On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA), Public Service Recruitment Secretariat invites dynamic and suitably qualified Tanzanians to fill 333 vacant posts.
1.0 INTRODUCTION:
Tanzania Ports Authority (TPA) was established under the Ports Act No. 17 of 2004. The Authority is vested with the obligation and responsibility of developing, managing and promoting the maritime sector in Tanzania mainland. The major role of TPA is to
enhance the advantages of the geographical position of Tanzania’s maritime resources to fulfill its mandates including provision of services in relation to loading and unloading of cargo and passenger services at all ports in Tanzania. TPA’s vision is to lead the regional maritime trade and logistics services to excellence and its mission is to develop and manage ports that provide world class maritime services and promote excelling logistics services in eastern, central and southern Africa. TPA continues to undertake substantial improvement measures to turn around its performance in order to maintain competitiveness within the region.
As part of on-going improvements a number of job opportunities needs to be filled as mentioned ;
GENERAL CONDITIONS
i. All applicants must be Citizens of Tanzania generally with an age not above 45 years except for the cadres which the age limit is specified
ii. Applicants must attach an up-to-date Curriculum Vitae (CV) having reliable contacts; postal address/post code, e-mail and telephone numbers;
iii. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement;
iv. Applicants must attach their certified copies of the following certificates;
Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates;
Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts;
Form IV and Form VI National Examination Certificates;
Professional Registration and Training Certificates from respective Registration or Regulatory Bodies;
Birth certificate;
v. Attaching copies of the following certificates is strictly not accepted
Form IV and form VI results slips;
Testimonials and all Partial transcripts;
vi. Overqualified candidates are not expected to apply;
vii. An applicants must upload recent Passport Size Photo in the Recruitment Portal;
viii. An applicant employed in the Public Service should route his application letter through his respective employers;
ix. An applicant who is retired from the Public Service for whatever reason should not apply;
x. An applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts;
xi. Certificates from foreign examination bodies for Ordinary or Advanced level education should be verified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA) and National Council for Technical Education (NACTE);
xii. Certificates from Foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU);
xiii. An applicant with special needs/case (disability) is supposed/advised to indicate;
xiv. A signed application letter should be written either in Swahili or English language and Addressed to; Secretary,
Presidents Office, Public Service Recruitment Secretariat,Utumushi House Kivukoni, 11102 Dar EsSalaam.
xv. Deadline for application is 19th April, 2019
xvi. Only short listed candidates will be informed on a date for interview and;
xvii. Presentation of forged certificates and other information will necessitate to legal action;
NOTE: All applications must be sent through Recruitment Portal by using the following address; httpss://portal.ajira.go.tz/and not otherwise(This address also can be found at PSRS Website, Click ‘Recruitment Portal’
MODE OF JOB APPLICATION-APPLY ONLINE
Elimu yangu iv division 29 nimesomea umeme wa majumban pia ninachet cha jkt miaka 21
Naitwa Rayson Mathayo
Ninaomba kazi ya welding and Fabrication katika kituo cha Tanga.
Ninacheti cha Veta Gred Two (2) na pia ninauzoefu wa muda mrefu tokea 2015.
Namba zangu za simu +255786253603 .
Asant
Rayson.
naitwa Marian ally Nina miaka 22 mkazi wa dar_es_salaam ,elim yangu kidato cha NNE ,na Ninafani ya nurse assistance .,naomba nafasi tajwa hapo juu
Jina langu ni Edward M.Mwakalinga,ninahitimu wa kidato cha nne(4),na pia ninahitimu wa fani ya FITTER MECHANICS,level three,na nikijana mwenye umri wa miaka 24,Ntashukuru kama ombi langu litajibiwa na kushughulikiwa juu ya fani tajwa hapo juu, ahsante na nashukuru pia kwa nafasi hii,na namba yangu ya mawasiliano ni,.0717140489.nipo Dodoma.,
Naitwa msafiri ndomba elimu yangu form four kwa division 4 na nina elimu ya motor vehicle mechanics ya level two naomba kazi ya ufundi ktk ofisi zenu kwa mawasiliano namba 0766107410
Ninacheti cha four division 29 pia nimesomea umeme na ninachet cha jkt niko maeneno ya pwan
Elim yangu divisin 4 nimesoma nerssing niko mkoa wa kigoma wilaya kasulu.
Flora una weza kufanya kaz yoyote?
Naitwa daud Charles Kidaya nipo Misungwi Mwanza,Elimu yangu ni kidato cha nne (form four) division iv 29,
Yah,kuomba Nazi ya ulinzi katika mkoa wa Mwanza.
Rejea na kichwa cha habari tajwa hapo juu,ninaumri wa miaka 21 pia nilihitim xhule mwaka 2016 pia nimehitimu mafunzo ya jeshi la Akiba na kutunukiwa cheti cha ujanja wa polini (UP) Niko tayari kufanya kazi
Nitashukuru sana endapo ombi langu litakubariwa wako mwema
Daud Charles Kidaya
0743029559
Habari.sorry naombeni nowasaidie kitu.maombi yako hawataki uandike kwenye comments wanataka uyatume kwenye website yao ukiambatanisha NA vyeti vyako ulivyo scan.
