa kiasi cha pesa nitanunua mashine ya kutotolesha vifaranga,, nitaandaa banda la kufuga kuku,,nitanunua mayai kutoka kwa mbegu nzur ya kuku kisha nitatotolesha ili kupata vifaranga,nitaongeza kuku kwa kuwanunua wengine nitahkikisha wamepata huduma stahik,pesa iliyobaki nitawekeza katika mradi mdogo wa nyuki wadogo ambayo nusu lita sio chini ya elfu 20 tofaut na asali ya nyuki wakubwa na kila baada ya miez mitatu nitarina asali nikiuza nitapanua mrad wangu kwa kuchukua faida ntakayopata kwa kuku na nyuki nitaweka kwenye mzunguko wa vikoba mbolea nitakayopata kutoka kwa kuku itaniwezesha kutengeneza bustan ya mbogambga,,,mzunguko huu utazaa mafanikio makubwa zaidi ,,nitatoa elimu hii kwa vijana wenzangu pia kupunguza utegemezi katika jamii

 23. Mimi naitwa shaban a man mbeba naitaj kufanya biashaea ya vyakula kutoa huku bara kupeleka Zanzibar kwani kule vyakula ni adimu pia nianzshe. Kilimo cha vyakula namatunda yaparachichi

 24. My developer is trying to convince me to move to .net from
  PHP. I have always disliked the idea because of the costs.
  But he’s tryiong none the less. I’ve been using Movable-type on a number of websites for about a year and am worried about switching to another platform.
  I have heard great things about blogengine.net. Is there
  a way I can transfer all my wordpress content into it?
  Any kind of help would be greatly appreciated!

 25. Hey there would you mind sharing which blog platform you’re using?
  I’m going to start my own blog soon but I’m having a difficult time
  making a decision between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal.
  The reason I ask is because your design and style seems different then most
  blogs and I’m looking for something completely unique.

  P.S Apologies for getting off-topic but I had to ask!

 26. Hi! I could have sworn I’ve been to this site before
  but after reading through some of the post I realized it’s new to me.

  Anyhow, I’m definitely happy I found it and I’ll be book-marking and checkiung back often!

 27. Naitwa upendo patrick sawaya kama nikibahatika kupata huo mkopo wa ujasiriamali nitajikita moja kwa moja kwenye ufugaji sitataka kujaribu nitaingia kwenye ufugaji wa kuku chotara na nitapenda kujumuika na vijana wenzangu kama wanne na mimi niwe wa tano na tukifanikiwa nitajitahidi kuwashawishi na kutoa elimu ya bure kwa jamii inayotuzunguka ili tuweze kuondokana na umaskini .

 28. Plan A: Usafiri kwa ajili ya kusambaza bidhaa
  Plan B: Kutafuta masoko ya bidhaa na kufunga mikataba
  Plan C: (i)Kuzalisha bidhaa, ambazo ni mbogamboga na matunda (ii) Kupata eneo na kuanzisha Ufugaji wa bata.
  Plan D: Kuanzisha vituo vya ukamuaji wa juice za aina tofauti

 29. AM patrick Associate from Mzumbe University 2017 bachelor degree of social science eceonomic in population and development. nimeanzisha mnyororo wa thaman kwenye project fish farming iliyochini ya team yangu MALENGO TRUST AGRICULTURAL JUNIOR INNITIATIVE (MTAJI) lengo ni kuzid kutatua tatizo la ajira kwa vijana shortly as youth we can if and only if we plan to do.

 30. Naitwa Robert ni mkazi wa Njombe nina elimu ya diploma ya utunzaji wa kumbukumbu malengo yangu nikuanzisha biashara ambayo itakubaliana na mazingira yangu na kutokana na mkoa wangu kwa sasa unafanya kilimo cha parachichi nafikilia kufungua kiwanda kidogo ambacho itasaidia kuwasaidia watu wengi wakiwepi wakulima na watumiaji wa matund Hay kwa kutengeneza juice na kuya hifadhi yenyewe yaweze kukaa mda mrefu na kutumika mda mrefu na pia kuyatengeneza yaweze kutumika kama blueband ya kupaka kwenye mkate

 31. Habari.
  Naitwa Baraka mwampamba Nina ndoto yakufanya inspiration video clip ambazo zitakuwa msaada mkubwa sana katika jamii ambazo zitaleta matokeo chanya katika taifa letu.

