TSSF: LOAN APPLICATION AND REAPPLICATION|PDF FILES| INVITATION FOR HIGHER LEARNING STUDENTS OF 2017/2018 ACADEMIC YEAR

Tanzania Social Support Foundation is the Non-Governmental Organization that is incorporated under the Non-Governmental Organizations Act, Cap. 56 of the Laws of  the United Republic of Tanzania, with mandate to operate in Tanzania Mainland. Since its incorporation on 07th March 2014, the TSSF has been actively dealing with Education, Economic Development, Good Governance, Healthcare, and Tourism

 Vision Statement of the TSSF
“To be a leading Social Support Entity in Tanzania, that is committed to facilitate the provision of better healthcare, quality higher education, resilient and healthy good governance, and creation along with maintenance of sustainable tourism and economic ventures within the United Republic of Tanzania”
Mission Statement of the TSSF
“To have an educated, healthier, democratic and wealthy nation of the United Republic of Tanzania”

DOWNLOAD ALL PDF FILES THROUGH 

TAARIFA YA TSSF KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUHUSU TUHUMA ZA UTAPELI

Download File


TAARIFA KWA UMMA

Download File


MAELEKEZO MUHIMU KUHUSU KUJAZA FOMU YA KUJIDHAMINI

Download File


FOMU YA TAMKO LA KUJIDHAMINI

Download File


MAJIBU YA MASWALI YA NYONGEZA, 24 OKTOBA 2017

Download File


MAJIBU YA MASWALI YOTE AMBAYO TSSF IMEULIZWA KUHUSU MIKOPO YAKE YA ELIMU YA JUU

Download File


NAMBARI ZA AKAUNTI ZA TSSF (CRDB BANK, NMB BANK & EXIM BANK)

Download File


FOMU YA MDHAMINI

Download File


FOMU YA MAOMBI YA MKOPO (YENYE AKAUNTI YA CRDB BANK, NMB BANK NA EXIM BANK)

Download File


FOMU YA KUKATA RUFAA

Download File


FOMU YA TAARIFA KWA WENYE MAOMBI YALIYOSIMAMISHWA

Download File


FOMU YA TAARIFA KWA WALIOHAMA VYUO

Download File


Taarifa kwa Umma kuhusu Matokeo ya kwanza ya waliopata Mkopo TSSF (Soma hii Kwanza)

Download File


Majina ya Waliopata Mkopo TSSF

Download File


USER GUIDE FOR EDUCATIONAL LOANS, SCHOLARSHIPS, TUITION WAIVERS AND STIPENDS

Download File

FOR DAILY BREAKING NEWS!!

[email-subscribers namefield=”YES”  group=”Public”]Total
2
Shares
109 comments
   1. Kama mdhamini wangu anataka kuanza kulipa wakati mimi Naendelea na masomo utaratibu ukoje

   2. Mimi nataka kujua kuhusu TSSF guarantor form ya mdhamin ,mm nko zanzibar ,huku kuna ZSSF ,je naweza kutumia hiyo ?

   3. ivi hata wale wanaosoma diploma za afya wanaruhusiwa kufanya application za mikopo TSSF.I Mean ordinary diploma

 1. Kama mzamini wangu hana kazi,. Ivo viambatanishi ni lazima vya barua ya mwajili, na copy za mishahara???

 2. Your Message Tunakoelekea mtoto wa mnyonge hatakuwa anapata elimu ya juu kabisaa!sasa kama vigezo vya fomu za mdhamini akubali kukatwa 09% ya mshahara kama mdhaminiwa atachelewa kulipa.Sasa mzazi haelewi hata neno asilimia linamaanisha nn!shamba limeuzwa ili niweze kusoma,mkopo nimenyimwa.Nilivyoliona shirika hili nikadhani afadhali.Je mzazi wangu izo 9%atakatwa wapi?hii sio mnamsaidia mzigo mtoto wa mfanyakazi sio mtoto wa masikini kama mimi?

  1. Sio lazima uwe na mzamini jaribu kudownload maswali na majibu toka tssf utaelewa vzr vigezo na mashart yao

   1. ..habari
    ..I was asking natakiwa kujaza fomu ya mdhamini na application form only??
    ..na pia tunatuma kwenye anuani IPI?

 3. Kweli msaada huu una masharti natamani ila umenishinda MAMANGU ananitegemea sasa hiyo 09% ataipata wapi? Kweli mwenye nacho anaongezewa , mngetukumbuka na ss wengine ili hii nafasi ya kusoma iwe ukombozj kwetu , turejeshe tukishaajiriwa kama serikali inavyofanya

 4. Jamani wengine tunasoma nje ya Tanzania lkn tumeshindwa kuendelea masomo kwani ada imekuwa ni tatizo,kwahiyo naomba kujua kama na ss tunaweza kupata huo mkopo ili tuweze kumalizia masomo yetu.