Sasa website tunatuje naomba niekezeee ndugu yangu maana kila nikijaribu kutuma CV na vyeti inagoma
UnataKuwa ujaze utumishi portal kwanza ambayo unadownload na ujajaza detailz zako zote kama walivyoainisha kwenye tangazo ndo unaweza apply vinginevyo maombi yako hayawezi kuwafikia walengwa
Okay kaka sort naomba nitumie anwani naitwa rachel
Naitwa daud Charles Kidaya nipo misungwi Mwanza, naomba kazi ya ulinzi katika mkoa wa Mwanza, Elimu yangu ni form four division 4 ya 29 nimehitimu mafunzo ya jeshi la Akiba hiyo napenda kazi ya ulinzi
jina langu naitwa Godfrey Jackson msuku elimu yngu ni form 4 naomba kazi ya ulinzi au hata ya usafi wa ofisi natumai nitapata nafasi ya kazi
Nina elimu ya form 4 ,Nina uzoefu wa elimu ya ufundi umeme level 3,naomba nafasi ya kazi na akili timamu.0652707493
Nina cheti cha form cha Kenya pia ninacheti cha udereva na leseni class b,d na f Niko dar es salaam.
Mimi kwa majina naitwa Edward M.Mwakalinga,nimehitimu mafunzo ya ufundi katika chuo cha Don Bosco technical Institute Dodoma,fani ya FITTER MECHANICS,miaka mitatu,na ni muhitimu wa kidato cha nne(4)Yusuph Makamba Sec.School jijini Dar-es-salaam.
naitwa James Julio mwalaji naomba kazi ya ufundi wa mitambo. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 22 nimehiti chuo cha ufundi veta dodoma katika kozi ya fitter mechanics pia nauwezo mzuri wa kufanya kazi kwa kushilikiana na mwenyewe bila kusimamiwa natafurai kama nitapata nafasi hii. asante 0719 625125
Naomba kaz ya ulinzi nipo Mwanza elimu yangu ni form four umri ni miaka 21,pia nimehitimu mafunzo ya jeshi LA Akiba, nitashukuru endapo ombi language litakubaliwayh
Naitwa Ambrosia lupindu ninaishi songea mkoa wa Ruvuma,elimu yangu ni kidato cha nne. Pia ninaelimu ya biashara yani Diploma in Marketing. Naomba nafasi ya kazi katika bandari kati ya hizo tajwa.Namba zangu 0757275686,0717529953 Ahsante.
ally ayoub nna chet cha form 4 pia nina lesen yenye class c1,c2,c3 g,b,d,g na f naomba kaz ya udereva nikiwa kijan mwenye miaka 27 natumai ombi langu litasikilizwa
Naitwa Eliza Kasekwa nimemaliza form four 2016 ninacheti nilipata ufahuru c yakiswahili c ya English d civics d history d literature in English d geography f math f chemistry f physics naomba kazi ya usafi ktk bandali zenu.asante
Naomba nafasi ya kutunza data elimu yangu ni kidato Cha nne na nimesomea utunzaji wa kumbukumbu
naomba nafasi ya utunzaji data,nina elimu ya kidato Cha nne na nimesomea utunzaji kumbukumbu namba yangu 0786469246
Naomba kazi ya account mimi naitwa Diana nimemaliza kidato channe natumain ombi lang litakubaliwa 0785387967 na ninachet chance computer
Namba yangu ya simu ni hii 0713990424 Samwel Steven ryoba
naitwa mariamu ally nini miaka 22 ,elimu yangu kidato cha NNE na Nina fani ya nurse asistance ,naomba nafasi tajwa apo juu
Naitwa rogasto kayombo nina miaka 36 nina omba kazi ya nurse(Anoll) nauzoefu wa miak 10 kazin naomba kazi kama mlivuvyo taja hapo juu,
Namba 0659988085,0782835510
naitwa MORICE naomba kazi yoyote ile nko tayari kufanya pia ninauzoefu WA kutosha.
Naitwa David Lukosi,nina elimu ya kidato cha nne,nina cheti cha ufundi wa magari nina cheticha udereva na leseni ya daraja A,B,D,E na pia nina cheti cha ulinzi.
Natumaini nitapata kazi bandarini
0789835504
Naitwa Lulu Y Bigurube, umri miaka 24 nilihitimu kidato cha 4 2012 mwaka 2014 nikajiunga na chuo cha Utumishi Wa Umma tawi la Singida nilisomea certificate ya Procurement and supply management, naomba kazi katika kituo cha mwanza.
Nitashukuru kama ntapata kazi.
Namba ya simu0759 522 242, 0659 955 798
Naitwa HENRICK STEPHAN KILINYAGA
ELIM form 4
Taaruma yangu Udereva Licence class E
Nina certificate ya udereva ya daraja E
Kutoka chuokikuu Veta ninauzoefu wamiaka 3 Naishi Dares salaam
Naitwa HENRICK STEPHAN KILINYAGA
ELIM form 4
Taaruma yangu Udereva Licence class E
Nina certificate ya udereva ya daraja E
Kutoka chuokikuu Veta ninauzoefu wamiaka 3 Naishi Dares salaam
Mawasiliano 0676-859716 0742-678765
Naitwa Tumaini Elly Mwalukasa,elimu yangu kidato cha nne, Electrical installation grade one, Signalling & Telecommunication certificate from Tianjin. Naitaji kazi ya ufundi umeme au mawasiliano.
