28 Comments

 1. Mimi jina langu nimechaguliwa duce lakini lipo pending mpaka niwasiliane na tcu inaonekana mimi ni mwanafunzi wa chuo kingine ambacho ilikuwa mwaka jana nilichaguliwa udom lakini sikuweza kwenda kabisa kutokana na hali ya uchumi inakuaje hapo sasa

 2. Mi nauliza,mbona vyuo vingine havijaweka website zao zitakazotusaidia kuingia moja kwa moja na kuapply chuo.
  Na pia nisaidieni chuo cha ardhi wao kila nikitaka kwenda step ya pili wananiambia sijakamilisha step 1,wkt mi naona kila sehemu ipo sawa? Nisaidieni

 3. Jamani mimi sikuchaguliwa kokote na niliomba awali enz za kila chuo bei yao waliojipangia je nfanyaje

 4. Naomba mnisaidie kwa SUA inakuaje kwa wale ambao hatujachaguliwa round ya kwanza nn tufanye maana sjaona sehem ya second round kwa SUA

 5. Samahan nilikuwa nauliza sijachaguliwa udom kwenye fact ya bachelor of science in mathematicsninaweza kuomba tena iyoiyo au nitatizo gan

 6. mm niliomba cha mzumbe na jina langu lilitokea uko na admition nilifanyia uko lakn katika wanachuo walio chaguliwa kua kama wanachuo wa hapo langu alijatokea je nifanyeje ili niweze kua mmoja wa wanachuo hap?

 7. Jamani TCU je first selection na second selection usipochaguliwa kuna third application ?

  • KUHUSU SELECTIONS ZA SECOND ROUND , KILA CHUO KINA UTARATIBU WAKE,, Unaweza kuangalia kwenye account yako au tembelea website yetu mara kwa mara..selection za vyuo vyote tutaziweka hapa

Comments are closed.