81 Jobs Vacancies at Public Recruitment Portal, March 2019 | Ajira Utumishi wa umma

Ofisi ya waziri mkuu

Job Vacancies Apply Online
On behalf of the Cereals and other Producing Board (CPB), Kibaha Education Centre (KEC), National Institute of Transport (NIT), College of Business Education (CBE), Tanzania Forest Service (TFS), Tanzania Railway Cooperation (TRC), Ministry of Health, Community Development, Gender and Children, Vocational, Education and Training Authority (VETA), Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Kilimanjaro Airports Development Company Limited (KADCO), National Construction Council (NCC) and Benjamini Mkapa Hospital President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced, highly organized and self-motivated to fill 81 vacant posts mentioned ;

JOB DETAILS AND MODE OF APPLICATION-VIA PDF FILEALL JOBS APPLY ONLINE
GENERAL CONDITIONS

i. All applicants must be Citizens of Tanzania of not more than 45 years of age except for those who are in public service;
ii. Applicants must attach an up-to-date Curriculum Vitae (CV) having reliable contacts; postal address/post code, e-mail and telephone numbers;
iii. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement;
iv. Applicants must attach their certified copies of the following certificates;
 Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates;
 Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts;
 Form IV and Form VI National Examination Certificates;
 Birth certificate.
v. Attaching copies of the following certificates is strictly not accepted
 Form IV and form VI results slips;
 Testimonials and all Partial transcripts.
vi. Applicants employed in the Public Service should route their application letters
through their respective employers;
vii. Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason
should not apply;
viii. Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts;
ix. Certificates from foreign examination bodies for Ordinary or Advanced level education should be verified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA) and National Council for Technical Education (NACTE);
x. Certificates from Foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU);
xi. Applicants with special needs/case (disability) are supposed/advised to indicate;
xii. A signed application letter should be written either in Swahili or English and Addressed to Secretary, Presidents Office, Public Service Recruitment Secretariat, 8 Kivukoni Road, P.O. Box 63100, 11102 Dar Es Salaam.
xiii. Deadline for application is 28th March, 2019;
xiv. Only short listed candidates will be informed on a date for interview;
xv. Presentation of forged certificates and other information will necessitate to legal action;
NOTE: All applications must be sent through Recruitment Portal by using the following address; http://portal.ajira.go.tz/and not otherwise(This address also can be found at PSRS Website, Click ‘Recruitment Portal’)

CLICK HERE TO APPLY ONLINE

 

Total
8
Shares
22 comments
 1. yah:Maombi ya kazi ktk fani ya umeme.
  mimi nikijana mwenye umri wa miaka 19 years nikijana niliye fika elimu ya kidato cha nne
  siku bahatika kupata chet ikabidi nikaenda katika chuo cha ufundi stadi veta chang’ombe nilisoma kwamda wa miezi mitatu electrical begin sasa nipo nyumban sina ajila.

 2. Yay: uwambaji wa ajila ya UDELEVA
  Kwajina naitwa SAIDI J TOZZO Natokea bagamoyo pwani nina umli wa miaka 29 nina elim ya kidato cha 7 najuwa kusoma na kuandik vizuli sana nimesomea udeleva chuo cha usafilishaji nina lesns kilas E nina uzoefu wa kutosha kwenye Magali 0659793144

 3. Mim naitwa Eva Emmanuel Mwailunda ninatokea dar es salaam Nina umri wa miaka 26 nimehitimu kidato Cha nne pamoja na diploma ya record management ninaomba kazi katika fani ya record management assistance. 0764402195

 4. naitwa kenneth natokea dar es salaam nina umri wa miaka 25 elimu yangu ni kidato cha nne pia nimesomea mambo ya air condition pia nimesomea udereva class D ninaomba kazi katika fani hizo 0658896762

 5. Naitwa Ally said natokea dar_ es_ salaam umri wangu ni miaka 43 elimu yangu ni Drs la Saba nimesomea udereva shekilango driving school Nina uzoefu wa udereva kwa miaka 15 Sasa naomba mnipokee naimani sitawaangusha namba zangu za simu ni 0658958451_0689308982 leseni yangu ni class E

 6. KIJIJI CHA KYOMU ,
  S.L.P 206,
  HIMO-MOSHI,
  24/03/2019.

  KIVUKO ROAD,
  S.L.P 63100,11102,
  DAR ES – SALAM,
  24/03/2019.
  YAH: MAOMBI YA KAZI Tafathali husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi naitwa yunisi kisima Nina umri wa miaka 23 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2013 nikajiunga na chuo cha ufundi umeme KYTTC MANDAKA nakuhitimu mafunzo ya ufundi kwa miaka miwili 2015-2016 nina uzoefu katika katika fani hiyo ya umeme. Namaini ombi langu litakubaliwa. 0625664052/0718025105

 7. YAH:MAOMBI YA NAFASI YA KAZI
  Husika na kichwa Cha habari hapo juu,naitwa Alice exavery Nina umri wa miaka 25,nilimaliza elimu ya sekondari mwaka 2013,nikajiunga na chuo Cha Utumishi wa umma,na kuhitimu ngazi ya cheti ya utunzaji kumbukumbu na nyaraka mwaka 2015.Ninaomba kazi katika ofisi yako naahidi kuwa mwaminifu na mchapakazi.
  0767844829/0658009680

