Public Recruitment Portal, Ajira mpya serikalini, Government jobs, Ajira za madereva Tanzania, Ajira za madereva serikalini, Drivers jobs in Tanzania, Tanzania jobs
400 Government Jobs-Drivers Jobs, APPLY ONLINE
The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1).
The President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is an independent department established by Section 29 (1) of the Public Service CAP 298 as amended by the Act No. 18 of 2007. PSRS was established to facilitate the recruitment process on behalf of the Government. The Amendment Act No.18 of 2007 under section 29 (6) stipulates the functions of the PSRS as follows:
As we all know that the government motto is to enhance transparency and accountability to the public. The PSRS will enable Ministries, Independent Departments and Agencies, Regional Secretariats, Local Government Authorities and other Public Institutions to acquire human resources with relevant competencies by adhering to principles of fairness, impartiality, transparency and meritocracy in the public service of Tanzania. It is therefore expected that, by adhering to the above principles; the public service in Tanzania will be of high standard and hence contribute to the growth of the national economy in line with the Vision 2025.
SEE ALSO
Jobs at WS Insight Risk and Protective Services Ltd, Customer Sales Representative
Jobs at ITM Tanzania Recruitment Services, Senior Security Officer
Nafasi ya udereva
Hello Alex, Fuata maelekezo Jinsi ya kutuma maombi yako ya kazi kama ilivyoelekezwa
Tunatuma na vyeti humu ndani
Iko poa sana
[email protected]
Driver
Naitwa Ally Khalfani mzaliwa Dar es salaam nachukua fursa hii kuomba kazi ya udereva nikiwa na uzoefu wa miaka takriban minane ( 8 ) niko na leseni class A B D na E ila tu sikubahatika kupita veta niko na cheti cha chuo cha kawaida tu!
Kwa majina naitwa Olivarsi Alberti Silayo mzaliwa wa Kilimanjaro na kwa sasa naishi Dar-es-salaam
Nachukua nafasi hii kuomba kazi ya udereva,ninauzoefu wa hii kazi ya udereva kwa muda mrefu tangu mwaka 2002 hadi sasa na nimesomea udereva katika chuo cha usafirishaji NIT Arusha na leseni yangu ni daraja c1,c2,c3,D,naE hivyo naomba kazi
Naitwa Hassan juma nipo dodoma naomba kazi ya udereva kwani nitaifanya kwa moyo wangu wote nimehitimu kidato cha nne na kujiunga na chuo cha veta pia ninauzoefu nayo nina lessen class e yenye daraja A, A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G Nahaidi kufanya kazi kwa moyo wote wako mtihifu Hassan Juma 0710350099 0674883574
Naitwa juma said kitelebu,
Ninaumri wa miaka 30,Elimu yangu ni ya msingi.Nimesoma motor vehicle mechanics na Driving Nina vyeti..Naomba kazi ya udereva kwani ninauzoefu wa udereva na ufundi kwa muda mrefu.
Naamini maombi yangu yatapokelewa
Ashanti.
naitwa dotto kilekalile umri wangu 42 ninaomba kazi ya udereva ninauzoefu usiopungua miaka kumi nimepitia chuo cha dreva NIT tanzania na nina cheti cha chuo icho kwa ss nipo Daresalam ninapatikana kwa namba 0766738121
Kwa majina naitwa Ramadhani amri said mzaliwa wa Zanzibar naitaji kazi ya udereva .nimemaliza kidato chá nne na kubahatika kupata cheti na nimebahatika kusomea udereva katika chuo chá veta .
Ok xawa s
Naomba kuuliza je kwa aliye maliza kidato cha NNE na alifeli lakini amesomea ufundi magari miaka 2 na udereva je analuhusiwa kuomba kazi
Haya sasa kazi hizoo
Naitwa Basil Luhamo nipo Dar es saalam naomba kazi ya udereva kwani nimemaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha VETA pia ninauzoefu na nina leseni yenye madaraja A,A2,B,D na E hivyo naombeni nafasi hiyo
Im driver my lincece is class E
0682310222
kwa majina naitwa ally omary mzaliwa wa dar es salaam nachukua fursa hii kuomba kazi ya udereva leseni yangu ni A1,A,B,D,E nina uzoefu wa miaka mitano 5. 0657 670607
naomba kazi ya udereva ninauzoefu makazi hiyo nimepiya veta na cheti ninacho pia na leseni pamoja na ufundi nafahamu pia xijawahi kupata kazi zaidi yakutembeya na boxx tu leseni yangu ni A1 B1 CD D F E
Naitwa juma Mohamed nakaa tanga mjini nimemaliza kidato cha nne mwaka 2013 nanimesomea udereva ninachet cha udereva na leseni ya udereva A, B, D, C1,C2,C3,E naombeni nafasi ya kazi.
Asanten.
J.mohamed
Naitwa juma Mohamed nakaa tanga mjini nimemaliza kidato cha nne mwaka 2013 nanimesomea udereva ninachet cha udereva na leseni ya udereva A, B, D, C1,C2,C3,E naombeni nafasi ya kazi.
Asanten.
