Jobs Vacancies details and Mode of Application
Background of the Judiciary
The Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 vests the authority and responsibility to administer justice in the Judiciary of Tanzania. The Judiciary has its foundation on Article 107A (1) and 107B of the Constitution and states clearly about the Independence of the Judiciary in the United Republic of Tanzania. Now the strategic plan for Judicial Independence is focused in both form and content.
Mandate of Judiciary
The mandate of Judiciary to perform its functions is obtained from the Constitution of the United Republic of Tanzania vide article 107 and its primary function is to dispense justice with equity and compassion according to laws of Tanzania.
Mission & Vision
To carry out the administration of Justice to the general public in dealing with disposal of cases effectively and efficiently. Interpreting diverse Laws and execution administrative decisions. Hearing and deciding cases filed before the courts of law.
Read More details via PDF File-Jobs Details and Mode of Application
OTHER NEW JOBS VACANCANCIES
Jobs Opportunities , Tanga and Zanzibar at AMREF Health Africa – Tanzania
Programs Administrator Jobs Opportunities Muheza, Tanga and Same, Kilimanjaro at ONGAWA
YAH: maombi ya kazi katika ofisi yako..
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni msichana mweny umri wa miaka 25…nimemaliza elimu ya msingi mwaka 2007 na kujiunga na elimu ya sekondary mwaka 2008 na kumaliza elimu ya form four mwaka 2011..nikajiunga na mafunzo ya secretarial course katika chuo cha set Joseph’s kilichopo jijini Tanga mwaka 2015 na kuhitimu mafunzo yangu mwaka 2016..baada ya hapo nikafanya field katika ofisi ya mkuu wa wilaya Tanga…kuanzia march had December..hivyo basi naomba nafasi ya kazi katika ofisi yako…
Nimatumini yangu ombi langu utalifanyia kazi…
Wako katika ujenzi wa taifa
Latifa salum
0674141285
Nitakua muaminifu siku zote pia Nita dumisha nidhamu
YAH: maombi ya nafasi ya kazi,husika na kichwa cha habari hapo juu chajieleza, Naitwa daud charles kidaya nipn misungwi mwanza,naomba nafasi ya ulinzi katika mahakama kwan nimehitim mafunzo ya jeshi la akiba mwaka jana 2018 na kutunukiwa cheti cha ujanja wa polini na mkuu wa wilaya yangu juma sweda,nina umri wa miaka 21 na nimehitimu kidato cha nne mwaka 2016 kazi ya ulinzi ninayo uzoefu ninaimani maombi yangu yatapokelewa, wako katika ujenzi wa Taifa D,kidaya 0743029559/0714637663
YAH: Maombi ya kazi katika ofisi zako,husika na kichwa cha habari hapo juu chajieleza,Naitwa daud charles kidaya nimzaliwa wa misungwi mwanza,ninayo fraha kubwa kuomba kazi ya ulinzi katika mahakama kwani nimehitimu mafunzo ya jeshi la hakiba mwaka 2018 katika wilaya ya misungwi na kutunukiwa cheti cha ujanja wa polini baada ya kufanya vizuri kwenye mafunzo hayo ya jeshi,nina umri wa miaka 21 na nilihitimu elimu ya form four mwaka 2016 na kufanikiwa kupata chet kizuri tu, nitashukuru sana endapo ombi langu litakubaliwa, wako katika ujenzi wa Taifa daud charles kidaya 0714637663/0743029559
Mdg, naitwa yohana matunge ninaumri miaka 26 elimu yangu certificate katika elimu Grade a teacher,ninaomba nafasi ya msaidizi ofisini.Nitashukuru sana endapo nitapata hii nafasi ,ntafanya kwa bidii zangu zote kwa mawasiliano yangu. 0744030527
Ndg Na yohana matunge namiaka 26 Elimu astashahada ktk elimu , naomba nafasi ya msaidizi ofisini , Nitashukuru sana endapo nitapata hii nafasi ntafanya kwa bidii zangu zote kwa mawasiliano yangu 0744030527
Naitea Restituta naomba nafasi ya uhudumu wa ofisi .elimu yangu ni kidato channe na nimesomea katibu mhutasi ngazi ya cheti nitashukuru kwa mawasiliano 0769982062
Naitwa herbet t yambazi;mim ni kijan niliyehitim mafunzo ya utunzaji wa kumbukumbu naomba nafasi ya usaidizi wa kumbukumbu.
Niwez tumia ujuzi wangu kwa maendeleo ya nchi yangu
0789606708