HESLB | Second batch of loan allocated successful candidates for academic year 2017/18

HESLB Batch 3

DOWNLOAD ALL FULL LIST BELOW THROUGH>>>


The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) on Wednesday, October 25, 2017, released the second batch of 11,481 successful applicants for the academic year 2017/18.

Here is the full list for the first batch of 11,481 successful applicants for the academic year 2017/18.
The list is among 30,000 first year students who are expected to receive loans from the HESLB for higher education.
View the full list  of students allocated for loans for 2017/18 click here to download the pdf or use the box below to view the list


Second batch of loan allocated successful candidates for academic year 2017/18 |  Download PDF 

 

 Second batch of loan allocated successful candidates for academic year 2017/18 |  Download PDF 

 

CLICK HERE TO VIEW HESLB NAMES: UPDATED UNIVERSITIES

About unistoreTZ Media 2973 Articles
Unistoretz is the innovative education platform, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle branding which provides studying materials for students and Opportunities. All Education Announcements, Jobs Advertisements, Scholarships, studying materials and Other Opportunities Published In this Website are From their Original Sources&Their Trusted Sources.Copyright to the materials remain with the actual owner of the content.

16 Comments

 1. Inasikitisha sana wengine tunaumia tumekosa majina. Na hakuna sababu za msingi. Mi nadhani serikali ijitoe tu kugharamia elimu tunakomea Darasa la saba tuwe wakulima wote. Sababu serikali haioni uthamini wa watanzania maskini. Sitasahau serikali isiokuwa na macho kama hii. Rasilimali za nchi ya damu ya wazalendo inashikiliwa na wachache. Mnatubana kulipa kodi huku mnakula jasho letu kimakusudi.
  Tanzania nakupenda nchi yangu, ila wachache wanatufanya tuchukiane, I love my country. I hate those mad leaders who want to mislead our nation.

 2. dah mwaka jana nilikosa kwenda chuo kisa nilikosa mkopo nihc mwaka huu kma inawez tokea tena…tusaidieni jamani tupeni hyo mikopo uwezo hatuna sisi

 3. jaman inasikitisha sana has a kwa sisi tuliosoma kwa shida toka darasa la kwanza had kidato cha sit a kuon hatujapata mkop kweli inauma yaani najilaumu na ninakosa wa kumuhukumu kwa nin baba mzazi alifarik nakuniacha nahangaika na shida hizi TCU na loans board naomben mtuangalie

 4. hivi ina maana sereikali ya tz haitoi mikopo kwa wale waliomaliza DIPLOMA wenye vigezo na wamechaguliwa kuendelea na masomo ya vyuo vikuu mbona jamani hatuwaelewi kila mwaka halafu kama hawatoi mikopo kwa nini wasiwatangazie watanzania wakalifahamu hilo kwa nini HESLB inaendelea kusaga hela za watu hao kila mwaka na SERIKALI YA MAGUFULI imelifumbia macho swala hili????? TUMECHOKA TUMECHOKA TUMECHOKA jamani nani aliyeiloga TANZANIA

 5. MAGUFULI TUNAKUOMBA MAJIBU UTWAMBIE HAO BODI YA MIKOPO HESLB KWA NINI WANAKULA HELA YA WATU MASKINI WALIO NA DIPLOMA NA WANAOMBA MIKOPO KILA MWAKA LAKINI HATUPATI MIKOPO JE SISI SIO WATANZANIA HALALI????? KWA NINI HAYA MAJITU YA HESLB YANAZIDI KUWAFANYA WATZ WAISHI KATIKA NCHI YA TZ KAMA WAKIMBIZI???? TUNAJUTIA KUZALIWA TZ

 6. WALIO NA DIPLOMA TUNAKOSA MIKOPO KILA MWAKA LAKINI HAWATANGAZI KWAMBA HAWATUPI MIKOPO SISI ILI TUACHANE NA KUSOMA VYUO VIKUU,,,, KWA NINI NYIE BODI YA MIKOPO MNAKULA HELA YA WATZ MASKINI HALAFU MNATUACHA TUKILIA MITAANI???? MTALAANIWA NYIE SIKU YA KIAMA

 7. Tunaomba kujua na kwa wanaoendelea na masomo na waliapply Mkopo majina yao yatatumwa chuo ama……. Maana ni batch ya pili hatuoni majina……..

 8. si kweli tufanye research alafu tuongee,mimi na ndugu zangu wametoka diploma na wamepata mikopo,swala hapa ni vigezo

 9. Jamani inaumiza sana mtu kujitahidi kusoma kwa kutarajia kupata usaidizi lkn inaonekana haizingatiwi jitihada yako naweza kutoka na division ya kwanza ukakosa mkopo akapata
  Yule wa three kwa nini hii ni HAKI tunawafunza nini walioko form six wajitahid au wabakie hivo hivo HAKI NDIO KITU CHA KU ZINGATIWA

Comments are closed.