Job Vacancies at The Children’s Dignity Forum (CDF)

The Children’s Dignity Forum (CDF) is a voluntary, private, non-governmental, non-partisan and non-profit-making Civil Society children’s rights organization based in Dar es Salaam as its headquarters, founded and registered in 2006 under the NGO Act No. 24/2002. CDF has Sub Offices in Mara and Dodoma Regions.The CDF’s work is geared towards producing a select range of high-visibility products on children’s issues with a view to influencing public attitudes and policy and building the capacity (on legal and human rights issues) of child-focused organizations in Tanzania. It provides a forum for dialogue and discussion on issues affecting children. It seeks to explore new and contentious issues that affects. CDF “put children FIRST” in all aspects of its work.

 

Job Vacancies and more details


About unistoreTZ Media 2769 Articles
Unistoretz is the innovative education platform, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle branding which provides studying materials for students and Opportunities. All Education Announcements, Jobs Advertisements, Scholarships, studying materials and Other Opportunities Published In this Website are From their Original Sources&Their Trusted Sources.Copyright to the materials remain with the actual owner of the content.

203 Comments

   • Naitwa Maureen Ngasala Nina certificate ya journalism ,Nina uzoefu kwenye customer care and sales,ningependa kufanya Kazi nanyi kwani ninavigezo mnavyovitaka ili kufika malengo ya kampuni ,asante nitafurahi kufanya nanyi Kazi

    Maureen Ngasala
    Contact 0652557060
    ,0767460688

    • Naitwa Elick Anania naishi dar ni dereva nina uzoefu miaka 9 nimehitimu chuo cha usarishaji NIT cose ya vip nipo tayari kufanya kazi popote tanzania kwa uaminifu mkubwa na ueledi mkubwa wa kazi ya udereva pia ni fundi magari hivyo gari nalijua kwa mawasiliano zaidi 0713503527 _0754353798

     • Naitwa laurence msuya naishi dar n dereva nina uzoef wa miaka 30 nina lesense ya 1988 dar nina chet cha usafieishaji NIT cose ya PSV niko tayar kufanya kaz ndan ya dar na nje pia 0677005845 /0787700717 /0625567062

      • Naitwa laurence msuya n dereva nina uzoef wa miaka 30 nina lesense ya 1988 nina PSV ya NIT kw mara ya mwisho nimemaliz mkataba kwenye NG’O iitwayo ICAP (MSPH) mikochen B. 0677005845/0787700717 0625567062 /0717700717

   • Hello,
    Am Benson Moshi.
    I have attended BACHELOR OF EDUCATION IN PSYCHOLOGY .
    I request job vacancy at your company, I will be committed to the assigned tasks .
    I will attach my curriculum vitae below.
    Thanks.

  • Naitwa Bertha Boniphace Nina astashahada ya maendeleo ya Jamii Nina uzoefu wa kazi yenu Kwa sababu nimeshawahi kufanya kazi ya usimamizi wa haki za mtoto kwenye shirika la world vision Na nina jiamini nitafanya Kwa moyo wangu wote , mtoto ni ngao ya Jamii ni lazima tumlinde mana ni Taifa a kesho

   Nitafifurahi sana endapo ombi language litakubariwa
   Namba yangu 0757353706

  • Naitwa Ritta Ni muhitimu Wa shahada ya sayansi ya jamii, Nimefanya kazi katika kituo cha watoto Amani na Rafiki Mjini Moshi na kumaliza mkataba. Napenda kufanya kazi pamoja na ninyi kwenye shirika,asante.

 1. am a graduate studied bachelor of art with education,am ready to work at any place allocated with all my heart

  • My name is nicodemo charles from mwanza i have graduate nursing and midwifery im already to work in any place acording to the anouciment i have an experience on how to care children iwil happy if my request will be accepted
   My contact 0763352825
   Email nicodecharles@gmail.com

    • Naitwa datus mpemba ni dreva nauzoefu wa mda miaka 6 pia mafunzo yangu nmepita chuo cha usafirishaj elimu yangu kidato cha nne hvyo naweza kufanya kaz sehem yyte ntakayo pangiwa

   • Am Tanzanian girl ,42yrs old with a xprience on work as community mobilization and worker,with good achievements, as we can see through PASADA project and other NGOS here in DSM.Am happy to join my effort and knowledge in CDF .Thank you

 2. Mimi Yasini Salimu nipo tayari kufanya Kazi kwa uaminifu na uadilifu.Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita katika mchepuo wa HGE(History, Geography na Economics). Asante

 3. Mimi medard kulwa mayala nimehitim community health worker niko tiari kafanya kazi kwa uaminifu.
  Kwa mawasiliano zaidi 0652056262/0625918242
  Napatikana kahama shinyanga

   • Naitwa revocatus balikenga, naishi Dodoma. ninaomba kazi yeyote kulingana na elimu niliyonayo, nina elimu ya ualimu Grade A” na nimefaulu vizuri pia nina uzoefu wa kufundisha, nimefundisha shule mbalimbali za mkoani Dodoma
    natumai ombi langu litakubaliwa.