  Pia Nina uwezo wakufanya matangazo ya sauti na kubuni matangazo ya video

  Mwaka huu nilitengeneza tangazo LA VETA mamlaka ya ufundi stadi walilifurahia sana na waliona nini ninacho ndani yangu.

  Lakini ninapenda sana kuwa mshauri katika swala LA mahusiano na watu kufikia hatma zao kwa hiyo Nina tamani kutengeneza vipindi vya TV ili wavione kupitia YouTube

  My number 0712348701
  Nawapenda

 32. Naitwa Dominica .K. Simeon. Kutoka iringa, Tanzania. Elimu kidato cha nne.ila napenda kuingia ktk kinyang’anyiro hiki. Naimani kwa ubunifu na upembuzi wangu juu ya biashara nitashinda tuu.. Mimi kwanza nikipata hizo pesa, nitatafuta vijana wa kijiweni na pia mayatima wa mtaani kuweza kuwaweka pamoja na kuanza biashara ambayo ni ya kutokuumiza kichwa sana ila shida ni mtaji tu.
  Tutatafuta viroba ambavyo ni vitupu vya cement kwani hivyo ni vigumu na kununua viwe mia. Na tutangeneza stendi ya chumba ya ngazi ili viriba hivyo vikae juu ya hizo ngazi.
  Pia tutatafuta mchanga ambao una rutuba na mbolea pia tutaichanganya kabla ua kuweka ktk viroba hivyoo. Halafu tutaweka ktk hivyo viroba na kuvipanga ktk ngazi za stendi yetu. Sababu ya stendi hiyo ni kuzuia kuku na mifugo ya kula tutakachopanda.
  Pia tutatoboa matundu kwa ajili ya kupanda kuzunguka hicho kiroba.
  Tutapandikiza mbegu zetu chini ambapo tumelima na kuzungushia kwa nyavu ili viote bila kuhatibikiwa.
  Na ikishaotea ndo tutaweka ktk viroba na pembeni mwa viroba tulipo toboa..
  Tutalima kwa kutumia huo mtindo na pia tutazungushia uzio wa nyavu… tutauza kwa jumla zaidi kwani mboga tutakayopanda itaota bila kuliwa na ndege yeyote yule..
  Hivyo hatutatumia eneo kubwa ktk kilimo cha spinachi au figiri…
  Nitaweza saidia wengi vijana na mayatima pia ktk kipato..

 33. Naitwa Ashura Mataro, Natokea Geita. Nikipata hizo milioni 40, Kwanza kabisa nitatafuta Watu wanao ishi mazingira Magumu, niwape Elimu, ya Biashara, kwasababu biashara zipo nyingi sio lazima Ufanye biashara kubwa ndio ufanikiwe, nitawapa Elimu ya Kuanza Biashara Ndogo, Nitachukua Kiasi kidogo cha Pesa na kuwapa, ili Waanze Kufanya Biashara Ndogo ndogo.

  Fedha zitakazo Bakia, Nitaziingiza Kwenye Kilimo Cha Mpunga na Mananasi, Kwanza kabisa Kitendo cha Kulima nitakuwa nimesaidia na wengine maana Mimi kama mimi najua siwezi nikashika Jembe na kulima lazima nitaajili watu wafanye hizo kazi, na kwanamna moja au nyingine nitakuwa nimesaidia watu wengine kuanzia kwenye Upandaji mpka kwenye Uvunaji.

