JKT wa kujitolea, Nafasi za kujiunga na jeshi , JKT wa kujitolea 2019, Ajira JKT, Nafasi za kujiunga na jeshi, JKT 2019, www.jkt.go.tz, JKT Ajira, Jinsi ya kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, Jinsi ya kujiunga na JKT, JKT ajira mpya, JKT vijana wa Kujitolea
New Opportunities to Join JKT Training 2019 for Tanzanians
National service is a system of either compulsory or voluntary government service, usually military service. Many young people spent one or more years in such programmes. Compulsory military service typically requires all male citizens to enroll for one or two years, usually at age 18 (later for university-level students), while voluntary national service requires only three months of basic military training.
JKT has announced Opportunities for all Tanzanians who are willing to Join JKT Training for 2019
National Service was established on 10th July 1963 emanating from the ideas of the Father of the Nation, the late President Julius K Nyerere who once said ” National Service is the demand made by the Nation on youth and youth response in fulfilling their duty in building the Nation”.
The National Service was established by the National Service Act to bring together the youths of Tanzania for the following purpose:
- Work together in order to build the sense of nationalism.
- Develop cultural and sociological awareness.
- Provide skills, build economic independency, and reduce unemployment.
- Train and develop the youth for national service and assist the government during natural disasters and calamities.
- Build and develop the national economy.
- Provide military training for national defense.
DOWNLOAD OR VIEW PDF FILE FOR MORE DETAILS AND INSTRUCTIONS ON HOW TO JOIN JKT 2019
SOURCE: Muungwana Blog
SEE ALSO:
JKT AWAMU YA PILI 2019| LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICES-SECOND ROUND
JKT KWA MUJIBU WA SHERIA 2019| LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICES
[email protected]
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga kwa vigezo vilivyoelezewa
Hiyo pdf mbona siioni msaada tafadhari
mbona hiyo pdf mimi siioni kwenye simu yangu.
Inashindikana kudownlowd PDF kuna tatz gani,,,, kma kuna uwezekano WhatsApp 0676575823 au email; [email protected]
Naomba msaada wa hiyo PDF maana haionekani
nashukuru kwa kupewa taarifa ya kujiunga na jtk napenda sana kazi ya jeshi naombeni nafasi ya kujiunga
niko tayari kulitumika jeshi la nchi yangu kwa kujitolea
niko tayari kulitumika jeshi la nchi yangu kwa kujitolea namba yangu n 0693078884 na hii ni namba ya mam yangu 0759444755
Niko tayari lulitumikia jeshi la nchi yangu kuilinda nchi yangu na vilivyo ndani yake kwa damu na nyama yangu elimu yangu kidato cha nne sijui na mna ya kujiunga na jeshi 0674138553
Niko teyari kulitumikia taifa langu ningefurahi sana ningepata nafasi hii ya kujiunga na jeshi mwaka huu
Kwa moyo wangu wote 0678015906
tunaombeni iyo app
Natamani but napenda kuuliza ukiwa ulimaliza kidato cha nne 2010 unaruhusiwa kujiunga leo
Ninapenda sana kujitolea na pia ninaomba nafasi ya kujiunga na kujitokela kwa unyenyekevu mkubwa sana kuitumikia jeshi na kudumisha amani yetu miaka yang 25 nitafurahi endapo mtanisaidia 0718239835
Ningeshukuru sana kupata nafasi ya kujiunga na JKT
Nitashukur sana iwapo nitachaguliwa ili kujenga taifa letu
Nilitaman san kupata nafasi huu maan ni kitu ambacho nakupenda kutoka moyoni
Lugha ninazozungumza ni kiswahili kingereza na kiarabu shukran
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga kwa vigezo vilivyoelezewa
nilko tayari kulitumikia nchi yangu
Nipo tayali kutumikia.nchi yangu kwaa moyo wangu wote Nina elim ya kidato cha4 no yangu ya simu 0763121144
naomba hiyo pdf kama umeipata kwa wasap namba 0658443473
Mpendwa kaka au dada
Kwa heshima na taadhima,ninayo furaha kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga nchi kwaaakili yangu timanu pasi na kushawishiwa na mtu yeyote
Nitashukuru endapo ombi langu litakubaliwa ni mkazi wa ruangwa vijijini elimu ni ngazi ya chuo ngazi ya cheti elimu ya biashara
Wako mtiifu katika kulijenga taifa.
niko teyari Kama nitapata nafsi yakujiunga na jeshi LA kujenga taifa Nina elimu ya form four namb zangu 0717541620
Karibu
Nenda Ofisi za mkuu wa wilaya yako.
Naitwa Richard Mhoza, Niko tayari kujiunga na jwtz kwa moyo wangu wore katika kujenga taifa.0742733619
Nipo tayari kutumikia nchi yangu ningefurahi kama ningepata nafasi ya kujiunga na jeshi elimu yangu ni form four namba ya simu 0768025918
Yes
Mbona sehemu ya kuomba kujiunga haionekani au hiyo pdf?
