{"id":17106,"date":"2020-07-03T21:29:16","date_gmt":"2020-07-03T18:29:16","guid":{"rendered":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/?p=17106"},"modified":"2020-07-03T13:36:52","modified_gmt":"2020-07-03T10:36:52","slug":"17106-2","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/17106-2\/","title":{"rendered":"TANGAZO LA KUITWA KAZINI"},"content":{"rendered":"<p style=\"text-align: center\">JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA<\/p>\n<p style=\"text-align: center\">OFISI YA RAIS<\/p>\n<p style=\"text-align: center\">SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA<\/p>\n<p>Kumb. Na. EA.7\/96\/01\/K\/226 30 JUNI, 2020<\/p>\n<p style=\"text-align: center\">TANGAZO LA KUITWA KAZINI<\/p>\n<p>Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu Waombaji<br \/>\nKazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 20 \u2013 22 Mei, 2020 na tarehe<br \/>\n08 \u2013 17 Juni, 2020 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni<br \/>\nkama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia<br \/>\ninajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Data base) kwa<br \/>\nkada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi<br \/>\nkupatikana.<br \/>\nWaombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha<br \/>\nkazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo<br \/>\nBarabara ya Kivukoni, Jengo la Utumishi, Masjala ya Wazi ndani ya siku<br \/>\nsaba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo<br \/>\nhazijachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.<br \/>\nAidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi<br \/>\nwanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye<br \/>\n2<br \/>\nbarua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals<br \/>\nCertificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili<br \/>\nvihakikiwe na Mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.<br \/>\nKwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa<br \/>\nhawakupata nafasi\/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine<br \/>\nnafasi za kazi zitakapotangazwa.<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<h3 class=\"title-medium-dark mb-none advert_news_title\" style=\"text-align: center\"><a class=\"adv_color\" href=\"httpsss:\/\/www.ajira.go.tz\/baseattachments\/placementsattachments\/20203006291552TANGAZO%20LA%20KUITWA%20KAZINI%2030%20JUNI,%202020.pdf\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer nofollow\">TANGAZO LA KUITWA KAZINI 30-06-2020<\/a><\/h3>\n<p style=\"text-align: center\"><strong><a href=\"httpsss:\/\/www.ajira.go.tz\/baseattachments\/placementsattachments\/20203006291552TANGAZO%20LA%20KUITWA%20KAZINI%2030%20JUNI,%202020.pdf\" rel=\"nofollow noopener\" target=\"_blank\">MAJINA \/\/ TANGAZO LA KUITWA KAZINI<\/a><\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7\/96\/01\/K\/226 30 JUNI, 2020 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 20 \u2013 22 Mei, 2020 na tarehe 08 \u2013 17 Juni, 2020 kuwa [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":15,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[33],"tags":[],"class_list":{"0":"post-17106","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-tzjobs"},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/17106","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/users\/15"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=17106"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/17106\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=17106"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=17106"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=17106"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}