MATOKEO YA USAILI WA VITENDO (PRACTICAL INTERVIEW) VETA ULIOFANYIKA TAREHE 16-06-2020

Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.Wasailiwa waliochaguliwa (Selected) kuendelea na usaili wa mahojiano utakaofanyika tarehe 17-06-2020  saa moja kamili asubuhi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)