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga kwa vigezo vilivyoelezewa
Naweza kua na email yenu ili niweze kupata kuwasiliana nanyi kwa urahisi zaid
Ndg
Niko Tayar kujiunga na mafunzo ya jkt, kwa akili yangu timamu, bila ya kushawishiwa na mtu yeyote kulitumikia taifa langu. Nashukur sana endapo ombi langu litakubalika.wako Regina Gerson.
Kwa mawasiliano 0764924781.
nitashukuru sana kama nitapata nafasi ya kutumikia jeshi la nchi yangu
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga kwa vigezo vilivyoelezewa
Usiombe hapa hii nafasi jamaaaniii,
Somen maelekezo pdf
Asante sana kwa kusaidia kuwaelekeza
Mr gauls maelekezo hawa, tyme itapita
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga kwa vigezo vilivyoelezewa
Ningependa kujiungakwenye hizi nafasi za jeshi yetu niko na certificate ya tour guide and operation kama nafisi inawezekana Niko tiali my number 0763977731 pamoja katika ujenzi wa taifa
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga kwa vigezo vilivyoelezewa
wapenda ndugu zangu nitashukuru sana na kujitolea kwa moyo wangu wote iwapo nitapata nafasi hii ya kujiunga na jeahi la kujenga taifa JKT naahidi nitajitolea kwa moyo wangu wote asante
no 0743669980
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga kwa vigezo vilivyoelezewa
Nahitaji kikiingia Na JKT
Mbona Pdf haionekani msaada mkuu
Mpendwa msomaji Mimi nimtanzania mwenye umri wa miaka23, Nina akiri timamu Nina elimu yangu ningazi yachuo nimeitimu masomo yangu RVTSC mwanza ngazi yacheti ubunifu(DSCT) nimkazi wakagera ninayo furaha kuomba nafasi yamafunzo yajeshi lakujenga taifa nikazi ninayoipenda bira ushauri wamtu nitashuku endapo ombi langu litakubarika. 0756067431
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga kwa vigezo vilivyoelezewa
Niko tayar kujiunga elimu chuo cha ualimu
0745612801
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga. UNATAKIWA KURIPOTI KAMBI HUSKIKA kwa vigezo vilivyoelezewa
Ningependa sana hii nafasi isinipite kujiunga na jeshi no moja ya ndoto yangu kubwa sana ambayo huwa naifikilia naombeni kama mtapendezwa nami namba zangu ni 0763892712/ na 0659771600 elimu darasa la saba7
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga. UNATAKIWA KURIPOTI KAMBI HUSKIKA kwa vigezo vilivyoelezewa
napenda sana kujiunga na jeshi la kujenga taifa lakini nimepitiliza nina miaka 25 na nina nguvu na afya njema nimaombi yangu kama nitapata nafasi nitafanya vizuri sana nina elimu S T D 7 Mungu awatangulie
Hello…Download Iyo PDF na ufuate maelekezo Jinsi ya kujiunga. UNATAKIWA KURIPOTI KAMBI HUSKIKA kwa vigezo vilivyoelezewa
DALTONE MATHAYO Number
0716_170652
0759_228283 tupambane katika ujenzi
Siioni hiyo pdf.
Napenda sana kujiunga na jenga taiga kama kuna nafasi naomba nijiunge Mimi nmalza form six mwaka huu 2019 no yangu 0743810519
Napenda sana kulitumikia taifa langu
Mwisho lini ku apply naona haijaandikwa
Naitwa Edward Michael Mmanywa naishi Tabora Napenda sana kulitumikia taifa langu na ninapenda pia kujiunga na JKT nina elimu ya kidato cha nne ila matokeo yangu sio mazuri sana naitaji nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa cheti cha elimu ya msingi
Wako katika ujenzi wa Taifa Edward Michael Mmanywa
MPENDWA KAKA AU DADA KWA HESHIMA NA TAADHIMA,NINAYO FURAHA KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA NCHI KWAAAKILI YANGU TIMANU PASI NA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NITASHUKURU ENDAPO OMBI LANGU LITAKUBALIWA NI MKAZI WA MWANZA ISAMILO ELIMU KIDATO CHA NNE WAKO MTIIFU KATIKA KULIJENGA TAIFA
MPENDWA KAKA AU DADA KWA HESHIMA NA TAADHIMA,NINAYO FURAHA KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA NCHI KWAAAKILI YANGU TIMANU PASI NA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NITASHUKURU ENDAPO OMBI LANGU LITAKUBALIWA NI MKAZI WA MWANZA ISAMILO ELIMU KIDATO CHA NNE WAKO MTIIFU KATIKA KULIJENGA TAIFA
MPENDWA KAKA AU DADA KWA HESHIMA NATAZIMA NINAYO FURAHA KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA NCHI KWAAKILI YANGU TIMAM PASI NA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NITASHUKURU ENDAPO OMBILANGU LITAKUBALIWA NI MKAZI WA MOSHI MJINI ELIM DARASA LA SABA WAKO MTIIFU KATIKA UJENZI TAIFA
Ndug: Kwa heshima na taadhima ninayo furaha kuomba nafasi ya kujinga na nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa (j.k.t) kwa akili yangu timamu bila kulazimishwa na mtu yoyote. Matumaini yangu ombi langu litakbaliwa wako katika ujenzi wa taifa
Naitwa victor mushi kutoko moshi ninayo furaha kuomba nafasi ya kujiunga na mafunzo ya kujenga inchi kwa akili yangu timamu bila kushawishiwa na mtu nashukuru endapo ombi lingu litakubaliwa ni mkazi wa moshi kidato cha nne wako mtiifu katika kujenga taifa 0621528669
Napenda kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga taifa JKT Nitashukuru sana endapo ombi langu litakubaliwa.0621518669
npend kujiung na jeshi la kujenga taifa nitafurahi kama ombi langu litfika sehem husika 0687141873
Hyo PDF inaonekana kuna hitilafu ktk kuipata ili kujua nini cha kufanya ili kupata nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa (JKT).
