{"id":17293,"date":"2020-07-11T15:30:18","date_gmt":"2020-07-11T12:30:18","guid":{"rendered":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/?p=17293"},"modified":"2020-07-11T11:02:38","modified_gmt":"2020-07-11T08:02:38","slug":"tangazo-la-nafasi-ya-kazi-lita-10-07-2020","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/tangazo-la-nafasi-ya-kazi-lita-10-07-2020\/","title":{"rendered":"TANGAZO LA NAFASI YA KAZI LITA 10-07-2020"},"content":{"rendered":"<p style=\"text-align: center\">JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA<\/p>\n<p style=\"text-align: center\">OFISI YA RAIS<\/p>\n<p style=\"text-align: center\">SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA<\/p>\n<p>Kumb. Na EA.7\/96\/01\/K\/239\u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a010 Julai, 2020<\/p>\n<p style=\"text-align: center\">TANGAZO LA NAFASI YA KAZI<\/p>\n<p>Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa<br \/>\nVyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa<br \/>\nWatanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ya kazi moja (1) kama<br \/>\nilivyoainishwa hapa chini.<\/p>\n<p>1<strong>. MKUFUNZI MIFUGO DARAJA LA II- NAFASI 1<\/strong><\/p>\n<p>1.1 MAJUKUMU YA KAZI<br \/>\ni. Kutafsiri mihutasari ya mafunzo kwenye masomo;<br \/>\nii. Kuandaa mtiririko wa kila somo (Lesson plan) kwa upande wa nadharia na<br \/>\nvitendo;<br \/>\niii. Kufundisha kozi za stashahada na astashahada kwa upande wa nadharia na<br \/>\nvitendo;<br \/>\niv. Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia wanachuo wakati wa<br \/>\nkujifunza;<br \/>\nv. Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa kipindi chote<br \/>\nkinachohusika na kutunza alama zao;<br \/>\n2<br \/>\nvi. Kupima maendeleo ya wanafunzi kwa kushirikiana na maofisa mifugo wa wilaya,<br \/>\nviwandani wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field Practicals);<br \/>\nvii. Kufanya kazi nyingine zozote za fani yake atakavyopangiwana na mkuu wake;<br \/>\n1.2 SIFA ZA MWOMBAJI<br \/>\nKuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Mifugo kutoka Chuo Kikuu cha<br \/>\nSokoine cha Kilimo au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali au sifa<br \/>\ninayolingana nayo.<\/p>\n<p>1.3 MSHAHARA<br \/>\nKwa kuzingatia ngazi za Mishahara ya Serikali TGS.D<\/p>\n<p>MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.<br \/>\ni. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45<br \/>\nii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.<br \/>\niii. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia<br \/>\nkatika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi<br \/>\nkazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.<br \/>\niv. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye<br \/>\nanwani na namba za simu zinazopatikana pamoja na majina ya Wadhamini<br \/>\n(referees) watatu wa kuaminika.<br \/>\nv. Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, nakala za vyeti vya<br \/>\nkidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya<br \/>\nkuhitimu mafunzo ngazi mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.<br \/>\n&#8211; Postgraduate\/Degree\/Advanced Diploma\/Diploma\/Certificates,<br \/>\n&#8211; Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI,<br \/>\n&#8211; Computer Certificate,<br \/>\n&#8211; Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards),<br \/>\n&#8211; Picha moja \u201cPassport size\u201d ya hivi karibuni.<br \/>\nvi. Hakikisha nakala ya vyeti vya kitaaluma pamoja na cheti cha kuzaliwa unavyoviweka<br \/>\nkwenye mfumo wa maombi ya kazi vimethibitishwa na Mwanasheria aliyeidhinishwa.<br \/>\n3<br \/>\n<strong>vii. Testmonials\u201d, \u201cProvisional Results\u201d, \u201cStatement of results\u201d, hati matokeo za<\/strong><br \/>\n<strong>kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)<\/strong><br \/>\n<strong>HAVITAKUBALIWA.<\/strong><br \/>\nviii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na<br \/>\nkuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NACTE na NECTA).<br \/>\nix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba<br \/>\nisipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.<br \/>\nx. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika<br \/>\nUtumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika<br \/>\nWaraka Na CAC. 45\/257\/01\/D\/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.<br \/>\nxi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.<br \/>\nxii. Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili<br \/>\nHAYATAFIKIRIWA<br \/>\nxiii. Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa iliyoandikwa kwa<br \/>\nKiswahili au Kiingereza na barua hiyo ielekezwe kwa Katibu, Ofisi ya Rais,<br \/>\nSekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bararaba ya 8, Kivukoni S.L.P<br \/>\n63100 Dar Es Salaam.<br \/>\nxiv. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 23 Julai, 2020.<br \/>\nxv. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment<br \/>\nPortal) kupitia anuani ifuatayo;- httpss:\/\/portal.ajira.go.tz\/ (Anuani hii pia<br \/>\ninapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu<br \/>\niliyoandikwa \u2018Recruitment Portal\u2019).<\/p>\n<p>Limetolewa na:<\/p>\n<p style=\"text-align: center\">KATIBU<br \/>\nSEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<h3 class=\"title-medium-dark mb-none advert_news_title\" style=\"text-align: center\"><a class=\"adv_color\" href=\"httpsss:\/\/www.ajira.go.tz\/baseattachments\/advertisementattachments\/20201007021408TANGAZO%20LA%20KAZI%20%20LITA%20%2010-07-2020%20.pdf\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer nofollow\">\u00a0TANGAZO LA NAFASI YA KAZI &#8211; LITA 10-07-2020<\/a><\/h3>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7\/96\/01\/K\/239\u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a0 \u00a010 Julai, [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":15,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[33],"tags":[],"class_list":{"0":"post-17293","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-tzjobs"},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/17293","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/users\/15"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=17293"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/17293\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=17293"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=17293"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=17293"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}