Naitwa Edom Steven Elim yang kidato cha nne nmesomea ufundi makenika (motor vehicle mechanics) ktk chuo cha VETA tabora 0762693166
naitwaa Mohammed bakari nimehitimu form four nakujiunga na chuo cha ufundi veta DSM fani yangu ni ufundi ujenzi ( uashi)naombeni ushirikiano wenu
kwa majina naitwa evodius jeremia banyenza ninaomba kupatiwa nafas za kazi ya bandari na nipo kufanya kazi mkoa wowote na kuitumikia nchi yangu kwa sababu vigezo ninavyo nina cheti cha kidato cha nne nina vyeti vya ufund makenika nina leseni class c nina cheti cha udeleva kutoka chuo kinachotambulika kisherua ninaomba kupatiwa nafasi iyo
Sasa website tunatuje naomba niekezeee ndugu yangu maana kila nikijaribu kutuma CV na vyeti inagoma
naitwa Mohammed bakari nimehitimu chuo cha ufundi veta DSM fani yangu ni ufundi ujenzi naomben ushirikiano wenu kwa mawasiliano 0687159405
naitwa marky salapion naomba kaz 0783326709
Naitwa Eveline msafira naomba nafasi ya kazi ktk secta ya usafii ktk bandari ya tanga no.0657581746
naitwa lydia deogratius naomba kaz 0712285189
naitwa evance salapion naomba kaz 0653770804
naomb kazi ya usafi Elim 4
Naitwa pendo nimeitimu nurse naombeni kazi kwa mawasiliano zaidi
0652388020
0693064502
Naitwa arobogast paschal nimehitimu elimu ya kidato cha 4 Mwaka2011 na kujiunga na chuo cha mipango na maendeleo vijijin pia 2013 nilijiunga na chuo cha ufund veta Mwanza kwa fani ya fitter Mechanics na kuhitimu mwaka2015 ivo naomba kaz ya mechanika bandali yeyote.
Naitwa Steven maduga nina Elimu ya kidato cha nne nimesoma veta nimepata cheti cha Electrical instalation naomba maombi ya kazi namba yang 0653569178
Naitwa Simon Bulugu Shagembe,nimehitimu elimu ya form four na kusoma elimu ya biashara.business law,communication international skills,human resources .ivo namba nafasi ya kaz katika bandari yeyote kwa mawasiliano zaid.0682861074 au 0762770074
Naitwa herieth muna naomba kaz ya udereva sichagui kazi hata kazi ya usafi pia nitafanya number yang 0744637600
Ni mimi kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23,ninae itwa Teodora joshua mwandosya nilie hitimu cheti cha elimu ya sekondari mwaka 2015, na nimesoma elimu ya procurement and supply mwaka 2017_2018,Ninaomba nafasi ya kazi yeyote ambayo itaendana na wasifa wangu-pia Ntaweza kufanya kazi yeyote na na kutona na Mazingira yatakavokuwa, Kwa mawasiliano zaidi napatikana no 0744307134/0767833488,Natanguliza shukrani za dhati kwa kusoma barua yangu.
Naitwa kenedy joseph elimu yangu dalasa la saba ila nifund warding mzur naomb kazi 0718669679
naitwa evodius jeremia banyenza mm ni mtanzania mwenye umri wa miaka ishirin na tano ninaomb kupatiwa nafas ya udeleva kwasababu vigezo ninavyo lesen class c cheti cha udeleva kutoka chuo kinachotambulika kisheria vyeti vya ufund makenika na nipo tayar kufany kazi mkoa wowote kulingana na ntakapochaguliwa na npo tayr kulitumikia taifa langu la tanzania mm naomba kupatiwa nafas iyo
Naitwa Rajabu Mndeme Nimehitimu Elimu Kidato cha Nne Pia Nimehitimu Ufundi wa Welding. Namba zangu za simu
0689064126
Naitwa john joseph kombe,nipo moshi kilimanjaro umri wangu ni miaka 34 nina cheti cha form four nmehitimu mwaka 2005,pia nina leseni ya udereva yenye madaraja A, B, D, E, G, nmefanya kazi ya udereva toka mwaka 2007 km dereva wa magari makubwa hadi sasa pia nmetembea mikoa yote ya tanzania na nchi za nje pia,hivyo basi naomba kupatiwa ajira ya udereva katika mkoa wowote nipo tayari kufanya.
John joseph Kombe naomba kazi ya udereva,0715855179
Naitwa juvenaly s Mosha umri 25 elimu yangu kidato cha NNE pia nimesomea Umeme wa majumban na nina chet cha Umeme daraja la tatu .Naomba nafas ya kaz kulingana na nilichosomea Asante.0655249120
Naitwa abdul swamadu omari pazi naomba kazi mm ni dereva wa gari kubwa na ndogo (roli) naomba nipo dar
Naitwa juvenaly s Mosha umri 25 elimu yangu kidato cha NNE pia nimesomea Umeme wa majumban na nina chet cha Umeme daraja la tatu .Naomba nafas ya kaz kulingana na nilichosomea Asante.
Naomba kaz ya usafi elimu form four asante
Naomba kaz ya usafi elimu form four asante 0622621007
Ni mimi kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 20,ninae itwa Anita Dastan Kagusa nilie hitimu cheti cha elimu ya sekondari mwaka 2015, na nimesoma elimu ya cirtificate of financial management mwaka 2017_201,Ninaomba nafasi ya kazi yeyote ambayo itaendana na wasifa wangu-pia Ntaweza kufanya kazi yeyote na kuzingatia sheria na kanuni za kazi, Kwa mawasiliano zaidi napatikana no 0673832315/0755366587,Natanguliza shukrani za dhati kwa kuchukua mda wako wa kusoma barua yangu.