   • Naitwa ANNATH JAMES ni muhitimu wa diploma ya uandishi wa habari utangazaji na afisa mahusiano Nina umri wa miaka 23 nitafurahi Sana kufanya kazi nanyi.

 4. Mimi Haitham Juma Khamis kutoka Zanzibar , nimehitimu fani ya ustawi wa jamii, nmuaminifu nipo tayari kufanya kazi na nyinyi kwa uadilifu. kwa mawasiliano 0656681214

 5. Mimi ni kijana wa miaka 22 nimeitiu Chuo cha veta ni dereva mzuri naomba nafasi ya kazi na Niko tayari kufanya kazi kwa bidii na uhaminifu no zangu za cm ni 0717214278

 6. A am graduate studied of form six
  And I have an experience councen with children because I have already work in non government company of Childcare
  I believe I will use my experience to work even in this
  Thank you

 7. Hellen Thomas Mpumi. Nimehitimu mafunzo ya Afya Ngazi ya jamii, Kutoka Tabora Manispaa, Nina umri wa miaka 25.Ninauzoefu Na kazi kwani Nina miezi 10 najitolea katika Zahanati . Npo tayari kufanya kazi popote kwa uaminifu Na uadilifu. Hivyo Naomba nafasi ya kazi katika Taasisi yako Ahsante.

   • Sorry how to submit the curriculum vital and other details.Through which email to use for sending application?

    • My name is khamisi athumani ramadhan from katav , l have graduate in diploma of animal hearth and production. Am already to work in any place according to the announcement. I have experience to care the children. I will happy if my request will be accept
     My contact 0784206090 or
     0678624078
     Email.. Khamiroby@gmail.com

   • My name is theodotha mtenga i have completed my diploma of secondary education and i am willing to work on this job and i will do with all my heart my phone number 0745974797

    • Flora Charles ,nimehitimu fani ya maendeleo ya jamii ngazi ya diploma ,na Nina uzoefu wa kufanya kazi kwani nmeshawahi kufanya kazi na shirika LA vijana la rest less ,ahsante.no.0744689133

 8. Naitwa Amani Henry
  Nimehitimu Kidato Cha sita
  Ninaomba nafasi katika taasisi yako
  Kwa maan Nina uzoefu nilishawahi fanya kazi kwenye shirika la watoto la childcare association
  Hivyo naamin nitafanya vyema
  Asnteee.

 9. Kwa mbona naitwa At human Mohamed
  Ni kijana wa miaka 29 nimehitimu kidato cha nne pia Nina elimu ya ufundi umeme VETA, HOTEL MANAGEMENT pamoja NA udereva pia.
  naahidi kufanya kazi kwa bidii endapo nitapatiwa nafasi katika kampuni hii.
  0714 923 989

 10. Am OPERE WILLIAM, I have pursued barchelor of science with education, kindly am looking for the posted position.

 11. Naitwa siwema devidi fungo nimehitimu mafunzo ya Afya(medical attendant) naninauzoefu wakazi kwanin nimejitolea mwaka mzma katika hospital na Nina certificate ya computer program naomba nafasi yakazi katika ofisi yako nipo tayari kufanya kazi popote mawasiliano:0763678508/0621052398.

 12. Naitwa Agness Peter nmehitimu astashahada ya muhudumu wa afya ngazi ya jamii(community health worker)ninaweza kufanya kazi kwa bidii
  Simu:0757051579

 13. Naitwa Martha Mwashiuya Nina Shahada ya Jinsia na Maendeleo ya Jamii , Nipo tayari kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na weredi katika sehemu yeyote. Naomba nafasi ya kazi katika yako. Ahsante

 14. Mimi ni siwema devidi fungo Nina certificate ya afya(medical attendant Nina miaka 23 nintokea njombe makete,ninauzoefu wa kazi kwanin nmejitolea kwa mda mwingi hospitali pia Nina certificate ya computes program. Naomba nafasi yakazi katika kampuni yako nanipo tayali kufanya kazi popote asante.simu:0763678508

 15. Siamin kama ww ni msomi alafu unakoment hapa kuomba kazi. Wakati unaona kabisa tangazo linasemaje na jinsi ya kuomba kazi inakuaje..sasa hapa labda unawaomba unistoretz wakuajili wao.

