{"id":16661,"date":"2020-06-11T12:30:09","date_gmt":"2020-06-11T09:30:09","guid":{"rendered":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/?p=16661"},"modified":"2020-06-11T07:25:46","modified_gmt":"2020-06-11T04:25:46","slug":"tangazo-la-kazi-serikalini-halmashauri-ya-wilaya-ya-ikungi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/tangazo-la-kazi-serikalini-halmashauri-ya-wilaya-ya-ikungi\/","title":{"rendered":"\u00a0 TANGAZO LA KAZI SERIKALINI &#8211; HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI"},"content":{"rendered":"<p style=\"text-align: center\"><strong>HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI<\/strong><\/p>\n<p>Mkoa wa Singida: S.L.P. 42,<br \/>\nSimu No. 0262964037\/6 SINGIDA.<br \/>\nBaruapepe:ded.ikungidc@singida.go.tz<br \/>\nTovuti:www.ikungidc.go.tz<\/p>\n<p>Baruapepe:ded.ikungidc@singida.go.tz<\/p>\n<p style=\"text-align: center\"><strong>\u00a0 TANGAZO LA KAZI<\/strong><br \/>\nMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi anapenda kuwatangazia waombaji<br \/>\nwenye sifa nafasi za kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III.<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p><strong>1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III. NAFASI MBILI (02).<\/strong><br \/>\nSifa za kuingilia moja kwa moja:<br \/>\n1 Mwajiriwa awe na elimu ya kidato cha nne (IV)au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya<br \/>\nAstashahada\/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:<br \/>\n\uf0b7 Utawala, Sheria, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya jamii<br \/>\nkutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote<br \/>\nkinachotambuliwa na Serikali.<br \/>\ni. Kazi\/Majukumu ya kufanya:<br \/>\na. Afisa Masuhuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji;<br \/>\nb. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, Kuwa Mlinzi wa Amani na<br \/>\nMsimamizi wa Utawala Bora katika ngazi ya Kijiji;<br \/>\nc. Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya<br \/>\nKijiji;<br \/>\nd. Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji;<br \/>\ne. Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;<br \/>\nf. Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha<br \/>\nwananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini<br \/>\nna kuongeza uzalishaji mali;<br \/>\ng. Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji;<\/p>\n<p>h. Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji;<br \/>\ni. Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji;<br \/>\nj. Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya Wananchi;<br \/>\nk. Kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji;<br \/>\nl. Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.<\/p>\n<p><strong>MSHAHARA:<\/strong><br \/>\nNgazi ya Mshahara wa Serikali TGS.B.1<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p><strong>MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI:-<\/strong><br \/>\ni. Waombaji wote wawe raia wa Tanzania ambao hawazidi umri zaidi ya miaka 45 na<br \/>\nhawapungui umri wa miaka 18;<br \/>\nii. Waombaji wote lazima waambatanishe wasifu binafsi (CV) zenye mawasiliano ya<br \/>\nuhakika, anuani, barua pepe na namba za simu;<br \/>\niii. Waombaji kazi wote wawasilishe maombi yao ya kazi kwa kufuata masharti ya<\/p>\n<p><strong>TANGAZO LA KAZI;<\/strong><br \/>\niv. \u00a0Waombaji lazima waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo:-<br \/>\na) Astashahada\/Cheti cha Utaalamu kulingana na sifa za nafasi husika.<br \/>\nb) Cheti cha mtihani wa kidao cha nne au sita.<br \/>\nc) Cheti cha kuzaliwa.<br \/>\nv.\u00a0 Hati ya matokeo ya kidato cha nne (Result slip) haitafanyiwa kazi;<br \/>\nvi.\u00a0 \u201cTranscript\u201d ambayo haikuambatanishwa na cheti haitafanyiwa kazi;<br \/>\nvii.\u00a0 Kuwasilisha vyeti vya kughushi na maelezo mengine itasababisha kuchukuliwa hatua za<br \/>\nkisheria;<br \/>\nviii.Watumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi;<br \/>\nix.\u00a0 Waombaji ambao walistaafu kazi kwa sababu yoyote ile hawaruhusiwi kuomba nafasi<br \/>\nhizi;<br \/>\nx.\u00a0 Waombaji waonyeshe wadhamini wawili na mawasiliano yao, anuani na namba za simu;<br \/>\nxi.\u00a0 Waombaji wenye vyeti vya kidato cha nne na cheti cha Taaluma ambavyo vimepatikana<br \/>\nnje ya nchi wahakikishe vimehakikiwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) na Baraza<br \/>\nla Elimu ya ufundi la Taifa (NACTE);<br \/>\nxii.\u00a0 Barua ya maombi iandikwe kwa Kiswahili au kiingereza.<br \/>\nxiii. Watakaochaguliwa kufanya usaili watajulishwa tarehe ya usaili kupitia tovuti ya<br \/>\nHalmashauri \u2013 www.ikungidc.go.tz<br \/>\n4<br \/>\nxiv. Kwa waombaji wenye vyeti vya ngazi ya NTA level 4 \u201cBasic Technician Certificate\u201d<br \/>\n(NTA Level 4) maombi yao hayatafanyiwa kazi. Kwasasa cheti kinachopokelewa ni<br \/>\n\u201cTechnician Certificate\u201d (NTA level 5) na kuendelea.<\/p>\n<p>Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 23 Juni, 2020 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri.<br \/>\nTangazo hili pia linapatikana kwenye tovuti ya Halmashauri.<br \/>\nMaombi yote ya kazi yatumwe kwa :-<\/p>\n<p><strong>Mkurugenzi Mtendaji,<\/strong><br \/>\n<strong>Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi,<\/strong><br \/>\n<strong>S.L.P. 42,<\/strong><br \/>\n<strong>SINGIDA.<\/strong><\/p>\n<p>(<strong>Justice L. Kijazi)<\/strong><br \/>\n<strong>MKURUGENZI MTENDAJI<\/strong><br \/>\n<strong>HALMASHAURI YA WILAYA<\/strong><br \/>\n<strong>IKUNGI<\/strong><\/p>\n<p><strong>Nakala: Katibu Tawala Mkoa<\/strong><br \/>\n<strong>Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,<\/strong><br \/>\n<strong>S.L.P 5,<\/strong><br \/>\n<strong>SINGIDA.<\/strong><\/p>\n<p>Halmashauri zote,<br \/>\nMkoa wa Singida,<br \/>\nMbao za matangazo Wilaya na Kata.<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p style=\"text-align: center\"><strong><a href=\"httpsss:\/\/www.ajira.go.tz\/baseattachments\/advertisementattachments\/200610141813TANGAZO%20LA%20KAZI%20%20IKUNGI%20(DC).pdf\" rel=\"nofollow noopener\" target=\"_blank\">TANGAZO LA KAZI PDF.<\/a><\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI Mkoa wa Singida: S.L.P. 42, Simu No. 0262964037\/6 SINGIDA. Baruapepe:ded.ikungidc@singida.go.tz Tovuti:www.ikungidc.go.tz Baruapepe:ded.ikungidc@singida.go.tz \u00a0 TANGAZO LA KAZI Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi anapenda kuwatangazia waombaji wenye sifa nafasi za kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III. &nbsp; 1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III. NAFASI MBILI (02). [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":15,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[33],"tags":[2030],"class_list":{"0":"post-16661","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-tzjobs","7":"tag-jobs-in-singida-tanzania"},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/16661","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/users\/15"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=16661"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/16661\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=16661"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=16661"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=16661"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}