{"id":13549,"date":"2019-12-24T16:33:31","date_gmt":"2019-12-24T13:33:31","guid":{"rendered":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/?p=13549"},"modified":"2019-12-24T16:46:02","modified_gmt":"2019-12-24T13:46:02","slug":"wanafunzi-698-washinda-rufaa-na-kupangiwa-mikopo-yenye-thamani-ya-tzs-2-46-bilioni","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wanafunzi-698-washinda-rufaa-na-kupangiwa-mikopo-yenye-thamani-ya-tzs-2-46-bilioni\/","title":{"rendered":"Wanafunzi 698 washinda rufaa na kupangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 2.46 bilioni"},"content":{"rendered":"<p>Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya majina <strong>698<\/strong> ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata mikopo katika dirisha la rufaa kufuatia kukosa au kupata kiwango kidogo cha mkopo katika awamu nne zilizopita.<\/p>\n<p>Wanafunzi hao <strong>698<\/strong> wamepangiwa mikopo yenye thamani ya <strong>TZS 2.46 bilioni<\/strong> na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopata mikopo hadi sasa kufikia <strong>49,485<\/strong>. Taarifa ya kina kuhusu utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019\/2020 itatolewa baada ya uchambuzi wa mwisho kukamilika.<\/p>\n<p>Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdul-Razaq Badru amesema hayo (Jumamosi, Desemba 7, 2019) jijini Dar es salaam kuwa taarifa zaidi kuhusu viwango walivopangiwa zinapatikana katika akaunti zao binafsi walizotumia kuomba mkopo \u2013 Student\u2019s Individual Permanent Account (SIPA) kupitia <a href=\"httpsss:\/\/olas.heslb.go.tz\" rel=\"nofollow noopener\" target=\"_blank\">httpsss:\/\/olas.heslb.go.tz<\/a><\/p>\n<p>\u201cTumeshaweka taarifa za hawa wanafunzi katika mfumo na hivyo kila mmoja anatakiwa aingie katika akaunti yake ya SIPA ambapo ataona taarifa zake ambazo pia zinatumwa vyuoni,\u201d amesema Badru.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Badru, HESLB imeboresha mifumo yake na hivyo wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza walioomba mikopo wanaweza kuona taarifa zao kutoka popote walipo kwa kutumia simu zenye mtandao wa intaneti (simu janja).<\/p>\n<p>Taarifa hii pia inapatikana kwenye mitandao ya kijamii na tovuti ya HESLB ambayo ni <a href=\"httpss:\/\/www.heslb.go.tz\" rel=\"nofollow noopener\" target=\"_blank\">www.heslb.go.tz<\/a><\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p><strong>Imetolewa na:<\/strong><\/p>\n<p><strong>BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU<\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya majina 698 ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata mikopo katika dirisha la rufaa kufuatia kukosa au kupata kiwango kidogo cha mkopo katika awamu nne zilizopita. Wanafunzi hao 698 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 2.46 bilioni na hivyo kufanya jumla [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":2,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[7,6],"tags":[841,64,1985,1987,1986],"class_list":{"0":"post-13549","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-edunews","7":"category-tcu-tanzania","8":"tag-bodi-ya-mikopo-tanzania","9":"tag-heslb","10":"tag-mikopo-vyuo-vikuu","11":"tag-students-loan","12":"tag-universities-loan"},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/13549","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=13549"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/13549\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=13549"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=13549"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.unistoretz.com\/magazine\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=13549"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}