HESLB PUBLIC NOTICE TO ALL BENEFICIARIES AND APPLICANTS OF 2018/19 ACADEMIC YEAR

HESLB Batch 3

The Loan Application Cycle for 2018/2019 academic year will be open from 10th May, 2018 through 15th July, 2018.All applicants are advised to read carefully the guidelines and criteria for issuance of students’ loans and grants for the 2018/2019 academic year

In order to use the system easily; it is recommended that applicants should read all the instructions placed under Instructions link

HESLB PUBLIC NOTICE>>Download or View PDF File to read more Information
Source: HESLB OFFICIAL WEBSITE

About unistoreTZ Media 2973 Articles
Unistoretz is the innovative education platform, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle branding which provides studying materials for students and Opportunities. All Education Announcements, Jobs Advertisements, Scholarships, studying materials and Other Opportunities Published In this Website are From their Original Sources&Their Trusted Sources.Copyright to the materials remain with the actual owner of the content.

18 Comments

 1. naomben kusaidiwa nimeshamaliza kujaza fomu na kusainisha kwa wahusika nataka kutuma online sehem ya kuapload hapafunguki s.1725.0041.2014 CHRISTOpher1234. my password

 2. S0984.0091.2013
  Ni mwaka sasa sijapata sehemu ya mkopo wangu( field, special faculty, na ada). Naomba kujua mwafaka wa mikopo yangu hiyo

 3. Ni mwaka sasa umeisha sijapata ada kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

 4. S2930.0024.2014

  Nawaza sina ela ya field na sina mzazi wa kunisaidia wala ndugu sina chanzo chochote cha kujiwezesha naombeni msaada wenu jamaan HESLB Mungu awabariki

 5. Nimehangaika jinsi ya kujaza form ya mikopo ya elimu ya juu mpaka sasa siku zinaisha na chet cha kuzaliwa hakijarudishwa kutoka Rita naweza nikatuma njia gani kupata msaada?????

 6. S.0698.0041.2014 Sina hela ya ada ,field nabanfaiza kwa kuomba omba ndugu nao pia wamenichoka sasa mzee aliekua akinisaidia sasa amechoka ..umri umekwenda..naomaba msaada jamani

 7. s2815.0085.2013 Kaboga Joseph in mwanachua wa chuo cha elimu mkwawa mwaka jana nilituma maombi ya kuomba mkopo nilikosa katika katika bahasha yangu wakati natuma posta (ems) kwabahati mbaya niliambatanisha na cheti original cha kifo cha baba yangu mzazi Ambilikile Kaboga . Nimehangaika kufutilia lakini jitihada zimegonga mwamba

 8. S1093/0555 nimetuma vyeti vyangu RITA Mara ya kwanza na Mara ya pili lakini bado sijarudishiwa majibu na siku zimebaki chache mnanisaidiaje wapendwa?? Sitamani kubaki kitaa jamani plz I beg you help me. 0688909161

 9. Kuna wadogo zangu wamefanya taratibu zote za kuomba mkopo imebakia tu tarifa kutoka Rita kuhusu cheti cha kifo af siku zmeisha sasa nashindwa kuelewa mwafaka wake,msaada jamani hali ngumu. Majina yao Hilda J Mwamasangula na Lida A Mwamasangula

 10. Mfano unalelewa na mzazi mmoja lakn baba mzaz alikukataa tang ukiwa tumbon hutumii jna lake na huyo baba wa kufkia hamsaidii mama kwanamna yoyote kuhusiana na malez yako.je utambatanisha nn chenye kuonesha uhitaj wako mkubwa wa mkopo

 11. Speratus Simon S.0841/0122
  Mimi Nasoma mwaka wa pili University of Dar es salaam collage of Education(Duce).Sina Pesa ya Field na special faculty Hii ni changamoto kwangu Ambaye namtegemea Mama na mwenyewe kazeeka na hana chanzo chochote cha kipato Dah n Tabu sana.NAWAOMBA HESLB WANIANGALIE KWA NAMNA NYINGINE.MUNGU AWABALIKI SANA.

 12. Leo n trh 5 /7 siku 10 kabla ya deadline ya maombi ya mkopo lakin Rita bado hawajalesha majb ya uhakik hadi sasa kuna orodha ndefu ya wanaosubir majbu je kuna njia nyingne ya kufanya ili watu watume maombi au watume bila uhakiki? Kwasababu zmepita wiki mbili sasa na deadline inakarbia

 13. Samahanini wakubwa wangu kuna mdogo wangu mwaka jana aliahirisha kwenda chuo kutokana na kukosa mkopo na mwaka huu ametuma maombi tena ya kuomba mkopo na kutokana na kuhakiki cheti mwaka jan mwaka huu hahakiki na maombi alishatuma naombeni msaada wenu ili aweze kupata mkopo wa kumsaidia kusoma jamni anakaa nyumban hana mwelekeo na wazazi hawan uwezo wa kumsomesha anaitwa LUCY AGUSTINO

 14. S0155.0002.2012,mimi nasoma mwaka wa pili st john university (BSN),m angu ya food and accomodation kwa semester hii ya 2 bado sjayapata,na sina ndg wa kunisaidia kwan naishi na mama tu ambae n mlemavu wa macho.Naomba mnisaidie kwan pesa hizo ndo ztanisaidia mm kuweza kununua vifaa vya field na kuweza kuendelea na masomo

 15. Naitwa godfrey festo ndeng’aso ni mhitim wa kidato cha sita mwaka huu nimetuma vyeti vyangu rita hii ni mara ya pili sijaletewa majibu na mda wa kuomba mkopo unaisha naomben msaada wenu kwasababu baba yangu ndo alikuwa ananisomesha nasasa amefariki naomben msaada wenu plz

 16. nimefuatialia cheti cha KUZALIWA Rita wameniambia nakipata tarehe 17 alafu na mwisho wa KUOMBA mkopo ni tarehe 15 mtatusaidiaje jamani….. tunaomba ata muongeze siku kadhaa mbele ili wote tuweze kuapply mkopo.
  Mwenyezi Mungu awabariki

Comments are closed.