 16. Hellen Saneth n mhitimu wa kidato cha sits mchepuo wa combination y CBG Mimi nipo tayari kufany kazi sehemu yeyote hata kujitolea mda wowote naomben nafasi

 17. Hellen Kamili Saneth n mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa CBG,ninaomba kufany kazi n nyie hata kujitolea mda woote,kw mawasilian n 0756743611

 18. Hellen Kamili Saneth n mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa CBG,ninaomba kufany kazi n nyie hata kujitolea mda woote,kw mawasilian n 0756743611

 19. Kwa majina naitwa Phoibe Shango Ernest Nina elimu ya chuo kikuu (bachelor of science in education),Naomba nafasi ya kufanya Kaz pamoja na wewe nina weledi wa kutosha katika kufanya kazi na pia Niko tayari kufanya kazi mahali popote hapa Tanzania.Kwa mawasiliano 0769394945,0676394945.Naamini Ombi langu litakubaliwa

 20. Naitwa binaisa mwakyusa naishi dar ni DEREVA Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu Niko tayari kufanya kazi kwa uwaminifu na nina weledi mkubwa wa wa kazi ya udereva pamoja na utunzaji wa gari namba zangu 071284923
  0746406841

 21. Kwa majina naitwa renatus Sedede Nina stashahada ya uhasibu niko tayari kufanya kazi pamoja na nanyi,kwa mawasiliano simu no, 0758243596.nipo temeke DSM.

 22. Mimi ni Elasto siliro ni muhitimu kidato cha sita mchepuo wa CBG nipo tayar kufanya kazi sehem yoyote ile na mda wowote ule endapo nitapata fursa katika kampuni yako
  0743458459/0686353662

 23. Why do you guys apply through comment section? That is how a person can apply for a job? Please Learn to follow instructions

 24. Naitwa Loveness Msigwa ni muhitimu wa stashahada ya ualimu nipo tayari kufanya kazi kwa uaminifu katika kampun yenu mahali popote ,npo iringa 0745647498

  • Naitwa Emanuel chale.Ninadiploma ya Ualimu sekondari.Napenda kuomba kazi katika kampuni hii, kwani nipo tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote ile. Na nitaonyesha ushirikiano mzuri ili kuhakikisha maendeleo ya kazi yanazidi kusonga mbele pamoja na kampuni kwa ujumla
   Kwa mawasiliano no.0766538765

 25. I am Emmanuel Nyoni, I am a young boy of 24 years old. I have completed my studies at National Institute of Transport NIT pursing Bachelor Degree of Education With Mathematics and Information Technology IT
  I am warmly requesting to work at The Children’s Dignity Forum (CDF)” I am confident that my skills, as well as my knowledge regarding my foremost discipline would indeed be an excellent match for this position and qualified to take on challenge that teaching offers.
  you sincerely
  Emmanuel Nyoni
  contact 0684749855

 26. Naitwa festo charles, ni mvulana wa miaka 22 naishi arusha nimehitimu elimu yangu kwa kazi ya diploma katika fani ya maendeleo ya jamii CDTI monduli kilichopo arusha, pia basi nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote hivyo basi naomba kupatiwa nafasi katika taasisi yenu.

 27. Mimi naitwa joseph jamesa ni umri miaka 24.nina elim ya kidato cha nne hvy nimebahatika kupata certifate ya na nikajitolea kufanya NHIF BIMA YA AFYA kwa mda usio pungua miezi 8 hvy nauzoefu wa kufanya kaz popote nchin no 0719180147..0743666565

 28. Mimi naitwa Shafigha Ali Hussein nina miaka 22 nina elimu diploma hivo nimebahatika kufanyakazi na zanzibar youth forum(ZYF) mamba yangu ya simu 0713602383

  • Cuthbert Joseph Mponda,Nina elimu ya ngazi ya Diploma katika kozi ya Maendeleo Ya Jamii.Nipo Tayari kufanya kazi Sehemu yoyote pale nitakapopangiwa na Mwajiri wangu.
   Email: josemponda@gmail.com
   Phone Number 0736-443965/0745-443965
   Napatikana Igunga Tabora Tanzania.
   Ahsante

 29. I am Mpulule Esau, I am a young boy of 30 years old. I have completed my studies at institute of social work pursuing bachelor degree in social work. I am warmly requesting to work at the children dignity forum. I am confident that my skills, as well as my knowledge regarding my foremost my foremost discipline would indeed be an excellent match for this position and qualified to take on challenge that teaching offers.
  you sincerely
  Contact 0713046715

 30. Naitwa Efrazia sephania yotham, ni msichana wa miaka 22 naishi kigoma nimehitimu elimu ngazi ya cheti katika fani ya mhudumu Wa afya ya jamii (community health worker) katika chuo cha afya St.Aggrey mbeya, pia nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote na wakati wowote, nifaurahi sana endapo nitapata nafasi katika taasisi yako. contact 0743855141

 31. My name is Jane pius, persued bachelor of arts with education in Saut University. I have 32 years old. I am warmly requesting to get this position of children dignity. I have experience of child care for 2 years because now I working in child care school. I will be happy if my request will be considered. 0756432549

 32. Naitwa Efrazia sephania yotham, ni msichana wa miaka 22 naishi kigoma nimehitimu elimu ngazi ya cheti katika fani ya mhudumu Wa afya ya jamii (community health worker) katika chuo cha afya St.Aggrey mbeya 2016-2017, pia nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote na wakati wowote, nifaurahi sana endapo nitapata nafasi katika taasisi yako. contact 0743855141