Kama kuna mwenye nayo anisaidie Kwa WhatsApp number 0676575823 ili kutumia fursa hii
Guys pdf si iyo apo juu inaonekana vizur tu? mnataka pdf ipi tena?
Naomba kujiunga na jeshi nitafurahi sana kama nitafanikiwa Kujiunga.0621518669
Maombi yangu ni kupata nafasi ya kujiunga na jkt kwa kujitolea kwa moyo kupata mafunzo katika maisha na si ajira
Nilikua na hitaji nafasi ya kujiunga katika mafunzo ya jkt
Naitwa thabith dauda kombo Niko mkoan kagera elimu yangu nimemariza kidato cha NNE 2016 Kwa sasa nimejiunga kwwnye ufundi Wa magar na ninamiaka minne tangu nimejiunga kwenye ufindi Kwa heshima na tahadhima naomba nafasi ya kujiunga na jeshi na napenda kutumikia Taifa Kwa moyo wangu ntashukuru endapo ombi rangu ritakubariwaa namb ya simu 0753962335 asantee Sana napenda taifa ranguu
Naitwa lucas benedicto toka kibondo , napenda sana kujiunga na jkt kwa ufanisi wa kulijenga taifa , elmu yangu kidato cha 4 , pia ni muhitimu wa receive command militial (jeshi la akiba) nitashukuru nikipata nafasi hii ili niweze kulitumikia nchi yangu. Contact :0625137992
nisaidieni nahitaji kujiunga na jkt nko tyal nna stashahada umri 24
Naitwa Rehema Kenneth ni mkaz wa dar es salaam ninapenda kujiunga na jesh la jkt elimu yang n kidato cha Nne nitafurah San kam Nitafanikiw kujiunga na jesh ili kuitumikia nchi yang namb zang ni 0655990426 wako katik ujenz wa taifa
kwamajina naitwa frank moses timotheo ni muhitimu wakidato channe mwaka 2018,Mimi kama kijana wakitanzania naomba maombi yakujiunga na jeshi la jkt kwa kujitoa kwa moyo wote,kwa mawasiliano zaid 0754883205. ahsante….
naipenda nchi yangu na Niko tiyari kuitumikia kwa miaka yote Nina sifa zote za kujiunga Nina akili timamu na Nina mafunzo ya scout kwa ngazi ya taifa nimesomea veta cozi ya electrical installation certificate naomben niwe mojawapo kati ya wanaoenda mafunzo hayo asanten
TUPAMBANE 2 VIJANA NDO LIFE ILO BY GODFREY (JEMEDALI)
Lang jina GODFREY a’k’a (jemedali) na mwaka uhu nakwanda kujiunga kidato cha tano na malengo yang kujiunga na jwtz kwa yeyote atakaye itaji naye kwenda uko naomba tungane pamoja tukalinde nchi yetu find me 0763800143
Naitwa Christian Ally naishi Arusha lakini nimzawa wa Mbeya ‘NIPO TAYARI KUJITOLEA NA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA{JKT}’ +255743076692 Tafadhali naomba maelezo mimi nipo Arusha na nimgeni Je nikienda kwa OCD wa Arusha atanisikiliza ama mpaka OCD wa Mbeya.? Tafadhali.
[email protected]
Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa jkt nitafrahi Kama ombi langu litakubaliwa nimehitimu kidato Cha nne namba ya simu 0764029500
Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi LA LA kujenga taiga jkt nitafrahi kama ombi language litakubaliwa nimehitamu darasa LA saba 0712652506
Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa jkt nitafrah kama ombi language litapokelewa 0712652506