J.mohamed. 0652900800
anaitwa Seif Ahmed Ngayonga nidereva nimesomea veta nikaendelea nikasoma NIT grdell(VIP)reseniyangu c1pianaelim yakidatocha NNE division four ya29 naombakazi nauzoefu wamudamrefu asante
Kwamajina Naitwa Adam Peter Mohammed nidereva nimesomea veta Mwanza napia Niko na lesena ya madalaja A B D hivo Niko na uzoefu wa kutosha nimefanya kazi katika kampuni ya ngofillo. Com iliyopo Mwanza nimeitim kidato cha nne Mwaka 2015 hivo naomba kazi wako mjenzi Adam Peter asantee. 0759263260
Naitwa EMANUELY REMI MACHA ni dereva nimesomea dar-es-salaam madalaja ya leseni yangu ni A A2 B D E Nina uzoefu wa miaka4 naomba kazi katika kampuni yenu
E.r.macha 0719076521
Naitwa Jonas Singano nina umri wa miaka 24 nimekulia arusha lakini kwa sasa niko daresalaam nimehitimu kidato cha nne ni dereva niliyepitia mafunzo ya udereva katika chuo kinachotambulika na serikali na nina leseni class A B D E F G. Pia ni muhitimu wa veta katika fani ya umeme wa magari(auto electric) katika daraja la tatu. Nachukua fursa hii kuomba kazi ya udereva kwani najiamini na uwezo ninao.
wako katika ujenzi wa taifa
0766543377
Naitwa Emmanuel Robert nipo TANGA Lushoto, nina umri wa miaka25 nimehitimu kidato Cha nne mwaka2015 na kujiunga na veta chuo Cha UDERVA Cha at Patrick’s father Lushoto mwaka2016. Naomba kazi ya UDERVA kutokana na taaluma Yangu Nina uzoefu wa miaka mitatu kwa kuendesha magari ya mtu binafsi ya kazini daraja la leseni Ni A,B na D.
Natumain ombi langu litakubaliwa
Ahsante
E.Robert
Phone number. 0621014282
Email. [email protected]
ninaomba kazi ya udereva umri wangu ni miaka 42 ninauzoefu usiopungua miaka kumi nimesoma chuo cha taifa NIT Tanzania nina daraja C E C1 C2 Ni raia wa tanzania
Naitwa JESAYA WILLSON MOSHI naishi dar-es-salaam ni dereva nimesomea katika chuo cha NIT INTEK ya 286 nilianza kazi ya udereva mwaka 1994 na Nina uzoefu kwa miaka 25 katika kazi hiyo madaraja yangu A B C C1 C2 C3 D na E naomba kazi ya udereva katika kampuni yenu
J.Moshi
0715627476
Naitwa Twaha Ally Nkalami nipo Handeni-Tanga naomba nafasi ya udereva kwani ninauzoefu wa kuendesha magari zaidi ya miaka mitano mjini na vijijini nilisomea chuo cha ufundi Hale driving training collage kilichopo Tanga mjini mwaka 2015. Na lessleni yangu ina daraja A, A2,B, D na E
Nimatumaini yangu ombi langu litakubaliwa
T.A Nkalami
0628295843
Naitwa Twaha Ally Nkalami nipo Handeni-Tanga naomba nafasi ya udereva kwani ninauzoefu wa kuendesha magari zaidi ya miaka mitano mjini na vijijini nilisomea chuo cha ufundi Hale driving training collage kilichopo Tanga mjini mwaka 2015. Na lessleni yangu ina daraja A, A2,B, D na E
Nimatumaini yangu ombi langu litakubaliwa
T.A Nkalami
0628295843
Naitwa Twaha Ally Nkalami nipo Handeni-Tanga naomba nafasi ya udereva kwani ninauzoefu wa kuendesha magari zaidi ya miaka mitano mjini na vijijini nilisomea chuo cha ufundi Hale driving training collage kilichopo Tanga mjini mwaka 2015. Na lessleni yangu ina daraja A, A2,B, D na E
Nimatumaini yangu ombi langu litakubaliwa
T.A Nkalami
0628295843
Ni mhitim wa veta fani ya ufundi wa magari ngazi ya cheti na pia udereva kwa madaraja A C1 C2 C3 D. Elimu yangu ni kidato cha nne. Naomba kazi ya udereva
Naitwa Emmanuel nimemaliza secondary mwaka 2008 na kujiunga na chuo cha ufundi wa magari mwaka 2013 na kumaliza 2015 level 3 nilisoma kozi ya udereva wa magari VET songea c1 c2 c3 na d ninauzoefu wa kutosha .Natumaini ombilangu litakubaliwa 0766745523/0656547543
Naitwa Said Abdallah, nina umri wa miaka 29, ninaomba kazi ya udereva.Lesen yangu ni daraja E, na nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Namba zangu za simu ni 0764287294
Vigezo vyote ninavyo vya kuwa dereva na leseni yangu unaniruhusu kuendesha gari aina yoyote ninauzoefu wa miaka 3 barabarani naomba kupatiwa fursa hii ya kupata ajira.
Naitwa anafi milanga ni mkazi wa daresalaam nina uzoev zaidi y miaka miwli naomba nipate kazi ntajituma ipasavo nimeitim chuo cha usafilishaji NIT na leseni yangu class C1,C2,C3 namba zangu za ni 0754636314 au 0786220519 nitashkulu endapo ombi langu litakubaliwa