 33. Naitwa Dizleki Dotto nina umri wa miaka 26 elimu yangu ni kidato cha nne naomba kazi ya udereva mimi ni dereva bora nielepata mafunzo ya udereva chuo cha taifa cha usafilishaji, (NIT) mawasiliano yangu 0712990822

 34. Naitwa yunice o nnko nimemaliza stashahada ya maendeleo ya jamii CDTI monduli Arusha Nina miaka ishirini na moja ninauwezo wa kufanya kazi eneo lolote na kwa ustahiki mkubwa pia ninauzoefu was kutosha kwani nilishawahi kufanya kazi na MPDI na OIKOS NGOs

 35. Efrazia sephania yotham, ni msichana wa miaka 22 naishi kigoma, nina elimu ngazi ya cheti katika fani ya mhudumu Wa afya ya jamii ( community health worker) katika chuo cha afya mbeya 2016-2017, pia nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote na wakati wowote, natafurahi endapo nitapata nafasi katika taasisi yenu. Contact 0743855141.

  • Mimi selemani nipo bagamoyo nipo tayari kufanya nanyie popote kazi ya udereva nimehitimu chuo cha usafirishaji 0789 187052

   • Mimi selemani nipo bagamoyo nipo tayari kufanya kazi ya udereva nanyie kokote nime hitimu udereva chuo cha usafirishaji daresalamu 0789 187052

 36. naitwa jesca molex nimehitimu ngazi ya cheti katka chuo cha maendeleo vijijini katika chuo cha mipango mwanza nipo Arusha nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote

 37. kwa majina naitwa jesca molex ninamiaka 20 naishi Arusha Tanzania nina elimu ngazi ya cheti cha maendeleo vijijini katika chuo cha mipango mwanza nipo tayari kufanya kazi katika eneo lolote na kwa mazingira yoyote niyafurahi kama nitapata nafasi katika taasisi yenu

 38. Kwa majina naitwa silvana modest kimario nimsichana mwenye umri wa miaka 22 naishi katika mkoa kilimanjaro nimesomea afya jamii katika chuo cha mtakatifu agustine muheza tanga naomba na nipo tayar kufanya kaz yoyote katika shirika nitashukuru mungu kama ombi langu litakubaliwa .asante

 39. Naitwa Angela Eustasio, naishi kigoma nimehitimu elimu ngazi ya cheti katika fani ya mhudumu Wa afya ya jamii (community health worker) EDGAR MARANTA SCHOOL OF NURSING 2016, pia nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote na wakati wowote, nifaurahi sana endapo nitapata nafasi katika taasisi yako. contact 0763870039/0676727539

 40. Mm ni georgina dickson miaka 22 ni muhitimu wa kidato cha sita niko tayari kufanya kazi na nyie kwa uaminifu na sehemu yoyote 0688747159

 41. Am kennedy danieli am sincerly looking for job and i had experience doing work in different campanies concern the child protection (WORLD-VISION)
  My education level is DEGREE
  My contact(s) 0621728633&0744622771

 42. Naitwa Joyce meshack nina umri wa miaka 22 nimesomea laboratory assistance, clearing and forwarding na ict certificate. Naomba kaz nipo tayar kujutoleaa popote

 43. Naitwa Joyce meshack nina umri wa miaka 22 nimesomea laboratory assistance, clearing and forwarding na ict certificate. Naomba kaz nipo tayar kujutoleaa popote 0656213330/0766934241

 44. Mimi naitwa Annastazia m Mirrigo ni muhitimu wa kidato cha nne nimesomea graphic design na Microsoft Office nna uzoefuu wa kutosha naomba kufanya kazii nanyi sehemu yoyotee niko daresalaama kwa mawsiliano 0653721013 /0738935646 email :annamirrigo25@gmail.com

 45. Ninaitwa Frank nina stashahada ya uhasibu na ninao uzoefu wakutosha niko tayari kufanya kazi na hilo shirika. Asante mawasiliano: 0673455482

 46. Naitwa ALEXANDER JEREMIAH nipo kibaha mail moja mkoani pwani.
  Elimu yangu ni form 6 (PCM) 2015
  pia nimepitia jeshi la kujenga Taifa ( JKT)
  nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote hapa Tanzania bila shida
  my contact number 0744835273
  email ni ajeremiah950@gmail.com
  asante kazi njema.

 47. Naitwa MOKE SIRAB MWANAHAJI.
  Nimehitimu shahada ya elimu na sanaa .chuo kikuu kishiriki cha elimu Dar es salaam. Nimewahi kupitia mafunzo ya Jkt op kikwetwe2015. Nipo tayari kufanya kazi katika shirika lenu kwa kuzingatia taratibu wekwa . sirabmoke@gmail.com

 48. Naitwa asya mohamed natokea dar es salaam nina umri wa miaka 20 nipo tayar kufnya kazi katika shirika la watoto lwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0716787455

 49. Naitwa Agnes esperius Leonard, ni msichana wa miaka 22 naishi kigoma nimehitimu elimu ngazi ya cheti katika fani ya mhudumu Wa afya ya jamii (community health worker) katika chuo cha afya kolandoto shinyanga 2016-2017, pia nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote na wakati wowote, nifaurahi sana endapo nitapata nafasi katika taasisi yako. contact 0744841409.

