Tanzania Social Support Foundation is the Non-Governmental Organization that is incorporated under the Non-Governmental Organizations Act, Cap. 56 of the Laws of the United Republic of Tanzania, with mandate to operate in Tanzania Mainland. Since its incorporation on 07th March 2014, the TSSF has been actively dealing with Education, Economic Development, Good Governance, Healthcare, and Tourism
Vision Statement of the TSSF
“To be a leading Social Support Entity in Tanzania, that is committed to facilitate the provision of better healthcare, quality higher education, resilient and healthy good governance, and creation along with maintenance of sustainable tourism and economic ventures within the United Republic of Tanzania”
Mission Statement of the TSSF
“To have an educated, healthier, democratic and wealthy nation of the United Republic of Tanzania”
I want to get a loans in order to pay a fees of university.
Me naomba kuuliza hii mikopo for only degree mana me kwakweli nimepata hilo tangazo nikaona niulizie kua inawezekana kwa diploma me nasomea accounting management nipo mocu cooperative university campas ya kizumbi shinyanga
I want sponser in order to get education
Namba msaada wenu nipate namba zenu hasa za yule alokuwa akihojiwa Jana tunamaswali mengi ya kumuuloza kuhusu riba na mengine alokuwa mayo namba anisaidie
Sikuweza kupata mkopo batch ya kwanza na mimi sina huwezo wa kujilipia ada nilitegemea serikali ukilipia ada angalau ningeliweza kusoma familia yangu ni masikini masikini wa kutupwa naishi na ndugu wazazi wangu wako vijijini sina uwezo wa kujilipia ada ya chuo ambayo kusajiliwa tu lazima ulipe 60% ambayo 1,170000 na ada kwa mwaka ni 1700000 kwa kozi ya bachelor of science information technology. Naomba msaada bodi ya mikopo au yeyote anayeweza kunisaidia
Relax iyo n batch ya kwanza Znakuja nyingn
Kwa Hiyo ni sikuwa na vigezo vya kupata mkopo kwenye batch one au ndo new system inatumika 2017?
0718137169 ndo namba yangu ya simu naitwa Renatus Alfred na mm natamani kusoma ili niikomboe familia yangu na mm ni mtoto wa kwanza kwa hiyo kila mtu ananitegemea lakini ndo naumia sana kuona bodi ya mikopo inaninyima mkopo mm masikini wa kutupwa
Pole ndugu…Download hizo pdf file apo, fuata maelekezo jinsi ya kufanya application
Kwa Hiyo ni sikuwa na vigezo vya kupata mkopo kwenye batch one au ndo new system inatumika 2017?
Wait for next batch my young
Naomba nielekeze ofisi zenu zipo angalau nije nipate information kamili maana hata suelewi maisha yangu magumu ya kuunga unga naishi kwa ndugu tena mjane naomba msaada jamn
Your Message Mimi mwajuma Juma naomba mnisaidie mkopo serikal ilininyima mkopo japo mimi ni yatima baba angu arifaliki na aliyekuwa ananisomesha nae kwa sasa hana uwezo nahitaji msaada wenu niweze kuendelea na masomi
Nashukuru kwa mpango mlioanzisha mungu awabariki na kuwatia nguvu.mimi nimeaply mkopo lakini nimekosa hivyo naomba mniwezeshe katka taasisi yenu hii niweze kupata mkopo ili kuendelea na masomo kwa sababu baba yangu kwa sasa ni mlemavu na Hana kipato.asante
Your Message
mkopo umekosa chuo chenyewe ni UDSM tu nilichopata maisha yako Tait sina uwezo wa kusoma bila loans ila selikari iwe na moyo wa huruma peasants wote na wengine waso na uwezo wapatiwe mkopo Kama mimi
asante ntashukuru
Niomba katika shirika lenu kma mnaweza kunisaidia hela ya ada course bachelor of science in information system familia haina uwezo wa kunisomesha
Naomba mwongeze muda wa kutuma maombi ili kwa wale wenye sifa ya kupata mkopo ,wakikosa batch ya pili waweze kuomba huku maana ni watu wengi sana hawakufahamu tssf, kipindi wanaomba mkopo… Hivyo tunaomba mwongeze muda.
