TCU PUBLIC NOTICE: CALL FOR THIRD ROUND APPLICATION, 2018/19

TCU Selection results 2019/2020

The Tanzania Commission for Universities (TCU) was established on 1st July 2005, under the Universities Act (Chapter 346 of the Laws of Tanzania) to succeed the former Higher Education Accreditation Council which had been in operation since 1995. It is a body corporate mandated to recognize, approve, register and accredit Universities operating in Tanzania, and local or foreign University level programs being offered by registered higher education institutions. TCU also coordinates the proper functioning of all university institutions in Tanzania so as to foster a harmonized higher education system in the country. In order to ensure that such a harmonious higher education system does not compromise institutional peculiarities and autonomy, each University has the legal right to operate under its own charter.CALL FOR THIRD ROUND APPLICATIONAbout unistoreTZ Media 2864 Articles
Unistoretz is the innovative education platform, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle branding which provides studying materials for students and Opportunities. All Education Announcements, Jobs Advertisements, Scholarships, studying materials and Other Opportunities Published In this Website are From their Original Sources&Their Trusted Sources.Copyright to the materials remain with the actual owner of the content.

16 Comments

  1. Leo ni tarehe 24 na mwisho wa kuomba ni tarehe 26 September mnadhani uo mda utatosha kwa watu wote kupata tarifa kama hadi sasa majina ya waliochaguliwa tuu round ya pili hayonekani? Je! walioko vijijini mmewaconsider?.. Au tunaashume TZ nzima tuna access ya Internet as if tuko sawa?

  2. Mbona hata majina hayaonekani. Hayafunguki halafu muda siyo kabisa mchache mno jamani oneeni huruma watoto wa walk-ins.

  3. Sjai ona nchi yenye uongozi usiojielewa kama Tz hivi hayo majina ya second round yanatoka lini na ni mdaa mchache tu vyuo vifunguliwe na application zote kufungwa ebaaanaah embu kueni na huruma Kwa watoto wa maskini isiwe ndo chanzo cha kuwakatisha tamaa

  4. Jamani inakuwaje TCU wamefungua tena third round application ikiwa hata majina ya second round selected vyuo bado hatuyaoni halafu mnafungua third round application

  5. Mimi nimengalia jina langu nikaambiwa limekua rejected by TCU jaman TCU kueni na huruma na nimechaguliwa Saut

  6. kwenye moja ya sifa za kuapply mara ya 3 mmesema kama hujaona jina lako 1 and 2 round ndiyo uapply tena……sasa kama vyuo bado havja toa majina sisi tutajuaje???na mwisho wa kutuma ni tar 26 mwezi huu…. mnatusaidiaje??

  7. Please consider…second round applications single selection…so that we atleast know wat we are supposed to do…kama ni kuapply mara ya tatu au la na hivyo muda uongezwe zaidi kwasababu vyuo havijatoa bado single selection…..personally napata tabu kuelewa

  8. Nimesikitishwa baada ya kufika office za TCU kupata maelezo juu ya suala la single selection for the second around nikaambiwa TCU haihusiki,duuuh nani sasa ana husika au marehemu bibi yangu

  9. tcu tunaomba muongeze muda ili tuweze kuapply round ya tatu yani wengine apa round zote mbili tumekosa en we dont know what to do ukichek majibu ya second round yaliyotoka trh 30 sept

  10. jamani kama maisha haya yataendelea mpaka yesu atakapo rudi basi wengi wetu tutakufa na msongo,mi hapa niko kijijini leo ndiyo nafahamu muda wa kuomba chuo mara ya tatu na sijatuma.du maisha haya mpakali wapendwa tuoneeni huruma japo kwa juma moja.je tanzania ya viwanda ni kuwanyima watu nafasi? fikilieni hilo

Comments are closed.