 50. Naitwa LUKATA MOSHI RASHIDI nina elimu certificate of electrical engineering nina umri wa miaka 23 pia ninaafya njema pia si mlemavu pia naweza kufanya kazi mazingira yoyote hvyo naomba nafasi ya kazi katika mazingira yoyote.

  • Naitwa LUKATA MOSHI RASHIDI nina elimu certificate of electrical engineering nina umri wa miaka 23 pia ninaafya njema pia si mlemavu pia naweza kufanya kazi mazingira yoyote hvyo naomba nafasi ya kazi katika mazingira yoyote.
   Phone no:0758162188
   E-mail:luqmanmoshi1994@gmail.com

 51. my name is prisca munishi i have diploma in communityu development my phone number 0624223406

 52. Mimi MARTINE L NTUNGULU nimemaliza masomo katika chuo cha uuguzi SENGEREMA katika fani ya community health worker .Ninaweza kazi sehem yoyote ile Kwa ueledi mkubwa Ahsante Kwa mawasiliano zaidi.0626538552

 53. Am David William from mwanza a graduate in community healthy work at bugando school of nursing I have impressed with vacancy post am ready to work anyware according to institution of the organization
  For contact 0766545556 or 0657722183
  Or by email

 54. Mimi MARTINE L NTUNGULU nimemaliza masomo katika chuo cha uuguzi SENGEREMA katika fani ya community health worker Nina uwezo wa kufanya kazi katika sehem yoyote ile Kwa ueledi mkubwa Ahsante .natumaini ombi langu litapokelewa vzur ,wako katika ujezi wa Taifa.

  • Kwa majina naitwa Mwasi mganga naishi Dar-es-salama nimesomea mambo ya mifugo lakini niko tayari kufanya kazi popote. Ahsante
   Phone no. 0755704068

 55. Mimi naitwa Allen F Cyridion.nimemaliza masomo katika chuo cha uuguzi Sengerema fani (community health worker) ngazi ya cheti. Hivyo nnayo matumaini kuwa ntafanya kazi kwa weredi mkubwa na niko tayari kufanya kazi . kwa mawasiano 0624852833 /0764338753.
  For email. allenfcyridion2017@gmail.com

 56. Naitwa Denis J Malecela ninaumri wa miaka 30, nimemaliza kidato cha sita niko tayari kufanya kazi na shirika lenu kwa weledi na moyo wa kujituma ili kuhakikisha malengo ya kampuni yanafikiwa.
  Ni matumaini yangu ombi langu litafanyiwa kazi. No: 0753107849, 0655368989

 57. Naitwa Marco Mshashu ni Driver miaka 9 uzoefu nikiwa kwenye Embassy sasa nipo korea childrens forund. Elimu form4 na National Institute Tanzania N I T kozi V I P. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote mda wowote 0715 586 860/0692703510 .

 58. Naitwa STANLEY BEDA MBUYA na Diploma ya Economics development kutoka chuo cha kumbukumbu ya Mwalim Nyerere, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii. Namba yangu ya simu ni 0713618134 na email yangu ni stanleymbuya@yahoo.com. Ahsanteni.

 59. Naitwa Amina Bakar Yussuf , natoka Zanzibar , ni mwanaharakati wa kupinga vitendo vya udhalilisha kwa wanawake na WATOTO , nna uzoefu mkubwa wa kufanya kazi katika jamii , nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote katika mazingira yoyote . 0773748710 , ahsante .

 60. naitwa Amos Slyvester Nina elimu ya kidato cha sita nipo tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote Yale nimesoma mchepuo wa sayasi pcb

 61. Naitwa Dionisia denis, ni binti wa miaka 22 nimehitimu certificate ya journalism mwaka huu 2018 ,Napenda kufanya kazi na nyie ninamoyo wa kujituma kufanya kazi kwa bidii na pia nina hofu ya Mungu namba zangu ni, 0745957789/0713901302

 62. Am Shukrani William Kija I have diploma in human resource management I have one year experience in office administration am available dar es saalam around mliman city am staying there my email address is williamsaida283@gmail .com,phone 0762727252,0738786601

 63. Kwa majina naitwa Ramadhani amri said ni muhitimu wa kidato cha nne ni mzaliwa wa Zanzibar wilaya ya kaskazini B nimesomea udereva katika chuo cha ufundi veta daressalaam tangu mwaka 2015 nina daraja D na A. naomba kupatiwa kazi ya udereva katika shilika lenu na ninahaidi kufanya kazi kwa uweredi mkubwa muda wote ninapokuwa kazini nitashukuru sana nikipata kazi katika shilika lenu ahsante sana.