 34. Naitwa Roselina nina miaka 21
  Kwenye jamii yetu kuna waitaji mbalimbali kama mayatima wajane na walio kwenye mazingira magumu
  Mm nikipata hiyo hela chakwanzq nawapa elimu alafu naunda makundi kulingana na idadi ya watu alafu tunakuwa na miradi mbalimbali kama ufugaji kuku na kutengeneza bidhaa mbalimbali alafu pesa tutakayoipata tutawasaidia watoto walioshindwa kulipa ada na nyingine tunawekeza kwa kujiendeleza zaidi

 35. I am Solomon Levava ,a graduate at the university of Dar es Salaam 2018.
  The use of plastics in Tanzania had become a problem when these materials are not in use, this is when these materials are damped in our environment without any organization; this lead to environmental pollution(land pollution) and then can disturb soil which is used for agriculture.
  Recycling of these plastic wastes into usefull product can help to control this problem.
  One of the usefull product to be made is ceramic tiles,this is when these platics waste are collected from environment and heated into mold left to cool,then hammered into small particles of about 0.5cm.
  These are then mixed with other ingredients includes cement and water then keeping a mixture in a designed shape tile machine (square,rectangle or others) making a tile product(s).
  Note: Factor such as pollution during preparation of plastic mold and heat resistance,water resistance when making a tile shoulf be considered.
  Thanks.
  solomonlevava@gmail.com

 36. Naitwa pendael laizer elimu yangu form four tu!
  Plan yangu ambayo naifanya hata sasa ni kilimo tena kilimo ninacholima no maharage machanga Na tayari Nina Soko lake Na kampuni moja inayoitwa fregocan limited ya nchini Kenya,wananunua kwa kilo sh 1000 kilo moja Na kwenye ekari moja naweza vuna hadi KGS 4000 Na niya siku 45 kwanzia kuotesha hadi kuanza kuvuna.
  Na kampuni ikishachukuwa mazao wanayalipa baada ya wiki mbili Na pia no zao la mkataba kwahyo wanafuata mkataba Na mkataba ndo wenye makubaliano yote hayo Na kanuni zote hizo.
  Nafanya kazi hiyo ni mwaka wangu wa NNE sasa.
  Mahtaji nikipata hela hiyo nitaongeza mashamba kutoka ekari moja hadi hata kumi.
  Gharama ya ekari moja ni shilingi milioni moja.

  My email
  Peacependael@gmail.com
  0765428889

 37. Naitwa pendael laizer elimu yangu form four tu!
  Plan yangu ambayo naifanya hata sasa ni kilimo tena kilimo ninacholima no maharage machanga Na tayari Nina Soko lake Na kampuni moja inayoitwa fregocan limited ya nchini Kenya,wananunua kwa kilo sh 1000 kilo moja Na kwenye ekari moja naweza vuna hadi KGS 4000 Na niya siku 45 kwanzia kuotesha hadi kuanza kuvuna.
  Na kampuni ikishachukuwa mazao wanayalipa baada ya wiki mbili Na pia no zao la mkataba kwahyo wanafuata mkataba Na mkataba ndo wenye makubaliano yote hayo Na kanuni zote hizo.
  Nafanya kazi hiyo ni mwaka wangu wa NNE sasa.
  Mahtaji nikipata hela hiyo nitaongeza mashamba kutoka ekari moja hadi hata kumi.
  Gharama ya ekari moja ni shilingi milioni moja.

  My email
  Peacependael@gmail.com
  0765428889

 38. Am Damian Ng’akala from Njombe region, I would like first thank you for this advertised opportunities to all with ability and knowledge on what they want to do for present and future generation development . For myself I will write down a plan which are meaningful and answerable to the community by considering both gender and marginalised people so that can come together. By professional I’m gender expert with bachelor of community development. Thank w

 39. kwa jina naitwa Joyce nyakyora nikipata hiyo pesa itanisaidia kuendeleza biashara yangu ya kudesign vitu mbali mbali kwa kutumia kitenge na kanga mfano nguo,mabegi,mikoba na pochi ili kwaajili vijana na kuwafundisha kushona pia

 40. Kwa majina naitwa Felista Prospa Mimi Nikipata hiyo fedha Nitawekeza kwenye kilimo cha mboga mboga na ufugaji wa kuku Shamba lipo vigwaza hekari tatu

  Email :felistaprospa@gmail.com

 41. Dunia nzima sasa hivi inatafuta njia mbadala ya nishati ya umeme hii ni sababu vyanzo vilivyopo kwa sasa sio rafiki wa mazingira tumeshuhudia ongezeko la hali ya joto sehemu mbali mbali za dunia yetu sababu kuu ikiwa ni upatikanaji wa nishati kwa ajili ya kuendesha mitambo mbalimbali hivyo nikipata nafasi hii nitajitahidi kufanikisha utafiti wangu wa kupata nishati ya umeme bila kutumia maji, mafuta, pia utafiti wangu upo mbali na solar energy pia upo mbali na matumizi ya upepo.