Ni mimi kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23,ninae itwa Teodora joshua mwandosya nilie hitimu cheti cha elimu ya sekondari mwaka 2015, na nimesoma elimu ya procurement and supply mwaka 2017_2018,Ninaomba nafasi ya kazi yeyote ambayo itaendana na wasifa wangu-pia Ntaweza kufanya kazi yeyote na na kutona na Mazingira yatakavokuwa, Kwa mawasiliano zaidi napatikana no 0744307134/0767833488,Natanguliza shukrani za dhati kwa kusoma barua yangu.
Kwa majina naitwa Jonas Mnubi Charles kutoka mwanza, ninaomba kazi ya kukusanya data, elimu yangu ni form 4 na nina division 4, nitafrahi zaidi kama ombi langu litakubaliwa na kufanikiwa, kwa mawasiliano zaidi namba yangu ni: 0762773075
Ni mimi kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 20,ninae itwa Anita Dastan Kagusa nilie hitimu cheti cha elimu ya sekondari mwaka 2015, na nimesoma elimu ya cirtificate of financial management mwaka 2017_201,Ninaomba nafasi ya kazi yeyote ambayo itaendana na wasifa wangu-pia Ntaweza kufanya kazi yeyote na kuzingatia sheria na kanuni za kazi, Kwa mawasiliano zaidi napatikana no 0673832315/0755366587,Natanguliza shukrani za dhati kwa kuchukua mda wako wa kusoma barua yangu.
Naitwa Mary Peter naomba kaz nmesoma diploma nursing and midwife, 0768259919
Ni mimi kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23,ninae itwa Teodora joshua mwandosya nilie hitimu cheti cha elimu ya sekondari mwaka 2015, na nimesoma elimu ya procurement and supply mwaka 2017_2018,Ninaomba nafasi ya kazi yeyote ambayo itaendana na wasifa wangu-pia Ntaweza kufanya kazi yeyote na na kutona na Mazingira yatakavokuwa, Kwa mawasiliano zaidi napatikana no 0744307134/0767833488,Natanguliza shukrani za dhati kwa kuchukua mda wako wa kusoma barua yangu.
Ni mimi kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23,ninae itwa Teodora joshua mwandosya nilie hitimu cheti cha elimu ya sekondari mwaka 2015, na nimesoma elimu ya procurement and supply mwaka 2017_2018,Ninaomba nafasi ya kazi yeyote ambayo itaendana na wasifa wangu-pia Ntaweza kufanya kazi yeyote na na kutona na Mazingira yatakavokuwa, Kwa mawasiliano zaidi napatikana no 0744307134/0767833488,Natanguliza shukrani za dhati kwa kusoma barua yangu.
Jinalangu Manate Kiweku Khalifa
Ninaelimu ya form4 naomba kazi ya ukusanyaji data mawasiliano 0712 942409 Asante.
Nna umri wa miaka 23,Nna chet cha form4 na form 6,natumain ombi langu litakubaliwa
Ni mimi kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23,ninae itwa Teodora joshua mwandosya nilie hitimu cheti cha elimu ya sekondari mwaka 2015, na nimesoma elimu ya procurement and supply mwaka 2017_2018,Ninaomba nafasi ya kazi yeyote ambayo itaendana na wasifa wangu-pia Ntaweza kufanya kazi yeyote na na kutona na Mazingira yatakavokuwa, Kwa mawasiliano zaidi napatikana no 0744307134/0767833488,Natanguliza shukrani za dhati kwa kuchukua mda wako wa kusoma barua yangu.
Ni mimi kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23,ninae itwa Teodora joshua mwandosya nilie hitimu cheti cha elimu ya sekondari mwaka 2015, na nimesoma elimu ya procurement and supply mwaka 2017_2018,Ninaomba nafasi ya kazi yeyote ambayo itaendana na wasifa wangu-pia Ntaweza kufanya kazi yeyote na na kutona na Mazingira yatakavokuwa, Kwa mawasiliano zaidi napatikana no 0744307134/0767833488,Natanguliza shukrani za dhati kwa kusoma barua yangu.
Naitwa Ramadhani Hemed Ally Kidelengwe. Nina umri wa miaka 22. Uraia wangu Mtanzania. Nina elimu ya form four na ufaulu wangu ni GPA 1.1. Nina cheti cha udereva. Hivyo naomba kupatiwa nafasi ya kazi katika idara ya usafirishaji ardhini. Mawasiliano na Mimi ni +255672-100784. Mungu ibariki Tanzania.
Naitwa Adam Ismail kilua Nina miaka 24 ninaomba nafasi ya Kazi katika bandari ya mwanza Nina cheti cha veta level two(2)nimesomea Engineering of motor vehicle mechanic na Nina cheti cha form fout(4)ngazi ya cheti kwa mawasiliano 0652308495.
Naitwa domitila eiasi silayo Nina umri wa miaka 21 elimu yangu kidato Cha nne naomba kazi ya usafi katika ofisi zenu.Nipo kimara daresalaam 0716410705
naitwa Juma Moshi Zaidy, umri 28 nilimaliza form four nikapata div 2,so naomba kazi yoyote ile,nilisoma masomo ya science.