 8. YAH: MAOMBI YA NAFASI YA KAZI

  Husika na kichwa cha habari hapo juu, naitwa Rehema Kidolezi nilimaliza Elimu ya secondary na baadae kujiunga na chuo cha utumishi wa umma ngapi ya cheti kwa masomo ya utunzaji kumbukumbu na nyaraka,
  Naomba nafasi ya KAZI kutoka ofisi yako nahaidi kuwa mtiifu na mwaminifu na mchapakazi
  0743581997/0653746017

 9. YAH: MAOMBI YA NAFASI YA KAZI.

  Husika na kichwa cha Habari hapo juu.Naitwa Riziki Hassani Ally niliemaliza elimu ya secondari na baadae nikajiunga na chuo cha utumishi wa umma na kuhutimu diploma ya record management assistance.Pia nina uzoefu wa miaka miwili kazini, natumai ombi langu litakubaliwa.
  0715 150899/0787 736295

 10. YAH:MAOMBI YA KAZI YA UDEREVA
  Naitwa FREDRICK BAKARI MKALA. Nimehitimu Elimu ya sekondari kidato cha nne mwaka 2012.Baada ya hapo nilijiunga na chuo cha ufundi VETA nikasomea kozi ya ufundi Wa magari na udereva.Na kufanikiwa kupata leseni ya udereva daraja C.

  Namba za simu 0625413213/0677483679.

 11. Naitwa FILOMENA V MAGORWA nina umri wa miaka 21 nipo dar es salaam ninaelimu ya kidato cha nne 4 pia nina fani ya uuguzi nimesomea NA nursing assistance miaka miwili 2 naomva nafasi ya kazi yoyote itakayo nifaa ni muaminifu pia ni mchapakazi natumaini ombi langu litafanikiwa kwa mawasilian zaidi 0679122960 ASANTEH

 12. Naitwa juvenaly s.Mosha Nina umri wa miaka 25.Pia nimemaliza elimu yangu ya kidato cha nne 2013 Handeni -Tanga na kujiunga na chuo cha ufundi umeme VETA kilichopo moshi Boma n’gombe kuanzia mwaka 2015 _2017 na kuhitimu ngazi ya chet daraja la tatu .Naomba nafas ya kaz ya kuwa fundi mchundo.Naamin ombi langu litakubaliwa .Mawasiliano 0655249120, / 0744618310

  1. YAH:MAOMBI YA NAFASI YA KAZI
   Naitwa Rehema Kitemba nina elimu ya kidato cha nne pia nimesom fan ya uuguzi (MA).Naomba nafasi ya kazi kulingan na kada yangu.
   0787 652014

 13. Naitwa Nasra Mwalami Nina umri wa miaka 21 nimemaliza elimu ya ngu ya kidato Cha nne 2015 (DSM) baada nikajiunga na chuo Cha datastar training college full hotel management kwa ngaz ya certificate mwaka mmoja Naomba nafas ya Kaz ya upishi Ni mchapakazi
  Natumain ombi langu litakubaliwa
  Mawasiliano 0654651059/0766436453
  Ahsanteni

 14. Naitwa Kulwa Salum Zomola, Nina umri Wa miaka 25 ,Nina elimu ya kidato cha sita, nimesomea chuo cha udereva FUTURE Nina daraja D katika leseni yangu, ninaomba kazi ya udereva, naimani ombi langu litakubaliwa na kufanyiwa kazi!! K. S. ZOMOLA!! 0659613582 au 0687023592

 15. naitwa james mhagama ndugu rejea na kichwa cha habali mimi naomba kazi y udeleva nina leseni class D nimesoma chuo cha veta songea ninacheti cha form four na ninauzoefu wa kutosha says:

  maombi ya kazi ya udeleva;

 16. MAOMBI YA KAZI YA UDEREVA.
  Ndugu, Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  Mm ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 32, nimehitimu kidato cha nne na pia nmesoma chuo cha NIT nipo vizuri kwenye udereva ninao uzoefu wa kutosha pia naweza kuendesha gari ndani ya nchi na nje ya nchi.
  Nimatumaini yangu kuwa ombi langu litajibiwa. Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa. E.S.N

 17. YAH:OMBI LA AJIRA SECRETARIESKATIKA WIZARA YAKO.
  Mimi ni kijana mzanzibar niliyemaliza masomo yangu ya sekondari mwaka 2015 ,pia nikajiendeleza na ngazi ya diploma natumai ombi langu litazingatiwa kwa moyo wa huruma
  Kwa mawasiliano
  0776721021

 18. YAH:MAOMBI YA KAZI
  Naitwa Rehema Kitemba nina elimu ya kidato cha nne pia nimesom fan ya uuguzi (MA),pia nina uzoefu wa miaka mitatu kazini.Naomba nafasi ya kazi kulingan na kada yangu
  0787 652014

 19. YAH:MAOMBI YA NAFASI YA KAZI
  Naitwa Rehema Kitemba nina elimu ya kidato cha nne pia nimesom fan ya uuguzi ( MA ). Naomba nafasi ya kazi kulingan na kada yangu,pia nina uzoefu wa miaka miwili kazini.
  0787652014

 20. Naitwa haji buyogera nina elimu ya kidato Cha nne nimesomea auto electric na agro mechanics Nina ufaulu wa grade(ii ) na level one Nina uzoefu wa kutosha namba yangu 0787686207

 21. Yah:maombi ya kazi Katina faniya umeme .
  Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 23 ,elimu yangu no kidato cha none, pia nina Cheti cha umeme Veta level ll.ninaomba Kazi katika shirika lako. SANTE.

Comments are closed.

Previous Article
Ofisi ya waziri mkuu

Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation: Jobs Vacancies and Studying Opportunities 2019

Next Article

3 International Jobs Opportunities at TradeMark East Africa (TMEA)

Related Posts