 42. Habari,naitwa Sacred J.Sam mzaliwa wa moshi makazi ni arusha.Nimemaliza chuo 2017 degree ya television and film production .Mimi idea yangu ni kutumia recycle material kutengeneza bidhaa mfano mapambo na utensils. Lengo nikupunguza uchafu na kuweka maZingira safi kwani hata taka tunazotupa mfano maboksi yanaweza kuwa kitu kingine au kifaa kingine.Nina uwezo wakuangalia kitu na nikakiunda kuwa kifaa kingine.I believe I must I will .my contact 0763368386/0716215641Thanks

 43. Hello Mbona Kama sielewi hivi, hapa tunatakiwa kutuma vitu gani na Kwa utaratibu gani na nn vigezo

 44. Kwa Jina naitwa Assanairy Mushi ni mwenyeji wa mwanza na shughuli yangu kubwa ni ujasiliamar mimi Kwa maoni yangu pindi tu nitakapo ipata pesa kama iyo jambo la kwanza ili kua mchangiaji wa uchumi na ajira Kwa wenzangu jambo la kwanza NITATEMBELEA KIJIJI MPAKA KIJIJI NA KUFUNGUA MASHINE ZA USAGAJI NA USINDIKAJI KWA LENGO LA KUWAPUNGUZIA ADHA YA UMBALI NA PIA UNAFUU WA MCHAKATO WA MAZAO YAO NA KWA KILA MASHINE PIA ITAAJIL WATU WASIO PUNGUA 5 NA KWA WATU 5 TUKUMBUKE WANAFAMILI ZAO PILI NITA KUA NIMEPUNGUZA SHULUBA KWA WAKULIMA NA MUDA HUO HUO NITA FUNGUA ZAHANATI NA PAMOJA NA MADUKA YA DAWA PIA NA KUAJIR WAHUDU WATAKAO WAHUDUMIA KIAFYA NA KIAKIL WANAKIJIJI KWA UJUMLA, PIA KWA KILA KIJIJI CHENYE ZANA NA MASHINE YA USINDIKAJI ITAKUA IMEWAFANYA WAPUNGUZE MSONGO NA ADHA WAZIPATAZO, ITAKUA IMEKUZA KIWANGO KIKUBWA CHA AJIRA NA UNAFUU KWA WANAKIJIJI KWA UJUMLA, naitwa Assanairy Mushi napatikana Mwanza Kwa mawasiliano 0769102211

 45. mim nikiipata hyo pesa ninampango wa kufanya biashara ya kutengeneza na kuuza vyungu vya kupikia yaani vile vya asili vya kufinyanga kwani jamii yetu kwa sas imesahau asili yetu ya kutumia vyombo walivyokuwa wakitumia mababu zetu pia nitaifanyia biashara ya kufuga kuku wa mayai pamoja na kuuza chakula cha kuku kwa hyo nikiupata huo mtaji nitaelimisha vijana wenzangu pamoja na watu waliojibweteka tu majumbani bila kazi ilikujikwamua katika umasikini na kuinua nchi yetu kiuchumi