 64. Kwa majina naitwa Ramadhani amri said ni muhitimu wa kidato cha nne ni mzaliwa wa Zanzibar wilaya ya kaskazini B nimesomea udereva katika chuo cha ufundi veta daressalaam tangu mwaka 2015 nina daraja D na A. naomba kupatiwa kazi ya udereva katika shilika lenu na ninahaidi kufanya kazi kwa uweredi mkubwa muda wote ninapokuwa kazini nitashukuru sana nikipata kazi katika shilika lenu ahsante sana.namba ya simu 0716 065 065

 65. Kwa majina naitwa Ramadhani amri said ni muhitimu wa kidato cha nne ni mzaliwa wa Zanzibar wilaya ya kaskazini B nimesomea udereva katika chuo cha ufundi veta daressalaam tangu mwaka 2015 nina daraja D na A. naomba kupatiwa kazi ya udereva katika shilika lenu na ninahaidi kufanya kazi kwa uweredi mkubwa muda wote ninapokuwa kazini nitashukuru sana nikipata kazi katika shilika lenu ahsante sana.namba ya simu 0716 065 065

 66. Mimi Daniels M Mhalale ni mhitimu katika ngazi ya Stashahada ya ualimu wa Elimu ya Awali Niko tayari kufanya kazi hii katika kusimamia haki za watoto katika jamii yetu na Duniani kwa ujumla.

 67. Mimi Daniels M Mhalale ni mhitimu katika ngazi ya Stashahada ya ualimu wa Elimu ya Awali Niko tayari kufanya kazi hii katika kusimamia haki za watoto katika jamii yetu na Duniani kwa ujumla. 0758133100

 68. YAH:MAOMBI YA KAZI,KUHUDUMIA WATOTO.
  Naitwa Grace Etien ni msichana wa miaka 23,elimu yangu kidato cha nne,pia nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2 sasa,nimehudumia watoto katika mashirika ya kidini kwa miaka 2 sasa,.
  Ninahaidi Kuwa mtiifu,kushirikiana na wengine pia kutunza Mali na mazingira.
  Ni matumaini yangu ombi langu litafanikiwa. Wako katika ujenzi wa taifa
  Grace Etien.
  0718 400346

 69. Kwa jina naitwa agnes martini nmehitimu fani ya community health nimefanya kazi katika vituo mbali mbali hivyo nina uzoefu wa kutosha nipo tayari kufanya kazi katika taasisi yenu
  Ahsante phone no: 0675983494 /2
  Email agnesmartine776@gmail.com

 70. Naitwa Evaline Alfred.
  Umri wangu ni miaka 26,elimu yangu ni diploma ya uhasibu kutoka chuo cha TIA Mwanza.Napenda kufanya na wewe,nipo tayari kufanya kazi katika kitengo chochote nitakachopangiwa. Nitafanya kazi kwa bidii, kwa moyo na kwa uaminifu.Nitafurahi endapo ombi langu litakubaliwa.
  Asante
  Mawasiliano
  0755374595 au0755382504.

 71. Hellen Paul Mworia,Niko tayari kufanya kazi pamoja nanyi.Ni muhitimu ngazi ya cheti katika Kilimo pia Nina uzoefu Katika kuwasaidia Wasichana(Girls empower) kutoka Femina Niko Mkoa wa pwani Bagamoyo,
  Asanteni.0657963333/hellenmworia79@gmail.com

 72. RE: Applications of community work
  I am girl rich 26 years old,have be complete diploma of social work with community development, also own degree of human resource management.
  I would like to apply this position because I like to work with community of people, like to direct them, and show the ways to rich development.
  I can work inside and outside the Dar es salaam,i promise to work with all agility and team work without supervisor. I hope my request will be considering.
  Mfumbwa H mzige
  +255719-714405
  mfumbwa.mzige@yahoo.com

  • I am Mary Mujungu,I am interested to be a part of your organization,Having recently obtained my diploma in Business Administration majoring in Procurement and supplies management. I also obtained my certificate in Community Health at Ngudu School of Environmental Health Sciences.I have ability to work as a team as well as independently in fast moving and changing environment.

   Thank you for taking time to consider this application and look forward to hearing from you
   Mary Mujungu

   • Iam Juma Charles, Iam 23 years old, I come from Musoma Mara Tanzania, Iam interested to be a part of your organization, I obtained my certificate in community health at Ngudu school of environmental health sciences. I have ability to work as a team as well as independently in a fast moving and changing Environment.

