{"id":16960,"date":"2020-06-26T16:30:58","date_gmt":"2020-06-26T13:30:58","guid":{"rendered":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/?p=16960"},"modified":"2020-06-26T11:17:49","modified_gmt":"2020-06-26T08:17:49","slug":"tangazo-la-kuitwa-kwenye-usaili-tra-24-06-2020","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/tangazo-la-kuitwa-kwenye-usaili-tra-24-06-2020\/","title":{"rendered":"TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TRA 24-06-2020"},"content":{"rendered":"<p style=\"text-align: center\">TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI<\/p>\n<p style=\"text-align: center\">Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya<br \/>\nMapato Tanzania (TRA), anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba<br \/>\nkazi kuwa usaili wa mchujo unatarajiwa kufanyika tarehe 4 Julai, 2020 na kufuatiwa<br \/>\nna usaili wa mahojiano ambao tarehe itapangwa baadae.<br \/>\nWasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-<br \/>\ni. Usaili wa mchujo utafanyika tarehe 04 Julai, 2020 kama ilivyooneshwa<br \/>\nkwenye tangazo hili; muda na sehemu ambapo usaili utafanyika<br \/>\numeainishwa kwa kila Kada;<br \/>\nii. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa<br \/>\nBarakoa (Mask) na kuzingatia masharti mengine ya kujikinga na<br \/>\nCOVID 19 KAMA YALIVYOAINISHWA NA WIZARA YA AFYA awapo<br \/>\neneo la usaili,<br \/>\niii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;<br \/>\niv. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na ama Kitambulisho cha Mkazi,<br \/>\nKitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi cha taasisi<br \/>\ninayojulikana, Kitambulisho cha Uraia ,Hati ya kusafiria au Leseni ya<br \/>\nUdereva<br \/>\nv. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha<br \/>\nkuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada<br \/>\nna kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;<br \/>\nvi. Wasailiwa watakaowasilisha \u201cTestimonials\u201d, \u201cProvisional Results\u201d,<br \/>\n\u201cStatement of results\u201d, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form V<br \/>\nand form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA<br \/>\nKUENDELEA NA USAILI;<br \/>\nvii. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi;<br \/>\nviii. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;<br \/>\nix. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao<br \/>\nvimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (NECTA, NACTE au<br \/>\nTCU);<br \/>\nx. Waombaji kazi ambao majina yao hayaonekani katika tangazo hili<br \/>\nwatambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi<br \/>\nnafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.<br \/>\nxi. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma<br \/>\nwanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za<br \/>\nkufanyia kazi.<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<h3 class=\"title-medium-dark mb-none advert_news_title\" style=\"text-align: center\"><a class=\"adv_color\" href=\"httpsss:\/\/www.ajira.go.tz\/baseattachments\/interviewattachments\/20202406381136TANGAZO%20LA%20USAILI%20TRA.pdf\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer nofollow\">\u00a0TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TRA 24-06-2020<\/a><\/h3>\n<p style=\"text-align: center\"><strong><a href=\"httpsss:\/\/www.ajira.go.tz\/baseattachments\/interviewattachments\/20202406381136TANGAZO%20LA%20USAILI%20TRA.pdf\" rel=\"nofollow noopener\" target=\"_blank\">MAJINA \/\/ TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI<\/a><\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili wa mchujo unatarajiwa kufanyika tarehe 4 Julai, 2020 na kufuatiwa na usaili wa mahojiano ambao tarehe itapangwa baadae. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":15,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[252,33],"tags":[],"class_list":{"0":"post-16960","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-interviews","7":"category-tzjobs"},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/16960","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/users\/15"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=16960"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/16960\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=16960"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=16960"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=16960"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}