 46. JINA NAITWA BATHOLOMEO CLEMENT MKALAWA, NAISHI DARESALAAM TANZANIA.
  MIMI NI MWAJIRIWA ILA KIUKWELI NASEMA KUTOKA MOYONI NAPENDA SANA KUJIAJIRI AU KUFANYA SHUGHULI ZANGU BINAFSI ZA KUJIAJIRI ZA KIJASILIAMALI, HIVYO BASI NIMEJIWEKEA MALENGO MAKUBWA KWAMBA BAADA YA MUDA WA MIAKA 3 -4 NITAACHA KAZI YA KUAJIRIWA NA KUJIAJIRI NA KUAJIRI WENGINE ILI KUONGEZA AJIRA HII IKO MOYON KWA MUDA MREFU SANA SANA NA HII NI MIPANGO NILIYOKUWA NAYO TOKA NAAJIRIWA LENGO ILIKUWA NI KUPATA MTAJI TU. SAMBAMBA NA HILO NIMEKUWA NIKISHIRIKI KWENYE SEMINA MBALIMBALI ZA KIJASILIAMALI NA UZALISHA PAMOJA NA KAMPUNI ZA KIJASILIAMALI SIYO CHINI YA 5 KWA MFANO FOREVA LIVING, GNLD, KAMPUNI YA KILIMO ( KIJANI KIBICHI).. KAMPUN YA VIPODOZ TOKA SWEDEN nk.. HIVYO BASI NINA UDHOEFU SI CHINI YA MIAKA 7 KWA SHUGHULI BINAFSI NJE NA KUAJIRIWA, LAKIN MBALI NA SHUGHULI HIZO NIKO NA MALENGO MENGINE AMBAYO TAYARI NILIKUWA NIMESHA YAANDIKA SIKU NYINGI TU.. KWAHABARI YA KILIMO BIASHARA KWA KILIMO CHA MAZAO YA VITUNGUU AMBAVYO NITALIMA IRINGA NA AU MOROGORO, NDIZI / MIGOMBA SHAMBA LANGU LIPO BAGAMOYO NJIA YA KWENDA KIWANGWA KULE NINA HEKA MBILI ZA SHAMBA, NA MINAZI NITALIMA HUKOHUKO BAGAMOYO.. PALACHICHI NITALIMA IRINGA HAYA NI MAZAO YA MUDA MREFU.. NA MIPANGO NIMESHAANZA KUIFANYA SHAMBA LIMEPATIKANA NJOMBE IRINGA, LAKINI NATAKA NIJIKITE ZAID KWENYE KILIMO CHA MUDA MFUPI KILIMO CHA VITUNGUU WAKATI NAENDELEA KUSUBILI KILIMO CHA MUDA MREFU AMBACHO NI PARACHICHI NA NINAZI AMBAYO HUCHUKUA TAKRIBANI MIAKA 3 – 4 ILI KUANZA KUVUNA.. KWAHIYO KWA MUDA HUO WOTE MAZAO YANATAKA UANGALIZI NA UTUNZAJI KWA UKARIBU KWAHIYO NITAAONGEZA AJIRA.. LAKINI PIA LENGO LINGINE AMBALO NINAWIWA SANA KULIFANYA NI KUZALISHA MKAA KWA KUTUMIA TAKATAKA ZA PUMBA ZA MPUNGA, MASHUDU YA PAMBA NA MABAKI AU PUMBA ZA ALIZETI NA MALANDA YA MBAO, HII MASHINE ILINISHAWISHI SANA NA “NIMESHAIFUATILIA” HII NILIIONA PALE KWENYE MAONYESHO YA SABASABA MWAKA HUU JIJI DAR BAADA YA KUIONA HII MASHINE YA KUTENGENEZA KUNI NA MKAA.. HII MASHINE INAUZWA MILIONI 9.. KWAHIYO NITAKAPOKUWA NAYO NITASAIDIA SANA KUTUNZA MAZINGIRA KWA UKATAJI WA MITI NA UCHOMWAJI WA MKAA LAKIN PIA NITAPIGA KAMPENI KWENYE VYOMBO VYA HABARI ILI WATU / WANANCHI WATUMIE MKAA NA KUNI ZA KUTENGENEZA ILI KUTUNZA UOTO WA ASILI TULIOPEWA NA MUNGU KIZAZI HATA KIZAZI.. KWAHIYO NITAONGEZA AJIRA