    Thanks you for taking time to consider this application and
    my look forward is to hearing from you.
    Juma Charles

 73. kwa jina naitwa magreth simon nina umri wa miaka 23.nimehitimu grade A ualimu wa shule ya msingi katika chuo cha ufundi mtwara, ninaomba kufanya kazi nanyi napatikana mbeya kwa mawasiliano.0743127235.asante

 74. I am Emanuel Elineema Martin , I am 24 years old. Hold of certificate in community Health at YOHANA WAVENZA HEALTH Institute
  I am warmly requesting to work at The Children’s Dignity Forum (CDF)” I am confident that my skills and well experienced from VSO-ICS INTERNATIONAL CITIZEN SERVICES within (3months) , as well as my knowledge regarding my foremost discipline would indeed be an excellent match for this position and qualified to take on challenge.
  you sincerely
  EMANUEL ELINEEMA MARTIN
  Contact 0756851407
  emmanuelelineema@yahoo.com

 75. Naitwa Emanuely Petro ni kijana mwenye umri, 25 Nina Cerntificat ya ualimu ECD pia Sport and Leadership development na self leadership na nipo tayari kufanya kazi kwa uaminifu 0745704973 na 0687863759

 76. naitwaaa johnson hamzaa mmtha ninaaa leseniii ya uderevaaa na nimesomeaa vetaaa kabisaaa ningependaaa kufanyaa kaziii nanyiii

 77. naitwa Justine martin umiri wa miaka 22 nimemaliza certificate ya community health chuo cha afya ngudu kwimba,
  na pia ni dereva na nina knowledege nzuri ya computer kwimba ninaisha mara nipo tayari kufanya kazi nanyi kwa umakini asante!

  mawasiliano; 0716305712/0744581240
  email; justinem.973@gmail.com

  nitafurahi nikikubaliwa

 78. Ninaitwa Erica Emily Nina miaka 27 niko Dar Es Salaam. Nina Diploma ya Elimu ya watu wazima na mafunzo endelevu, Ninauzoefu katika masuala ya ushautri wa jamii na utoaji Elimu kwa jamii. Naomba kufanya kazi pamoja na Taasisi yenu na nipo tayar kufanya kazi katika mazingira yoyote Yale.Namshukuru kama omni langu litapokelewa
  simu namba 0742 450 245
  e-mail:ericaemily2014@gmail.com

 79. I’m a youth of 25 years old, graduated ? from University of Dar es Salaam this year 2018, specialized in Education. I’m real touched to join your organization especially in the position of Front Desk Officer as mentioned in above shown vacancies. I’m ready to work anywhere if my request is positively considered.
  It’s me Salehe Iddy Magoti
  saleheiddy06@gmail.com
  +255754907641.

 80. Naitwa Janeth champonda Nina miaka20 ni muhitimu wa ngazi ya cheti katika chuo cha utumishi wa uma katika fani ya usimamizi rasilimali watu mkoani mbeya nipo tayari kufanya kazi na nyie katika mazingira yoyote na eneo lolote natumaini ombi langu litakubaliwa ahsante

 81. I am a girl of 26 years old, I am interested with this job vacancy in your organization at children dignity department. I am a graduates of St. Augustine University of Tanzania in Bachelor of education with arts in 2018.
  Is my hope that I will be considered
  Thanks.

 82. Naitwa Mathew joseph shikilo Nikijana mwenye umri wa myaka 25 sasa pia Nime okoka nampenda yesu kweli kweli niko mkowani shinyanga wiraya ya kahama mjini, Naomba nafasi ya udereva ni mzowefu sana nimefanya kazi kwingi sana Nimesoma veta shinyanga, Tumaini rangu ni kupata kazi na Amini itakuwa hivyo, Na mungu wa mbinguni awabaliki wote Namba zangu za cm ni hizi 0765271111

 83. naitwa kitiku yasin ismaily,napenda kufanya kazi ya udereva katika kampuni yenu ,ni muadilifu,mchapakazi na najali maslai ya kampuni.elimu nilio nayo ni shahada ya ualimu katika masomo ya historia na kiswahili.ninao uzoefu wa muda mwingi
  natumaini ombi langu litakubaliwa

 84. Naitwa Joseph Joachim mabena nimehitimu kidato cha bne nimefanya kozi za ustawi wa jamii na kwa sasa ninafanya shughuli za kujitolea kuhusu watoto wanaoishi mitaani nikishirikiana na PASADIT pamoja na PACT chini ya ustawi wa jamii nipo tayari kuomba nafasi ya community forum

 85. naitwa aloyce nina certificate ya maendeleo ya jamii,jinsia na watoto ninao uweZo wa kutekeleza majukumu yote kikaz

 86. Naitwa fanuel Ditram mbawala. Ni astashahada ya ualimu shule ya msingi. Ninauzoefu wa kufundisha wa miaka mitatu. umri wangu ni miaka 26. Ninaomba kufanya kazi ktk taasisi yako.
  Namba ya simu ni 0755118699

 87. Habari.. Naitwa Laizer Longida nina miaka 25.. Ni muhitimu wa stashahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano.(Tehama)…. Nina uzoefu wa kazi.. ningependa kufanya kazi na shirika lenu… Asante
  Contact:0655833370
  Email:Laizerlongphinae@gmail.com

 88. Neema Rabiel
  Master in rural development. I would kindly appreciate to work with you. Contact me through 0657361005.