naomba mnisaidie mkopo Mimi ni yatima serikali imeninyima mkopo.nipo Lindi vijijini 0656-616303
Pole sana ndugu, Soma maelekezo vizuri jinsi ya kufanya application ya mkopo TSSF, 255 (0) 624 700 666
: +255 (0) 685 554 729
mwisho ni lini kuomba mkopo kwenye tasisi yenu
Mi pia nimekosa mkopo naomba munisaidie ili niweze kusoma
Twina kashaku nipo bukoba vijijini nimekosa mkopo srrikalini nilikuwa naomba miongeze mda Wa kuaply
sorry naomba niulize ,ivi mnatoa mikopo na level ya diploma pia?
Cjaelewa kuhusu huo mkopo???, maana hata mm Nimekosa loan,wanafanya maisha yawemagumu
Hawa watu hawapo serious mtu hana mkopo halafu vigezo awe mfanyakazi au adhaminiwe na mfanyakazi haya maisha jamani tight hatari ,naona watu wana apply na kushukuru hii taasisi kwa kutoa mkopo mfanyakazi gani ambaye sio ndugu akubari kukatwa kila mwezi 9%ya mshahara wake kila mwezi????nyie watu wengine hatuna ndugu wafanyakazi wazazi wetu wakulima tuu maisha magumu hata Kula wakati mwingine shida halafu HELSB wananinyima mkopo duuuu haya bana
Mimi nimechaguliwa water institute katika ngazi ya diploma ya water supply and sanitation engineering. Familia yangu haina uwezo wa kunilipia, niliomba mkopo kupitia RTWTF kwa bahati mbaya nimekosa. Kwa hiyo nauliza naweza kuomba mkopo hapa na nikapata maana familia yangu haina uwezo kabisa.
BONYEZA HAPA KWA MAELEZO ZAIDI
Naomba mkopo, Nipo chuo kikuu cha Dar es salaam,
Mwisho wa kuomba mkopo ni lini
November 30 ndio deadline
Ni mwaka Jana ambap nilijiunga na chuo kikuu lakn kwa bahat mabay sikufanikiwa kupata mkopo na hata hvy kwa kuwa familia yang haipo vizur kiuchum na mm ndiye pekee niliyesoma mpk chuo kikuu ndipo nimesoma kwa kuhangaika sana na had sasa nimejarb kuomb mkopo na sijapewa ,napend kuomba msaada katika hili tssf kwan kwa sasa matumain pamoja na ndoto zang za Elimu naona zinaishia hapa kwan sina wa kunitegemeza nikaendelea kusoma tena naomba sana msaada katika hili kwan ndilo litakalonifanye niwe na furaha kwan ninataka kwel kusoma kwa faida ya wa Tanzania wote
BONYEZA HAPAKUFANYA APPLICATION NA KUFAHAMU ZAIDI
Mbona hili suali linaulizwa saana ila unalikwepa halijibiwi ,,”Tunauliza je unaweza kupata mkopo wa diploma course “?
0624700666, 0685554729 TSSF CONTACTS HELP
Mmh sasa kama hauna mdhamin inakuaje
Mhh sasa kamahauna mdhamin inakuaje
BONYEZA HAPA KUFAHAMU ZAIDI
Na hizo TSSF gurantor form tutazipata wapi ?