mawasiliano yangu ni
0742370730
0625951017
Naitwa Samwel steven ryoba ni kijana mwenye umri Wa miaka 29 na nimtanzania elimu yangu in form four ninaomba kazi kwenye nafasi ya udereva mbarikiwe sana
Naitwa Ritha Mahatane, elimu yangu ni kidato cha nne, naomba nafasi ya kazi ya usafi wa mahofisini. Namba yangu 0654698122
Naitwa musagata hamza kizibwe nipo kigoma naomba kazi ya ulinzi elimu yangu ni kidato cha nne lakn pia hata kazi zingine nafanya sichagui kazi. simu 0744915417
Naitwa hillary thobiasy ujuzi wangu ni fundi mechanics,,pia nina elimu ya form six pia nina uzoefu wa kuongoza chombo cha moto barabaranii. Ntaipenda kazi yangu. Nipo dar es salaam
Naitwa Saraphina Kivinge Nina umri wa miaka 26 elimu yangu kidato cha NNE pia nimehitimu mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti ninaomba kazi ya usafi katika ofisi zenu nipo Dar es salaam namba yangu ni 0655928226
Naitwa Jasmine mohamedi hassani nina umri wa miaka 20 elimu yangu kidato Cha nne naomba kazi ya usafi katika ofisi zenu.Nipo Dar-es-salaam
Naitwa Neema Samson Simkoko nmehitimu kidato cha nne naomba kazi ya kufanya usafi,napatikana Mbeya
Naitwa Feruzi Kasoni nina umri wa Miaka 26 Nimesomea Driving Veta Dar es Salaam nina Leseni Daraja A,B,D,E Nina Uzoefu wa kuendesha Gar…Naishi Dar es Salaam.
0712557719
Naitwa adam ismail ninaomba nafasi ya Kazi katika kituo cha tanga Nina cheti cha beta cha engineering mechanic level two (2)na Nina cheti cha form four namba yangu ya simu ni 0652308495
Asante.
naitwa Sophia mangi nimemaliza elimu ya sekondari na kupata division three ya point 25. nakujiunga na kozi ya computer. naomba kazi ya usafi Katika ofisi zenu natumaini ombi langu litafanikiwa Nipo mkoa wa dar Ea salaam kimara
Naitwa oliva baptistaaa Nina elimu form Nina ujuzii mbalimbli kama computer…namba yangu 0623980090
Naitwa Baby faraji Msuya,ninaelimu ya Diploma ya Development Planning. Naomba nafasi ya ukusanyaji wa data. namba yangu ya simu 0714262619
Neema Samson Simkoko nna umri wa miaka 28,Elimu yangu kidato cha nne naomba kazi ya kufanya Usafi Nipo Mbeya 0753895119
Naitwa Ambrosia lupindu ni mtanzania naishi songea. Ninaelimu ya biashara ya Diploma in marketing .Nilishiriki mafunzo kwa vitendo katika bandari ya mwanza north pot .Naomba nafasi ya kazi katika bandari yeyote.Napatikana kwa namba 0757275686,,071752229953
Naitwa suleimani Joshua zacharia, elimu yangu ni kidato cha nne ufaulu wangu ni four pia nimesoma chuo cha ufundi stadi veta morogoro. Leseni yangu ni b,c,c1,c2,d,e na f ninaomba kazi ya udereva nina uzoefu wa kuendesha magari miaka mitano.Ninaishi morogoro 0685714247.
Naitwa Ramadhani mwanyamba robert ni mzaliwa wa mkoa wa mbeya nina umri wa miaka 27 ninaelimu ya kidato cha nne nimesomea uuguzi ngazi ya sertificate miaka miwili. Naomba nafasi ya kazi ya uuguzi namba yangu ya sim 0659704591
Naitwa Adam zatia Hamad nimemaliza kidatu cha NNE.nimesoma gani ya umeme ktk ngazi ya advance diploma ktk chuo cha veta kilichopo dar es salam.na nimefanya kazi ktk tawi LA tanesco lililopo tabata post a kwa mda wa mwaka mmoja na Nina uzoefu wakutosha.ninaomba kazi katka kituo chochote ktk mkoa wowote ile.natumai ombi langu litakubaliwa ahsateni.0659587372-0773759409
kwa jina naitwa veronica francis nina umri wa miaka 23 nimeitimu elim ya form four mwaka 2016 ni mtanzania naomba kazi yeyote katka kampuni yenu kwa mawasiliano zaid namba zangu ni 0744052127 napatikana mwanza.
Naitwa sadam namonde nina elimu ya sekondari na ufundi umeme nimehitimu veta mtwara. Ninauzoefu na kazi hiyo 07151304042 na 0789357707
Naitwa Ezekiel fanuel otieno Nina umri wa miaka 30 nimechukua fursa hii kuwaomben Kaz ya udereva au kazi ya ufundi ujenz make vyote Nina ujuz navyo pia nitafurah ombi langu litakapokubaliwa Asante pia mawasiliano yangu ni 0685910124 au 0755669848
Naitwa abdallah ponda mm nifundi uwashi nawamba mnipe kazi 0788898884 au 0657508980
Naitwa Rehema ismail khamis, nina elimu ya sekondari, ninaishi Dar es salaam, naomba nafasi ya kazi ya usafi,
Natumaini ombi langu litakubaluwa
0683187781 au 0744662917
Mm Ibrahim yohana Niko dar es salaam naomba Kazi ya udereva na elimu Yangu ni kidato cha NNE natumia fursa hii kuomba Kazi na leseni Yangu ni kama ifutavya ABC1c2C3DE Niko dar es salaam Kivule 0785376667:0717247683
Naitwa Kazuki John Kayanda ninaelimu ya kidato cha nne na kupata daraja la 4 naomba pia nina elimu ya ufundi bomba niliyo ipata veta Mwanza ninaomba Kazi na nitafanya kazi sehemu yeyote ile nitakayo pangia endapo nitachaguliwa kwa mawasiliano 0745167912/0688433063
Naomben nafasi ya udereva nimehitim mafuzo ya udereva INT nina grass c plan nitayar kufanya kazi by Ezekiel stephano 0714800278
Naomba kazi ya ufundi mechanical,elimu yangu ni ya kidato Cha nne na ninacheti Cha Diesel mechanical toka chuo cha reli morogoro
Naitwa saumu yahaya rashidi ni mtanzania nina elimu ya kidato cha nne ufaulu wangu ni division four ya 27 ninaomba kazi itakayoendana na elimu yangu. Natumaini ombi litafanyiwa kazi namba yangu ya sim 0718650045 Asante
Naitwa saumu yahaya rshidi nina umri wa miaka 21 ni mkazi wa tanga nimehitim elimu ya form mwaka 2015 ufaulu wangu ni four ya 27 ningeomba nipatiwe kazi yoyote kulingana na ufaulu wangu namba ya sim yangu 0718650045 naimani ombi langu litafanyiwa kazi asante
Naitw Ibrahim omary nimemaliz kidato cha NNE ninachet cha form four na nimesomea uderev na nina lessen naomb ningepatiw kaz kulingan na ufaul wang natumai ombi langu litashughulikiw mamb zangu za simu 0653616819 asant
naitwa baraka komba nimehitim form four mwaka 2016 Nina division 4 ya 26 kwa masomo ya science Niko vizuri nilienda chuo cha afya lakin Nimeacha kwanza kwa sababu ya uchumi hauko sawa!!naombeni msaada wenu kwa ufaulu wangu Englsh C, biology C, chemistry D,phyis D na masomo mengine Nina D. nitashukuru kama ombi langu litakubaliwa ahsante.