KWA KUAJIRI WATENDA KAZI NA WASAIDIZI. KWAHIYO NITAKAPO ZIPATA HIZO PESA “SHEKELI” MILL 40 NITAZIGAWANYA KWENYE MAKUNDI MATATU KUNDI LA KWANZA MILL 10 NITAWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MUDA MFUPI KITUNGUU, KITUNGUU KINALIMWA KWA MWAKA MARA MBILI KILA BAADA YA MIEZI 4 UNAVUNA NA NITALIMIA MKONI IRINGA AU MOROGORO ZAIDI SANA NAPENDA MOROGORO KWASABABU YA UKARIBU WA KUSAFIRI KWA UANGALIZI ZAID MAANA KITUNGUU KINATAKA UANGALIZI WA KARIBU KWAHIYO NITALAZIMIKA KUAJIRI WATU KWAJILI YA UMWAGILIAJI NA UNGALIZI WA MASHAMBA KWASABABU NITAANZA KULIMA HEKA MBILI.. KWAHIYO HIYO MILIONI 10 ITATOSHA KABISA KWA KUKODISHA MASHAMBA HEKA MOJA KUKODISHA KUANDAA SHAMBA MPAKA KUPANDA MADAWA HADI KUKOMAA INAGHALIMU MILL 3. HIVYO KWA HEKA MBILI ITAGHALIMU MILL 6.. KTK MILL 10 ZITABAKI MILL 4. AMBAZO HIZI ZITATUMIKA KWAAJIRI KUWALIPA WAHUDUMU NA HUDUMA MBALIMBALI MPAKA KUVUNA. FUNGU LA PILI MILIONI 15 HIZI NITAWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MAZAO YA KUDUMU PALACHICHI NA MINAZI HAPA PANAHITAJI PESA YA KUTOSHA KWASABABU TOKA KUPANDA MPAKA KUVUNAA INACHUKUWA TAKRIBANI MIAKA 3 – 4 . NA NITANZA NA HEKA 2 ZA PALACHICHI SHAMBA LITAKUWA MKOA MPYA WA NJOMBE KWAHIYO KAMA MILL 15 HAZITATOSHA KWA MIAKA 3-4 KUMBUKA KWAMBA TAYARI NILISHA ANZA KILIMO CHA MUDA MFUPI KITUNGUU AMBACHO HEKA MOJA YA KITUNGUU KIKITUNZWA VIZURI KINATOA GUNIA 70, 80 – 10 KWA HEKA 1. KWAHIYO UKILETA DAR GUNIA MOJA LINAUZWA ELFU 70, 80 – 120,000. KWAHIYO UKIPIGA HESABU UTAGUNDUA KITUNGUU KINAFAIDA KUBWA, KWAHIYO ITAKUWA NI RAHISI KUTUNZA NA KULIENDESHA SHAMBA LA PALACHCHI KWA MIAKA 3.. PAMOJA NA MINAZI, KWAHIYO KWENYE MGAWANYO WETU WA MAFUNGU MATATU TUMEBAKI NA FUNGU LA MWISHO MILL 15 HII KAMA UNAKUMBUKA MWANZO KABISA NILIANZA NA WAZO LA KUWEKEZA KWENYE MASHINE YA MKAA NA KUNI ZA KUTENGENEZA NA NIKASEMA MASHINE INAUZWA MIL 9 ILA NILIVYOFUATILIA MUHUSIKA AKANAMBIA BEI INAPUNGUA.
  LAKINI KTK HAYA YOTE LAZIMA ANGALIZO LIWEPO, KTK UWEKEZAJI WOWOTE NI LAZIMA UANZE KILA JAMBO KWA HATUA.. NA UNAANZA KWA JAMBO MOJA KWA KIASI KIDOGO CHA PESA, NAMAANISHA HUWEZI KUWEKEZA HII MIRADI YOTE KWA WAKATI MMOJA NA UKAFANIKIWA HAPANA UTAFEL TU, MIMI MWENYEWE NI SHUHUDA NILIANGUKA VIBAYA NIKAPOTEZA PESA NYINGI TU.. KWAHIYO NINASOMO KUMBWA KWENYE UWEKEZAJI WOWOTE.. ASANTE NA MBARIKIWE.. NAMB 0786 449 520.

