The University of Dodoma (UDOM) wishes to inform all candidates who applied for admission into different study programmes offered by the University for the 2018/2019 Academic year in the second round of admission cycle that, due to reasons beyond our control, the results will not be announced as planned. Instead, the results will be published immediately once the existing problem is resolved. We regret for any inconveniences caused by this development.
Had Lin …
na third round ndo hyoo….inaishia
so we should wait till?
Jamni mbona mnatufanyia hivyo tutasubiri hadi lini na third round Leo ndio mwisho jaribuni kutufikilia
jamani mnazidi kunichanganya sasa kama hamtupi nafasi ya third selection tuchaguen wote tulio omba mana sielew mimi mpaka sasa siku zinazidi kwenda jamani UDOM
Daaaah jman tufanye third kwa emergency hii nd bongo
Jamani mje mtoe nafas tuombe third round coz udom hamjatoa afu mwisho leo
Sasa ayo majina yatatoka lini Sasa maana Leo ndo mwisho wa third round tufanyaje Sasa maana ninazidi kuchanganyikiwa hapa kweli tunaumia sanaaaaa
Nasubiri nione kama nimechaguliwa UDOM ili nijue wapi niende. Muwe na huruma jamani hebu harakisheni.
Yaan chaajabu nikwamb vyuo vikubwa TZ ndo had sasa hawajatoa majin na round ya 3 inaisha elo tuko siriaz kwel…
Dah ila ya mwaka huu ni mpya hela zinazidi kwenda tu duh inaumaa aise
Bora niaze maisha tu maana chuo ni termination kubwa now
sio kila pa kutoa comment lazima ucomment
binafsi napenda kusoma Udom yaan Nikikosa na round hii nahc ntazimia Kwa presha please Udom jmn! tuchagueni basi wote round ya pili Maana ya 3 Ndio inaishia ya kwanza tulikosa tumeapply Tena presha zinapanda jamani please we beg you
Nyie mnazingua xn na hyo Tcu mbna mna2fanyia vbaya hvyoo xx 2naaply nn third wkt 2nd hamjatoa majna?
this country is f__ked up
Jamn tuchaguen basi hata udom ndo tunategemea huku
hawapo sireous BT god will pay for this
.
Jamani tumeshatumia gharama nyingi tangu application za mkopo mpk saiv vyuo napo kizungumkuti ,imefikia stage baadhi ya wazazi wanatuchukulia kama watapeli
Daaaaaa aseee waziri wa elimu anajua kwel hilooo
Udom jaman daaa yamebaki masaa machache tuu Na system hazifunguki
hivi hayo matatizo beyond ur control hayaishi??? Udom c n chuo kikubwa kabsa Tanzania mnakosaje IT technicians na kla mwaka watu wanahitimu wenye uwezo ktka Technology, why don’t u employ them???
ifike stage serikali iangalie inapoenda jamn…tuko sehemu mbaya sana kuliko maelezo, Tume ya vyuo vikuu NAyO ni yaleyale, majina hayatumwi kwenye vyuo husika kwa wakati halafu bado mnatangaza third round mwisho 26th, ayo Masaa yalobaki basi mngefanya utaratibu wa kuachilia majina watu waone kama wamepata au wamekosa wajue cha kufanya.
Wasomi wamejaa kwenye ofisi zenu lakini mambo yanayofanyika ni upuuzi tu tunaweza sema ivo…Tanzania mnayoitaka mtaipata ila jaribuni kubadilika na kuwa na uchungu na watoto wa maskini wasioweza kwenda kusoma nchi za nje
Tuweni na busara jsmani vile vile tuvumilieni licha ya kwamba pressure ni kubwa ila tuta fanyaje,,,,,,, ila cha msingi ni kwamba tcu watuweke sawa juu ya deadine(trhe ya kumalizia 3round) coz wapo wanao sema ni 26 ambyo ni leo ila baadhi ya link zpo zimeandikwa trhe 29 septmber,,,,,,,
Daah!rafiki yangu mwisho tarh 29?akati kuna vyuo system zimeshafungwa ndugu kiukweli am tired with this issue sielew nafanyaje
awa jamaa bana teh dah
Jarbun kutuonea mercy jomonii wengne tunashinda tunalia tyu Jaman make wakutufalj nao Hawapo kwa sasa,,,,,plz/plz may you release /expose the results out coz we are not comfortable ,,,may the lord God bless you UDOM n TCU
What’s up, after reading this awesome piece https://bnuphoto.com