samahan mim ni baraka komba umri miaka 21 napatikan kwa namba 0753190636 niliecomment hapo ni mwanamke
Nina elimu ya form 4 ,Nina uzoefu wa elimu ya ufundi umeme level 3,naomba nafasi ya kazi na akili timamu
Naitwa shani Hamisi nimemaliza kidato cha NNE 2011 na Nina cheti cha nurse assistant ninaomba kazi katika bandari ya dar es salaam no 0659975730
Nina elimu ya form 4 ,Nina uzoefu wa elimu ya ufundi umeme level 3,naomba nafasi ya kazi na akili timamu.0652707493
Wote mlioomba kwa comment mmeshafail,maombi yenu yamekuja sehemu ambayo si sahihi.
Naitwa mwanakombo mohamed nimemaliza kidato cha nne 2013,ninaishi mkoani tanga nimemaliza diploma ya local government adminstration naomba nipatiwe Nazi bandari kulingana na fani yangu.napatikana kwa namba 0711650173.nitafurahi ombi langu likifanyiwa kazi
Ninaitwa momica peter Nimemaliza kidati cha NNE nime soma computer ninaomba kazi ktk bandali yyote namba ya cm 0712150595 asante
Mimi Fadhili qadr nimehitimu kidato Cha name mwaka 2015.Ninaomba kazi ya usafi katika bandali ya Dar-es-salaam.Nina uzoefu mkubwa wa kazi hiyo.Natanguliza shukran zangu za dhati iwapo nitachaguliwa
Ahsante
0785446806
Mimi Fadhili qadr nimehitimu kidato Cha nne mwaka 2015.Ninaomba kazi ya usafi katika bandali ya Dar-es-salaam.Nina uzoefu mkubwa wa kazi hiyo.Natanguliza shukran zangu za dhati iwapo nitachaguliwa
Ahsante
0785446806
Jina said tutu elim yangu form four ninachet division 29 ukusanyaj wa data nahis itanifaaa0753273546
Nikitokea mjiwamwanza ahsante
Naomba kaz ya medical attendant, nursing assistant
0766649048
Mimi naitwa Godwin Dausen Natai naomba kazi ya Udereva.Nina leseni ya udereva daraja B na D na Nina cheti cha mafunzo ya Udereva.Elimu ni kidato cha NNE,Nina result slip.Nipo tayari kufanya kazi Bandali yoyote.Namba yangu ya simu ni 0678084265.
Naitwa mariam naishi Dar es salaam,nina elimu ya kidato cha nne . naomba kazi ya usafi ofisini katika bandari ya Dar es salaam .natumaini ombi langu litashughulikiwa. 0713108698
Naitwa Charles Robert mgaka Niko dar nimesomea usafi naomba kazi ya usafi asante
Nina itwa ramadhani salimu abdalah mkazi wa dar es salaam Nina miaka hishirina pia ni mwanafunzi wa kidato cha NNE pia ni nimesomea fani ya welding and fabricationi namba zangu za SMU hzo 0629582610
Stephano P. mtony April 11/2019 kwa majina naitwa stephano Paulo mwenye umri wa miaka 26 ninaomba kazi ya udreva nimesomea fani yangu katika chuo cha kkt Hekima driving school kilichopo Dodoma Pia ni mhitimu wa kidato cha Nne ninao uzowefu wa kutosha natumaini ombi langu litakubaliwa wako katika ujenzi wa taifa stephano p Asante.
kwa majina naitwa stephano Paulo ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ninaomba kazi ya udreva nimesomea fani yangu katika chuo cha kkt Hekima driving school kilichopo Dodoma Pia ni mhitimu wa kidato cha Nne ninao uzowefu wa kutosha natumaini ombi langu litakubaliwa wako katika ujenzi wa taifa stephano p Asante.