 47. Naitwa mohamed , mawazo yang katika kukuz uchumi wa nchi n kutengeneza magarden katika miji mbali mbali ya Tanzania ambayo watu wataend kutuliza akili zao humooo na katika grden hizo unawek vivutio na kiingilio ambach kila mtanzania atawez kupata……pia katika hiz garden unawez kuwek swimming pool ambayo itakuw ikilipiw kwa masaa ambay mtu ataogeleaaa .hayo ni mawaz yanguu tu.



 49. Assalam aleikum,habari Tanzania kwa majina naitwa Zaitun z Sinkala ninastashaada ya maendeleo ya jamii nimeitimu mwenzi wa sits 2018,nimesoma chuo cha Rungemba Cdti kilichopo iringa natamani kusaidia jamii ya nyanda ya juu kusini kwa kutengeneza unga wa lishe bora na kuuza kwa bei nafuu na kutoa Elimu ya lishe bora kwa kina mama na jamii kwa ujumla iliwaweze kuwakomboa watoto chini ya miaka mitano mikoa hii Njombe, Iringa, mbeya tunalima mazao kwa wingi lakini watoto wanapata utapiamlo uwezo na nia ninayo lakini sina pesa ya kutekeleza mladi huu nikipata pesa nitashukru na kuendeleza furusa hii,kwa mawasiliano 0768242592

 50. Attractive part oof content. I just stumbled upon your weblog and in accession capital to claim that I gget iin fact enjoyed account your weblog posts.
  Any way I wiill be subscribing to your feeds and even I fulfillment you get
  admission to consistently quickly.

 51. Naitwa Kandore mkazi wa Arusha , wazo la biashara ni kutengeneza vifaa vya kuzuia kelele majumbani hasa nyakati za usiku watu wanapokwenda kupumzika.
  Kila mtu anafahamu faida ya kupumzika sehemu tulivu hususani baada ya kazi na mara nyingi ni katika makazi yetu tulipojenga nyumba zetu. Kuna wakati miili yetu inakabiliwa na msongo wa mawazo kutokana na changamoto kadha wa kadha zinazotokana na maisha yanayotuzunguka kama ndoa zetu, biashara na hata mgonjwa .
  Tunahitaji kufanya vikao vya familia na kuongea na watoto na wenzi wetu hasa katika mahali patulivu penye kelele kidogo sana, Wataalamu wa kijiografia wanasema kelele ni uchafu kama zilivyo taka,moshi maji machafu na kemikali za viwandani.
  Uwezo wa kutafakari, kusoma kwa bidii na hata kumjenga mtoto kiakili huthiriwa na mazingira yasiyoruhusiwa utulivu.
  Nilipowasili jijiini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza nilikumbana na changamoto kuu tatu katika maeneo mengi nazo ni joto kali, foleni barabarani na kelele katika makazi ya kuishi masaa yote 24. Bahati nzuri wakati wa dar wamepata ufumbuzi wa joto kali kwa kununua Feni na ac, Serikali nayo inajaribu kutafuta ufumbuzi wa foleni kwa kujenga barabara za juu na magari ya mwendo kasi hii ni hatua nzuri.
  Wazo hili linataka vijana waliosomea technolojia ya vifaa vya umeme kuanza mara moja kubuni vifaa hivyo na endapo wamepata ufumbuzi itakua kila mwenye nyumba atahamasishwa kufunga kifaa hicho ili aweze kusikilizana na kuongea na familia yake na hata kupiga simu bila usumbufu Wa kelele.
  Kelele za magari,bar za pombe, Vigodoro nk huchangia sana kelele. Asanteni nawasilisha wazo

 52. whoah this blog is fantastic i really like studying yiur articles.
  Keep up the great work! You know, a lot of individuals
  are looking round for this info, you could
  aid them greatly.

 53. Hey! Someone in my Facebook group shared this site with us so I came to look it over. I’m definitely loving the information. I’m bookmarking and will be tweeting this to my followers! Great blog and terrific design.

 54. Hi there to all, for the reasn that I am
  genuinely keen off reading this blog’s post too bbe updated on a regular basis.
  It inncludes good information.

1 Trackback / Pingback

 1. August 10, 2018 at 06:13PM – Smizzie

Comments are closed.