Overview
SGA Security Ltd is a leading security firm in East Africa ever determined to attain the highest standards in providing security services to leading factories, Diplomatic, non-governmental, Government and Corporate organizations as well as the private individual in the region.
SGA Founded in 1969 employs over 17,500 personnel in the region and boost of presence in all towns in Eastern Africa Region. Applications are invited from individual to fill in vacant positions mentioned below:
Job Position: Security Guard
Number of Positions: 57
Location: GGM Site, Geita
Qualifications:
The minimum level of education is an ordinary secondary school certificate or above.
Able to speak and write both Swahili and English
Minimum age 22-45 years, Height – 58’ and above, Eyesight – Good, Physique – Average
A holder of a driving license will be added advantage
Having any security training/background will also be added advantage
Mode of application:
APPLY THROUGH
Applicants should submit an application letter with postal written by his/her own hand subjected Security guard
Detailed CV
Copies of academic certificates and Birth certificates
Copy of identification such as national identity, voter’s card, driving license, or passport
Previous employer letter (if any)
Only shortlisted candidates will be contacted for interviews
NOTE: You will be required to submit the following details if you are contacted for the interview
Map/direction of your place of residence with clear labeled known signs
Three guarantors/referee’s declaration letter & introductory letter from local government with valid phone number post address and colored passport size & stamped
Six (6) colored passport size take recently
To apply for the vacancy, please submit your application letter and CV to:
SGA Human Resources Officer
P.O Box 532
Geita Tanzania. The closing date for applications is 20th November 2018 1600 HR
should i apply through your branches?
kwa majina naitwa ALFREDY MWAIKENDA, ninamiaka 22 kasoro miezi mitatu., Elimu yangu ni ya kidato cha nne na cha sita.. na nimepitia JKT.. najua nmeenda kinyume na maagizo ya application,, kwa mawasiliano zaidi No.0654568511
Naitwa Devotha Frank ni msichana mwenye umri wa miaka 23 na elimu yangu ni ya form four naomba kufanya kazi katika kampuni yenu.
Asanteh
naomba nafasi ya guard security katika kampuni yenu
Naitwa johnson mussa laiser naomba nafasi ya kazi katika kampuni yenu nina elimu ya sekondari na najua kuandika lugha zote kiswahili na kiingereza kwa ufasaha na pia Nina uwezo wa kuongea kiingereza Niko moshi Kilimanjaro
Naomba nafasi za ajira ktk kampuni yenu,ninauzoefu wa kutosha ,miaka saba (7)tafadhari nisaidieni
Naitwa Azizi Ally nina elimu ya sekondary piya ni dereva nina leseni class c1 naomba kufanya kazi katika kamupuni yenu asante
Naitwa Richard Makongwa naomba nifanye kazi na kampuni yenu
Naomba kufanya kazi katika kampuni yenu
Naitwa Barikiel Bajuta nimehitimu chuo cha uuguzi certificate naombaa nafasi ya kazi katika kampuni yenu
Naitwa Bashiri saidi Nina umri Wa miaka 21 nimemalza form four na nimepitia mafunzo ya Jeshi la Zimamoto na uokoaji naomben kaz kwenu
Naitwa Bashiri saidi Nina umri Wa miaka 21 elimu yang ni ya form four na nimepitia mafunzo ya Jeshi la Zimamoto na uokoaji natafta kazi 0757064638
Naitwa Innocent George naomba kazi katika kampuni yenu nina miaka 26 nimepitia mafunzo ya Jkt na nimehitimu elimu ya form four na elimu ngazi ya cheti (certificate)
am tanzanian youth of 28 years old, with the great respect i ask for the job opportunity in your commpany as it released in honnored office because i have the qualifications you need, my qualification level is a teacher in certificate level all
for more communication
+255625843453.
Naitwa Seleman Mussa Ni kijana mwenye umri wa miaka 22 . Ninaomba nafasi ya kazi katika kampuni yenu Kwani Nina elimu ya kidato cha Nne pia ninazo sifa zote mnazoitaji katika kampuni yenu. Matarajio yangu ntapata nafasi hiyo Kwani Mimi ni kijana muhadilifu sana .
Wako katika ujenzi wa Taifa
S.Mussa
Seleman Mussa
Naitwa neema legani Nhandi napenda kuomba nafasi ya kazi ya ulinzi katika kampuni lwnu ahsante kw maeasiliano 0754094690
Kwa jina naitwa mohamed t yusuph nina umri wa miaka 23 elimu yangu nimemaliza kidato cha nne na kuweza kuendelea na chuo cha bandari ngazi ya cheti na mbali na hayo mm ni dereva kupitia veta naomba kazi ya ulinzi kupitia kampuni lenu sim 0744958847
Watanzania mna shida gani lkn!!! Umeambiwa tuma maombi wewe unaomba hapa kazi kwa mtu aliekuletea taarifa za kazi,na bado unaridhika kwamba tayari umeomba kazi serious??
Jamani pendeni kusoma maelekezo vzr itawasaidia,unaweza ukalalamika haupati kazi kumbe siku zote maombi yako hayajawahi kufika hata kwa ofisi lengwa,Naona mpaka vijana wenye degree mfananya vihoja hivi,embu tubadilikeni. Asanteni
Jina langu ni Khalid Ahmed Shith nina umri wa miaka (26) mkaz wa Dar es salaam ni mhitim wa elim ya kidato cha nne (4). Napendekeza kuomba nafasi ya ajira kutoka kwenu pia nina afya njema na nimeridhia kuwa pamoja na nyie. 0716286939
[email protected]
Kwa jina naitwa Rajfa Ngonyani, ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 naomba nafasi ya udereva katika kampuni yako. Kwa mawasiliano 0657230668
naitwa neema John Nina umri wa miaka 23 naomba nafasi ya fundi umeme katika kampuni yako namba zangu 0672123980
Naitwa sara hamadi nimesomea agromechanics naombeni ajira nipo tayari kufanya kazi nanyi no zangu 0672269030