Naitwa Rehema juma tamba nipo lindi naomba kazi ya usafi wa maofisi elimu yangu ni kidato cha nne division four kwa mawasiliano zaidi 0621493834
Kwa majina naitwa Jordan Jimmy Muia ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimtanzania nimehitimu kidato cha 4 nimesomea Diploma ya clearing and forwarding katika chuo cha Mombasa aviation kilichopo Mombasa.Ningependa kuomba nafasi ya kazi ya wakusanya data na control tower assistants.Kwa namba za simu
Kwa majina naitwa Jordan Jimmy Muia ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimtanzania nimehitimu kidato cha 4 nimesomea Diploma ya clearing and forwarding katika chuo cha Mombasa aviation kilichopo Mombasa.Ningependa kuomba nafasi ya kazi ya wakusanya data na control tower assistants.Kwa namba za simu 0652107107
Kwa majina naitwa Jordan Jimmy Muia ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimtanzania nimehitimu kidato cha 4 nimesomea Diploma ya clearing and forwarding katika chuo cha Mombasa aviation kilichopo Mombasa.Ningependa kuomba nafasi ya kazi ya wakusanya data na control tower assistants.Kwa namba za simu 0652107107
Naitwa Fadhira hamza kizibwe nimehitimu kidato cha nne naomba kazi ya usafi napatikana kigoma 0674131687
Nipo Arusha ninaelimu ya form four nilikua naomben hata kaz ya usaf au sehemu nyingne mtayoona mnaweza kuniweka nitashukuru kama mtanikubalia ombi language
Naitwa prisca Emanuel,Nina umri wa miaka 24 nimehitimu kidato Cha nne 2014 nikajiendeleza kusoma chuo Cha nursing MEDICAL ATTENDANT kozi ya mwaka mmoja 2015-2016,Nina uzoefu mkubwa katika utendaji kazi.Ni matumaini yangu ombi langu litafanyiwa kazi na kujibiwa.Nipo mkoa wa Mbeya wilaya ya kyela
Call:0742954955
Naitwa machage mwema kazi yang kubwa ni ufund mashine naoba kazi call namba 0768365515
Naitwa rajabu omary mkondo ni mhitimu wa kidato cha nne katka shule ya old tanga ninaufaulu wa division 4 ni kibarua wa hapa bandar ya tanga lakini nina chetu tu kizur ningeomba kuomba kazi ya kufanya usafi katka sekta yeyeto ile mtakayonipangia nipo tayari kufanya kazi kwa bidii na kwa uhaminifu nitafrahi sana kama ombi langu litakubaliwa na naamini litakubaliwa nitashkuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi ahsante
simu 0675215739
jama omary hasan nangagani elim dalasa lasaba umri (36) taruma udereva resen class C plan naomba nafasi ya kufanya kazi phen numbr 0714900302
jina salim rashidi pwete elim form 4 taaruma udereva resen class D umri (24) naomba kazi ktk kapuni phone numbr 0656633627 wako ktk ujenzi wataifa
kwa majina naitwa Romans Raphael okama.mzaliwa was kilimanjaro Nina umri wa miaka 26nmehitimu kdato cha NNE 2011 nikapata daraja la nne ,baada ya hapo nikajiunga na chuo cha utumishi wa umma mtwara ngazi chet,katika course ya record management naombeni kazi yeyote katika ofisi yenu ,na nmewahi kujitoleta katika hospital ya tandahimba kama data entry,namba yangu 0758855087
Naitwa Hamad said nipo kigamboni dar es salaam nimemaliza form four nimepata dvsion 4 na nimesoma mandatory corse ya ubaharia dmi naomba kazi kwa tiketi ya ubaharia no.yangu ni 0673027705
Naitwa HENRICK STEPHAN KILINYAGA
Naishi Dar es salaam Tabata segerea
Ninaumli wa miaka 25
Elim kidato cha nne
Taaruma yangu Udereva Nina licence class E Nina Cheti cha Udereva(class E)
Kutoka Chuo cha Veta DSM ninanauzoefu Wa zaidi yamiaka 3
Naombakaz ya Udereva Katka office yenu
Mawasiliano 0676-859716/ 0742-678765
NASRA ZUBERI apr12,2019.AT16:35.naitwa nasra zuberi naishi mkoa Mtwara nina umri wa miaka 21 nina elimu ya kidato cha nne, ninaomba kazi ya usafi ktk shirika la bandai liliroko mkoa wa Mtwara, naomba ushirikiano wenu ili tuweze kujenga taifa letu
Naitwa agusta Paul ntara nimesomea nersing pamoja n redcross kwa mwaka mmoja Nina miaka 21 ntashulu kama ombi langu litafanikiwa
Naitwa agusta Paul ntara nimesomea nersing pamoja n redcross kwa mwaka mmoja nina umri wa miaka 21 nimetokea ruvuma
Naitwa Julieth Kayombo,Umri wang miaka 26, Elimu yang ni ya Kidato cha nne Daraja IV alama 30, Nina ujuzi wa Microcomputer Applicationa ngazi ya cheti, ninaomba nafasi ya kazi ya utunzaji Data.
