MATOKEO YA USAILI WA VITENDO AIR TRAFFIC MANAGEMENT OFFICERS II-TCAA ULIOFANYIKA TAREHE 22-26/06/2020

Jun 26, 2020

Wasailiwa waliochaguliwa (Selected) kuendelea na usaili wa mahojiano utakaofanyika tarehe 29 Juni, 2020 katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Kivukoni jijini Dar es Salaam badala ya tarehe 26 Juni, 2020 iliyokuwa imepangwa awali saa moja kamili asubuhi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma(PSRS).

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)