NGUVU YA UTHUBUTU EVENT 2018 SEASON.2 (BIASHARA NA UJASIRIAMALI KARNE YA 21)

By  Amina Sanga,(Professional Author & Entrepreneur)
Niliandaa seminar “NGUVU YA UTHUBUTU event”  niliyopa theme ya UNAWEZAJE KUGEUZA KIPAJI CHAKO KUWA FURSA?  Ambapo nilimualika Kaka Erick Shigongo na Dada Jokate Mwegelo waliofanya kazi Kubwa sana ya kuzungumza na vijana zaidi ya 400 waliofika.(Ilifanyika 5/5/2017 Thieta UDSM) 
Matunda yaliyotokana na seminar hii ni makubwa sana, vijana wengi sana waliamua kubadilika mpaka sasa wamepiga hatua kubwa sana.
MWAKA HUU nakuletea NGUVU YA UTHUBUTU event season two itayofanyika Tarehe 7/4/2018 pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kuanzia saa Mbili asubuh. 
seminar hii imebeba theme ya “BIASHARA NA UJASIRIAMALI Karne ya 21”
Hii si ya kukosa Kabisa, ntakuletea Watanzania waliofanya mambo makubwa(karne ya 21) , Watanzani ambao wamekua ni CHACHU Kubwa sana. (kwenye fashion, Habari, viwanda, Kilimo,uandishi, vipaji nk) 
SPEAKER wa kwanza Kabisa ninayemtambulisha ni JOKATE MWEGELO mwaka jana alikuwapo na mwaka huu tena anazungumza nawe kwa kina.,  JOEL NANAUKA, ISAYA YUNGE, ALBERT SANGA NA WENGINE KATIKA MASWALA MBALI MBALI KAMA TEKNOLOJIA, SANAA, FASHION n.k

KIINGILIO ; Tshs>>>

5,000/=(kawaida),

 10,000/= VIP

NUNUA TICKET YAKO ONLINE HAPO HAPO ULIPO;

KUPITITA M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY>>>

  1. LIPIA BILI/CHAGUA KUFANYA MALIPO
  2. INGIZA NAMBA YA KAMPUNI 150150
  3. KAWAIDA MALIPO YAKE-|KUMBUKUMBU No.747400—–(KIASI Tshs 5000/=) 
  4. VIP MALIPO YAKE-|KUMBUKUMBU No.747401——-(KIASI Tshs 10,000/=)
  5. KISHA UTAPOKEA TIKETI YAKO KWA SMS KUTOKA TIME TICKECTS
PIA(Kwa wasionunua Online) , Tickets HIZI  zinapatikana
1. House of wisdom-posta
2. Farida products Ubungo( Farida Lesilwa)
3. LT bookshop mawasiliano
4. Kwenye Vyuo vyote (DSM) 
Bites na drinks zitatolewa
Mawasiliano:0745875187 
NB
Ticket ziko limited. Jipatie yako mapema
Dr.Galus Tarimo
Dr. Galus is a Medical Doctor who is licensed, registered, and allowed to practice medicine as a General Practitioner by the Medical Council of Tanganyika(in Tanzania). A master’s degree student enrolled at Westcliff University-California pursuing an MBA in Healthcare Administration, a technology enthusiast offering an evidence-based approach to medical treatment with more than 1 year of experience in practicing medicine and participating in public health projects fighting against global major diseases such as HIV/AIDS, MALARIA, TB, COVID-19, maternal and child health through research, social education, and community health programs. Dr. Galus has more than 4 years of experience in Blogging, Copywriting, and Search Engine Optimization (Google SEO) based on healthcare-related articles, financial market analysis, and educational content