0624700666, 0685554729 TSSF CONTACTS HELP
Kwani kuaaply kwa Mara ya pili ndo kumeanza lini mi tangazo naliona Leo jaman
BONYEZA HAPA KUFAHAMU ZAIDI
Naomba mtakapotoa mkopo uo muangalie pia waliosoma private Kuna watu walikua wanasomeshwa na ndugu au wanasomeshwa na wafadhili baada ya kumaliza form four akaachwa Sasa mnapowanyima mkopo mnakosea Kama wanavyovithibitisho ……….asanten
Naitwa Ester Masolwa nilitegemea mkopo kutoka serikalini lakn cjapata na ninapenda nisome ili nijikomboe mim mwenywe mana sina wazazi wote wawili namaanisha me yatima naombeni mnisaidie jamanii.Namba yangu ni 0754873540
Fuata maelekezo ester , jinsi ya kufanya application, download izo pdf files
Mimi nimechaguliwa bachelor of art in history nimekosa mkopo sina uwezo wa kulipa ada na accommodation nyingine naomba msaada ili niweze kuendelea na masomo yangu namba zangu ni 0759509733
Naomba kuuliza na sisi wa diploma naweza pata mkopo naombeni jibu ili niweze kujua
Your naitwa mashaka lunyilija mwaka wa tatu saiz nachukua bachelor of science with education serikli ilinipatia mkopo kias cha 980000 lakn karo ya chuo chetu ni 1400000 kwa mwaka naruhusiwa kuomba tena mkopo kwenye taasisi yenu hicho kias kilichobaki cha pesa maana inanipa shida sana kumalizia kiasi nachodaiwa maana wazazi hawana uwezo kiuchumi .
Nauliza mkopo unaanza kurejeshwa Mda gani baada ya masomo
Kama mzaz Wang Hana kazi na mkopo nimekosa nidmfanyaje nisaidien jamn
BONYEZA HAPA KUFANYA APPLICATION YA MKOPO TSSF; deadline November 30
Nahitaj kusoma mpka sass sins mwelekeo na Chuo kimeshafungua
BONYEZA HAPA KUFANYA APPLICATION YA MKOPO TSSF; deadline November 30
Jee? Hiyo pesa inalipwa kutumia account moja tu?
Kuna taarifa zinaendelea kuenea kuwa TSSF ni shirika la uongo na halijasajiliwa yani ni matapeli. Naomba muwaondoe hofu watu maana wengi walioona hiyo habari wanaogopa kuomba.
Wazazi wengine hawajaajiriwa.. Sasa hzo viambatanishi vya kuonyesha mshahara Wake tunaweka nini? ?
mi ni continuing student nalipiwa asilimia chache sana ana heslb ,VP Niki apply naweza kupata ???
BONYEZA HAPA KUFANYA APPLICATION YA MKOPO TSSF; deadline November 30
Naingia mwaka wa 3, na ni mwajiriwa lakini changamoto zinatukaba kukabiliana na mazingira ya kujiwezesha,
Je, naruhusiwa kuomba mkopo?
Naombeni mtakapotoa mkopo pia mniongeze kiasi fulani kwenye ada,,,, nmepata mkopo kwenye round2 lakini pesa ya Ada night kidogo Sana,…
kwa nn msifanye online application
kwa mtumishi zinahitajika form ngapi ??
BONYEZA HAPA ..KUPAKUA APPLICATIONS FORMS NA KUJUA ZAIDI
Watumishi jamani fomu ziwe 3 Tafadhali kwa maelezo zaidi nifolo http://www.waptricloanofficer.com
Jaman hv kuna vgezo vipi na vipi mbona hatuelew…duh
Naitwa Hassan S Namichi, ni mtoto wa mkulima sina mbele wa nyuma na mtu aliyekinisomesha hana uwezo na si mfanyakazi. na pia sina ndugu ambaye ni mfanyakazi sasa mnaweza kunisaidia kupata mkopo maana form ya mzamini nitashindwa kuambatanisha nakala ya salary slip.
Mwisho wa kuwasilisha fomu ni lini??
naomba mnisaidie sijapata mkopo wa serikali na mimi ni yatima Kwa Sasa naweza pata mkopo niki apply
Namba yangu 0746114844
msimamo wenu ni upi kufuatia kauli ya serikali kuwa hamtambuliki maana mimi nimeshatuma maombi kwenu na hapa majibu sijui nitayapataje na lini