
TANROADS
TANROADS Headquarters
P.O. Box 11364,
3rd Floor, Airtel House,
Ali Hassan Mwinyi/Kawawa Roads Junction,
Dar es Salaam.
3rd Floor, Airtel House, Ali Hassan Mwinyi/Kawawa Roads Junction, Dar es Salaam.
[email protected]
Visit website
+255 22 2926001
+255 22 2926011
+255 22 292 6001
ABOUT US
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) ni Wakala chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. Iliundwa chini ya kifungu 3 (1) cha Sheria ya Wakala (Sura 245 ), na kuanza kazi mwezi Julai, 2000. Wakala inawajibika kwa matengenezo na maendeleo ya barabara kuu na mitandao ya Barabara za mikoa ya Tanzania Bara. Mtandao wa barabara Tanzania Bara unakadiriwa kuwa na urefu wa kilometa 86,472 kutokana na Sheria ya barabara ya mwaka 2007. Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS, inasimamia mtandao wa kitaifa wa barabara wenye jumla ya ya Kilometa 33,891 ukihusisha Kilometa 12,786 za barabara kuu na Kilometa 21,105 za barabara za mikoa. Mtandao uliobaki wa Kilometa 53,460 za Mijini, Wilaya na Barabara za mlisho ziko chini ya majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Our Vision
To have sustainable, safe and environmentally friendly all weather Trunk and Regional road network to support the social economic development of Tanzania.
Our Mission
To develop, maintain and manage the Trunk and Regional Roads Network efficiently and in a cost effective, safe and environmentally sustainable manner consistent with the Poverty Reduction Strategy and other Government policies through a competent and well motivated work force. Core Values Six core values entrenched in our entire activities guide the operations of TANROADS. These are Customer Focus, Innovation, Excellence, Team Work and Integrity.
Our Motto
Good roads for National Develepoment
Core Values
- Customer focus
- Excellence
- Integrity
- Innovation
- Accountability
- Team Work
Underlying Policies
- Gender Issues
- Employment Generation
- Support for Local Contractors Development
- Labour Based Technology
- Protection of the Environment
- HIV /AIDS
- Private Sector Participation
#REGION-PHONE-FAX-EMAIL
1ARUSHA027 254 7178 / 027 250 7581027 254 [email protected]
2COAST023 240 2697 / 023 240 2059023 240 3697 / 023 240 [email protected]
3DAR ES SALAAM022 245 0046 / 022 245 0185022 245 [email protected]
4DODOMA026 232 3102 / 026 232 0392 / 026 232 1540026 232 [email protected]
5GEITA028 252 0342028 252 [email protected]
6IRINGA026 270 2121 / 026 270 1680026 270 [email protected]
7KAGERA028 222 0869 / 028 222 1350 / 028 222 0201028 222 [email protected]
8KATAVI025 282 0560025 282 [email protected]
9KIGOMA0769 386371 / 028 280 4165 / 028 280 3551028 280 [email protected]
10KILIMANJARO027 275 5195 / 027 275 0108 / 027 275 0010027 275 [email protected]
11LINDI023 220 2145 / 023 220 2195 / 023 220 2718023 220 2710 / 023 220 [email protected]
12MANYARA027 253 0383027 251 [email protected]
13MARA028 262 3003 / 028 262 3001 / 028 262 3010028 262 2717 / 028 262 [email protected]
14MBEYA025 250 3285 / 025 250 2755 / 025 250 2050025 250 2755 / 025 251 [email protected]
15MOROGORO023 261 3092 / 023 261 3091023 261 [email protected]
16MTWARA023 233 3412 / 023 233 3904023 233 [email protected]
17MWANZA028 250 0340 / 028 250 3164 / 028 250 2878028 250 [email protected]
18NJOMBE026 278 2211026 278 [email protected]
19RUKWA025 280 2134 / 025 280 0316 / 025 280 0089025 280 2080 / 025 280 [email protected]
20RUVUMA025 260 0425 / 025 260 2179 / 025 260 0180025 260 [email protected]
21SHINYANGA028 276 2592 / 028 276 3941 / 028 276 3141028 276 2551 / 028 276 [email protected]
22SIMIYU028 270 0245028 270 0256 / 028 270 [email protected]
23SINGIDA026 250 2729026 250 2908 / 026 250 [email protected]
24SONGWE
25TABORA026 260 4240 / 026 260 5803 / 026 260 4176026 260 4176 / 026 260 [email protected]
26TANGA027 297 7101 / 027 297 7100027 297 [email protected]
SERVICES
Kulingana na maswala muhimu yaliyaoainishwa ,wakala imeazimia malengo sita (6) ya kutekelezwa
- Uboreshaji wa Mtandao wa Barabara kuu na Barabara za mikoa.
- Uboreshaji wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu.
- Uimarishaji Uwezo wa taasisi katika mifumo ya usimamizi.
- Uboreshaji Usimamizi wa Fedha.
- Upunguzaji wa Maambukizi ya VVU/Ukimwi na Uboreshaji huduma za msaada.
- Uimarishaji na uendelezwaji wa mkakati wa kitaifa wa kupambana na rushwa
Uboreshaji wa Mtandao wa Barabara kuu na Barabara za mikoa.
Mikakati
- Uimarishaji mtandao wa barabara kuu na barabara za mikoa;
- Uimarishaji wa utafiti na maendeleo wa Wakala;
- Uimarishaji usimamizi wa masuala ya kimazingira, kijamii, kiafya, VVU/UKIMWI na usalama barabarani;
- Uimarishaji udhibiti wa uzito wa mizigo kwenye barabara;
- Uimarishaji usimamizi wa mtandao wa barabara;
- Uboreshaji ubora wa kazi za barabara.
Uboreshaji wa usimamizi wa Rasilimali watu.
Mikakati
- Uanzishaji mpango wa kuendeleza Rasilimali watu;
- Uandaaji mahitaji ya ajira;
- Uandaaji na Utekelezaji mpango wa mafunzo na maendeleo kwa watumishi;
- Utekelezaji wa mfumo wa usimamizi wa utendaji na tathmini
Uimarishaji uwezo wa taasisi katika usimamizi wa mifumo.
Mikakati
- Uimarishaji utawala bora, Usimamizi wa tahadhari na udhibiti wa ndani;
- Uboreshaji usimamizi wa kumbukumbu;
- Kuhakikisha uwiano kati ya gharama na thamani (thamani ya fedha);
- Uboreshaji mazingira ya kazi;
- Uboreshaji usimamizi wa TEHAMA;
- Uboreshaji mahusiano ya jamii na huduma kwa wateja;
- Uboreshaji huduma za ufuatiliaji na utathimini;
- Ufanyaji tathimini ya taratibu za kiutendaji na utoaji mifumo itakayoboresha taratibu za utendaji.
Uboreshaji usimamizi wa fedha.
Mikakati
- Uongezaji usimamizi wa rasilimali fedha;
- Uboreshaji tija na ufanisi katika utoaji taarifa za fedha;
- Uboreshaji usimamizi wa mali zisizohamishika.