Naitwa zainabu mohamedi naomba Kaz ya ulinz nna uzoefu nayo nmepitia mafunzo ya kijeshi cheti Cha jkt nnacho.na pia mhtimu wa kidato Cha nne namba ya simu 0656476419
naitwa neema masanja natokea mkoa wa mwanza naumri miaka 24 Elimu yngu ni ya kidato chama nne divition IV 27. naomb kazi ya usafi mawasiliano yangu ni, 0752274477/0756644203
naitwa neema masanja natokea mkoa wa mwanza naumri miaka 24 Elimu yngu ni ya kidato cha nne divition IV 27. naomb kazi ya usafi mawasiliano yangu ni, 0752274477/0756644203
Naitwa matisho thomasi ayubu Niko dar es salaam elimu yangu Ni ya darasa la tano,lakini nimesomea masomo ya psv veta dsm Nina cheti, na Nina uzoefu wa muda mrefu ktk kazi ya udereva naomba nami mnifikilie Kama inawezekana, mawasiliano Ni 0756443550/0715443550
Naitwa Nurdini nongwa elimu yangu ni kidato cha nne division four, nimesomea udereva katika chuo cha veta-dar es salaam na nina leseni ya daraja A B D E. Naomba kazi ya udereva katika ofisi yenu. Mawasiliano 0785365726 / 0713703828 nipo dar es salaam ila nipo tayar kufanya mkoa wowote.
Naitwa Alex p kun’alo nina umri wa miaka 24,elimu yangu ni kidato cha nne Nina cheti cha advanced driver kutoka Veta,pia Nina cheti cha basic computer course na Nina leseni ya udereva daraja C1,C2,C3,D na E Nina uzoefu wa miaka 6 katika kazi ya udereva.
Kwa majina naitwa bahat hassan mohammedy nina umr wa miaka 21 ni mkaz wa darsalam
Elim yangu ni fom four nimepata chet na. Nimeenda kusome nerse mwaka 2017-2018
Hivyo ninapenda kuomba kaz ya nerse assintant
Kwa mawasiliano
Ni 071805 8918
Kwa majina naitwa ramadhani athumani ni mkazi wa mkoa wa mtwara pia nimehitimu kidato cha nne na nina living certificate pia nina umri wa miaka 22 nilikuwa naomba kazi ya usafi katika ofisi yenu ya mtwara,,,natumaini ombi langu litashughulikiwa na kufanyiwa kazi……kwa mawasiliano 0652069048
Naitwa Geoffrey Semombo,Nina umri wa miaka 23.Elimu yangu ni kidato cha sita na pia nmepitia mafunzo ya Jkt .Naomba kazi ya ulinzi ,mawasiliano yangu 0629409649/0622536803
Naitwa Rashid Seleman ,Nina elimu ya kidato cha nne nimesoma udereva nanina lesen class D pia nimesoma mechanics ktk chuo cha veta Dodoma vilevile Nina weza kuchomelea vyuma,Naomba kazi nipo Mpwapwa simu namba 0652337900
Naitwa zakia abdallah nina elimu ya form four nimesomea nurse assistant naomba nafasi ya kazi nipo dar es salaam sim no 0674302684
naitwa abdu said wazir nina ombi katika nafas ya driving ninachet cha N I T nimesomea V I P grade2 pia na chet cha ufund umeme wa magar pamoja na chet cha form4
naitwa shikalile Magina
Nina elimu ya kidato cha NNE ,professional nursing assistant Nina katika kazi nipo simiyu no ya simu ni 0768145434
SHIKALILE MAGINA kutoka simiyu nina elimu kidato cha NNE ,professional nursing assistant naombeni kazi mawasiliano 0768145434
naitwa asnati adinani elimu yangu ni kidato cha 4 naomba kazi ya usafi katika ofisi zenu ntafanya kaz kwa uadilifu endapo ntakubaliwa no 0757434064 asanten
Naitwa Mashaka Gabriel Alison no mkazi wa Dodoma Tanzania nimepitia mafunzo ya Jeshi la Akiba Mwaka 2017 Nina Elimu ya Form Four ninaomba kazi ya Ulinzi wa Bandari yoyote hapa Nchini Namba zangu ni 0719699821
Naitwa Adam kuziganika nina umli wa miaka 20 nime hitim kidato cha nne naomba nafasi ya kazi ya kati ya hizi usafi,ulinzi nina usoefu wa kutengeneza uneme wa majumbani nina chet cha scout ntashukuru sana:0768424134
Naitwa Adam kuziganika nina umli wa miaka 20 nime hitim kidato cha nne naomba nafasi ya kazi seem yoyote kati ya hizi usafi,ulinzi nina uzoefu wa kutengeneza umeme wa majumbani nina chet cha scout ntashukuru sana:0768424134
Naitwa SAMWEL ALFRED WILLIAM Nina umri wa miaka 23 Nina cheti cha form four division 33 Nina fani ya machenics grade 2 toka chuo cha ufundi moshi pia Nimehitimu mafunzo ya jeshi la akiba mwaka 2018 Nina moyo wa kujituma namba yangu ni 0629690589
Naitwa Johnson George nina umri wa miaka 27 nimemaliza four 4 nina fani ya welding fabrication nimesoma veta miaka 3 kwenye fani yangu kwasasa nina miaka 7 uzoefu ninao napatikana mwanza naombeni kazi no yangu ya cm ni 0752816883
April 13,2019,22:56
lovely kimboya
Naitwa love nimehitimu kidato chane Nina division 22 nimesoma chuo Amazon college ninaomba kazi ya usafi nitafanya kazi kwa juhudi na kwa uaminifu kama nifanikiwa kupata kazi hii
asante sana
0622457725
Hello, Tuma maombi yako ya kazi Kupitia Mfumo wa Serikali-Public Recruitment Portal kama Tangazo Linavyoelekeza
Habali naitwa rechol watsoni naomba kaz ya usafi katka bandali ya DSM naomba yangu 0658054250 au 06924966665
Habali naitwa rechol watsoni naomba kaz ya usafi katka bandali ya DSM naomba yangu 0658054250 au 06924966665