Nacte Verification, Nacte Confirmation, Nacte students Verification, Nacte students Confirmation, Nacte Online Verification, Nacte Online Application, Nacte Transcript, Nacte Login, Nacte news, Nacte transcript 2019
NACTE ONLINE CONFIRMATION
The National Council for Technical Education (NACTE) is a corporate body established by the National Council for Technical Education Act, 1997 (Act No. 9 of 1997). The Act provides a legal framework for the Council to coordinate provision of technical education and training and establish an efficient national qualifications system that will ensure that products from technical institutions are of high quality and respond to changing needs as well as technological innovations in the world.
Technical education in this context is defined as “education and training undertaken by students to equip them to play roles requiring higher levels of skills, knowledge and understanding and in which they take responsibility for their areas of specialization”. NACTE is thus, a multidisciplinary and multi-sectoral body empowered to oversee and coordinate the provision of technical education and training in Tanzania.
CLICK HERE TO CONFIRM——UTHIBITISHO TAMISEMI
SEE ALSO:
HESLB Loan Application 2019/2020 | HESLB Login
TCU Tanzania | TCU Approved Universities to admit students 2019
Mbona ninapohitaji kuconfirm nikiandika namba ya mtihani inanipa jibu la “no data found” ina maana hamjaweka data zenu vizuri au ni namna gani ya kutumia? Tuelekezane please.
Tunapo jaribu kuhakiki mfano wa kuandika namba za mtaani auonekani vizuri
Toka tarehe 10 hadi leo tarehe 11 kila nikifanya uthibitisho majibu ni “no data found” nini tatizo au ninakosea namna ya kufanya uthibitisho ¿?
I have certificate of nursing and midwifery I complete at tosamaganga school of nursing Iringa year of complete 2017 nurse twoo
Kama kuna njia mbadala Ya kuthibitisha tufahamishwe
Nimejaribu kufanya confirmation na kufanya submission baada ya kujaza data zilizokuwa zimekosekana lakini naandikiwa unable to verify your data submission.Naomba msaada
Nimejaribu kufanya confirmation na kufanya submission baada ya kujaza data zilizokuwa zimekosekana lakini naandikiwa unable to verify your data submission.Naomba msaada
lαвughαí
nασmвαα mníѕαídíєє jínѕí чα ku cσrвfєrl chuσ nílíchσσ chαgulíwα
Jamani mtuambie njia nyingine ya kuthibitisha kwa sababu huku Ukerewe tunajaribu lakini inashindikana, tusaidieni jamani.
mimi naitwa ruth na nimeitwa tanga school of nursing kuchukua diploma in nursing and midwifery lakini nikiwa najaribu kudownload ili nithibitishe hawaniletei taarifa vizuri
Mimi Kila nikiandika namb ya mtihani naambiw not data found sas sijui ni upande wangu tu au na wengine nisaidieni jaman
Kuna tatizo gani mbona confirmation inagoma mini tufanye
nashukuru Sana nacte mfumo uko vema wakuthibutsha nimetumia muda mfupi tu,nawashukuru kwa kuboresha
Naomba mwongozo ndugu maana mimi nafail mwanzoni kabisaaa ninapojaribu kuingiza namba ya mtihani inagoma
mbona tuki confirm ina kataaa tusije tuka futwa chuo
Mimi Kila nikijaribu kucomfirm nashindwa
Well done nacte
jaman nisaidien imeshindwa kuthibitisha