 5. Naomba naomba mfikilie tunaosoma nje ya Tanzania kupewa huo mkopo kwani hali ni ngumu sana.

 6. TSSF mmesadia mnapoweza Tunashukuru Sana, ila tunaomba mboreshe zaidi ili hata wasio na kazi (watoto wa masikini wanasoma kabla ya kupata ajira yoyote) wapate hii fursa ili kuwe na uwezekano wa kuamsha vizazi vyote kielimu Tz.

 7. Mimi nimechaguliwa kusoma diploma lkn niliairisha kwa tatzo la ada naweza nikaomba mkopo then nirudi chuon nikaombe kuendelea na maxomo tena

 8. Mpaka sasa sijui jinsi ya kufanya application je hapa dar mko wapi ili ofisini kweni ili nipate maelezo vizuri

 9. Daaahkazi kwel kweli. Yan nilipata ahueni baada ya kupna tangazo lakini sasa vigezo ni vikubwa kaisi kwamba ukisema uanze kufuatilia kimoja baada ya kingine, utanikuta unatumia nusu ya ada inayotakiwa chuo. Hapa ndio naamini Tanzania bado masikini atabaki kuwa masikini tu na Tajiri ataendelea kuwa tajiri.

 10. Endapo muombaji atakuwa ni mtumishi na anamshahara, anaweza kujidhamini kwenu huo mkopo?

 11. samahan nataka kujua kuwa kwa wanafunz ambao hawana mdhamin mwenye ajira na hamna mtu anayeweza kumdhamin kwao inakuwaje?
  pia gharama kwa ujumla zikoje?

 12. Samahani naomba kuuliza kama bado kuna fursa ya kuomba mikopo katika taasisi yenu ma pia mwisho wa kuomba ni lini

 13. Ningependa kujua tarehe ya mwisho ya kutuma maombi haya maana wengine tumechelewa kupata taarifa hii, plzzz

 14. samahani ningependa kuuliza hiyo mikopo inatolewa kwa watu wenye ajira tu na biashar au ..maana mi sijaajiliwa na sina chanzo cha kipato je naweza tuma maombi piya ?

 15. naomba kuulza jinsi ya kuomba huo mkopo Mimi ni mwanafunzi wa diploma mwaka wa masomo 2017/2018

 16. kwa mwanafunzi ambae ni mwajiriwa anaweza kukopa? na je anaweza kujidhamini mwenyewe?

 17. Naomba kufahamu khs kwa muombaji Kama ni yeye binafc kuna form zaid ya kujaza &kutuma kuachana na hyo1 ya muombaji manana nmeona mmeandka cjui guarantee form ineed help plz ni form ngapi & zpi zinatumika Kama muombaji ni yy mwenyew

 18. Guarantee form ndo shida tunazipataje & mfano mtu ni mwajiliwa kuna haja ya form ya mdhamini

   1. mmetoa namba za help 0685554729 hazipatikani .. naomba namba inayopatikana , tatizo ni kwamba form za mwaliko wa mwisho kuomba mkopo hazidownloadiki yan ukiclick link inasema not found ..nijibiwe tafadhali

 19. GUARANTEE FORM tunazipataje & Kama mtu ni mtumishi yy binafc anatuma form gani tell me plz?

 20. mm mdhamini wangu hata fikisha hiyo miaka 10 atastaafu na ukweli humuweka mtu huru kwa sasa hizo asilimia30 hataweza kuzipata ila na mm ni mhitaji wa mkopo wa Elimu ya juu na npo mwaka wa pili ila atakuwa anarudisha kdgkdg wakat nkiwa naendelea kusoma. sijui hilo mnauwezo wa kulitatua?

 21. nahitaji mkopo ila cjui pakuanzia
  Vigezo Na mashart,Kwan sina uwezo wa kulipa ada…

 22. Mbona hamuweki namba zenu za simu to give further assistance kwa watu ambao hawajaelewa vyema maelekezo . .

   1. mmetoa namba za help 0685554729 hazipatikani .. naomba namba inayopatikana , tatizo ni kwamba form za mwaliko wa mwisho kuomba mkopo hazidownloadiki yan ukiclick link inasema not found ..nijibiwe tafadhali

 23. Naomba kujibiwa swali kama mm ni mfanyakazi wa serikali ninamshahara naweza kuomba nikajidhamini

   1. Mimi nko zanzibar ,,na huku hakuna tssf guarar form ,je naweza kutumia ktambulsho cha zssc cha mdhamini ?

 24. Niko mwaka wa pili degree, nimeshindwa kwenda chuo hadi sasa ksb sina ada maana mwaka wa kwanza nilikopa na kuunga unga, nimejakib kuapply mkopo kwa bodi ya mkopo nikakosa mara mbili, kiukweli hadi sasa naogopa maana hela zenyewe nakopa. Ombi langu ni naombben mnisaidie mkopo walau niweze maliza miaka miwil iliyobaki. Tafadhal. ?

 25. mimi nimechaguliwa ifm lakini nimekosa mkopo mpaka sasa nimeshindwa kwenda kufanya registration kwasababu wanaitaji ulipie 60% kwanza ukiangalia familiar yangu tunamaisha magumu zaidi ya mashariki ya mbali haiwezi kulipia asilimia hata 5 kwaio naomba mkopo niweze kutimiza ndoto zangu za kuondoa umasikin nyumban

 26. mimi nachukua certificate in pharmaceutical Technician lakini nitaendelea na diploma je naruhusiwa kuapply?

 27. mm nimechagulia
  mbeya university of Science and technology (MUST)
  Bachelor of electrical and electronic engineering
  Nakaa mwanza ila kwa sasa nipo mbeya shulen nimekosa mkopo selikarin imenipelekea kushindwa kufanya registration kutokana na gharama kuwa kubwa
  ningependa kuuliza nikituma maombi leo
  je mkopo utachukua mda gani kuupata
  plz nisaidien kusoma napenda ila uwezo wakumdu gharama za chuo sina

 28. form zenu zinajieleza vizuri sana . . tatizo ni moja tu , mmesema wale ambao hawakuapply mwanzo mmetoa form za mwaliko wa mwisho kuapply kuomba mkopo . . . hizi form hazidownloadiki yan .. form zingine zote zinadownloadika vizur bila tatizo .. hizo za mwaliko wa mwisho ndo hazidonloadiki nmecomment sana kuhusu hili sijibiwi .. cha pili mmetoa namba za kutoa msaada namba hazipatikani sasa mtu akitaka kuuliza jambo mpaka apost hapa na hamjibu .. naombeni mtuelekeze vyema kuhuzu hio form ya mwaliko wa mwisho ambayo haidownlodiki na mtoe namba zinazopatikana

 29. Unistore tz media mbona hamjibu maswali yangu kuhusu form za mwaliko wa mwisho kugoma kudownloadika na namba mlizotoa zote mbili hazipatikani ..

 30. Mm n mwanafunz Wa chuo cha ushirika moshi mwaka Wa pili. Mwaka Wa kwanza nlkua nalipiwa ada na mthamin ss kwa Bahat mbaya mthamini wangu alifarik na sjapewa mkopo ma serikali na wazazi wangu hawana uwezo Wa kunisomesha. Ivyo basi ninataka kuomba uku tssf ss nlkua nauliza iyo tssf guarantor form ntaipta WAP?

 31. Hallo sorry……..mm naitwa bahat n msichana nmemaliza tambaza high school nmepata division four ya point 18 ,nmeapply chuo Ifm nmepata kwenda somea Diploma of science science in Insuarance and risk management.Sasa. nmekwama wazaz hawana uwezo wa kunilipia tuition fees.Tution fees ni 1,645,000 naomba msaada kwa hil ninania ya kutimiza ndoto zangu.
  Ahsante..

 32. Unistore Tz Media naomben mnijibu maswali yangu mawili tu jamani nmeyapost mara ya nne hii ..
  1.fomu ya mwaliko wa mwisho wa kuomba mkopo haidownloadiki ? fix the link palease au tupewe link nyinginine au kama hio form haina umuhimu tuambieni kama kuapply hata kwa sisi wa sasa tunatumia ile ile form ya kwanza .. please nijibiwe hili
  2.mmetoa namba za simu za kuwapata kupata msaada na maelekezo zaidi , namba zote mbili moja ya halotel na nyingine ya airtel hazipatikani! yani hazipatikani .. tafadhali wekeni namba halali zinazopatikana ..
  Tafadhali hayo maswali mawili tujibuni jamani

   1. Samahani kwa usumbuf ila Nilikuwa nina uklliza form ya HEF.2 Ninaipata wapi…???

  1. Mimi ata kuina yenyewe sijaiona Je unaweza kunimbia unaipata wapi form ya Mdhamini

 33. Recommendation letter kwa mwanafunz anayeendelea inatoka kwa DEAN OF STUDENTS au pia kwa local govt sijaelew tafadhal msaada wa kuelekezwa naomba.

 34. Greetings! I know this is kinda off topic but I’d figured I’d ask.

  Would you be interested in trading links or maybe guest authoring a blog article or vice-versa?
  My site addresses a lot of the same subjects as yours and I believe we
  could greatly benefit from each other. If you are interested
  feel free to send me an email. I look forward to hearing from you!
  Terrific blog by the way!

 35. Je,kutokana na tamko la serikali JUU ya tssf,tutapokelewa kwa hizo barua mlizotuandikia?maana yangu tumezipeleka wanatuzungusha tu wakidai wanapeleleza,especially government university

 36. Your MessageMm ninahitaji mkopo lakin naomben mnijibu vip kuhusu hili tamko la serikali kwamba hawaitambui taasisi yenu??

 37. Hi there would you mind sharing which blog
  platform you’re working with? I’m looking to start my own blog in the near future but I’m having a tough time making a decision between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal.
  The reason I ask is because your design and style seems different
  then most blogs and I’m looking for something completely unique.
  P.S Sorry for getting off-topic but I had to ask!

Comments are closed.

Previous Article

HESLB insists "All the students who qualified will be given the loans"

Next Article
SUA

SUA: Batch 3 Loan Allocations for SUA Freshers and Continuing Students Receiving Loan from HESLB for the Academic Year 2017/2018

Related Posts