 89. habar, mm naitw Lawrence malat, nmehitim kdato cha nne, nmesoma NIT, uzoefu wang wa kuendesha magar miaka 15, nmefanya kaz za field kwa kweny project za taasis za serikali, npo tayali kufanya kaz popote,namba yngu ni 0677333376

 90. Naitwa Magreth Thomas mkazi Wa Arusha, nina certificate ya procurement and supply management. Naomba kazi kwenye campuni yenu, nitafanya kazi kwa uaminifu.
  Natumaini maombi yangu yatajibiwa.
  0768313303

  • Mimi naitwa Witness Wilson,nimkazi wa dar es salaam (mbezi) nimuhitimu wa ngazi ya chuo kinacho tambulika na serikali,NJUWENI INSTITUTE kilichopo kibaha,nina fani ya receptionist kwa muda wa miaka 3 nina umri wa miaka 25,nina ongea lugha mbili English na kiswahili vizuri kabisa.
   Naomba nafasi ya kazi katika shiraka lenu,naahidi kuwa mwaminifu na kufanya kazi kwa juhudi

 91. I am writing to you with the intent of applying for the position of community worker, I believe the position is a perfect match for my skills and interests, because l have experience, since that l have been working with several colleges just to mention few are ILULA OPHARNS PROGRAMME as a Community Development Officer, AMREF as a Peer educator, also in my field placement l did as a temporary data clerk at Jhpiego iringa .

 92. Naitwa hujath Ally. Mkazi wa dar es salaam.. Ni Dereva ninauzofu wa miaka mitatu. Nitafnya kaz kwa uadilifu.
  My no 0655910997

 93. Naitwa Melkion Francis Paul ni mkazi wa Morogoro Kilosa nimehitimu stashahada ya maendeleo ya jamii Monduli Arusha (CDTI).
  Naomba nafasi ya community worker kwani ninauzoefu wa kutosha nilioupata katika mashirika mbalimbali niliyowai kufanya kazi.
  Asante.

 94. Naitwa joviness bagera nina sta shahada ya maendeleo ya jamii niko tayari kufanya kazi kwa bidii namba yangu ya CM ni 0654767945 ahsanteni sana

 95. Naitwa joviness bagera nina sta shahada ya maendeleo ya jamii ninaomba kazi ya community worker na yangu ya cm ni 0654767945 nitafanya kazi kwa kujituma zaidi ahsanteni.

 96. Naitwa joviness bagera nina sta shada ya maendeleo ya jamii ninaomba kazi ya community worker ,nitafanya kazi bila kuchoka no yangu ya cm ni 0654767945 . nilisahau email yangu ivo nika apply tena samahani kwa usumbufu

 97. Naitwa Mohamedi Tandi nimemaliza bachelor degree in Community education University of Dar es Salaam. Naomba kazi ya Community workers Nipo Mtwara, 0787309177_0674872016.

 98. Hello, I am Irene Blasius Mardai studied at the University of Dodoma taking Bachelor of commerce in Entrepreneurship.
  I was glad to see your advertisement on the job and the company I am wishing to work
  My contact is 0621157908
  Thank you

 99. My name is Victor Elijah, am 22 years old. My education level is form four. I have experience for those jobs you have publish. and I am good driver.

  my contact
  0767265219

 100. Naitwa Rehema Sumari ni muuguzi daraja la 2 ninauzoefu wa miaka 12 kwenye hospitali mbalimbali pia nimefanya kazi kama RCH C0 umri wangu ni miaka47 contact 0653 284419 aksante

 101. Naitwa Hyasinta Joseph kiangi
  Nimehitimu diploma ya ualimu elimu ngazi ya sekondari Ningependa kufanya kazi na ninyi,Nina uzoefu na masuala ya haki za watoto kwani nimeudhuria semina mbalimbali zinazohusu haki ya mtoto lakini pia nnao uzoefu wa wa kuhudumia watoto kulingana na taaluma nliyonayo.
  Namba ya simu:0742735487

 102. Naitwa Frank deusdedith
  Elimu yangu ni diploma ngazi ya msingi,Ninao uzoefu wa masuala mbalimbali ya haki za watoto hii ni kutokana na kuhudhuria semina mbalimbali zinazohusiana namna ya kumlinda mtoto lakini pia kutokana na taaluma yangu nnao uwezo wa kuwahudumia watoto “put children First”
  Naomba ya simu 0758957321

 103. Kwa majina naitwa KULWA RUKUNDO nimehitimu diploma ya mipango na pia nina uzoefu na kazi hizo tafadhari ningependa kufanya kazi nanyi na pia nitashukuru endapo ombi rangu ritakubariwa.ASANTE.

  simu: 0766806949

 104. Naitwa Frank deusdedith
  Elimu yangu ni diploma ngazi ya msingi,Ninao uzoefu wa masuala mbalimbali ya haki za watoto hii ni kutokana na kuhudhuria semina mbalimbali zinazohusiana namna ya kumlinda mtoto lakini pia kutokana na taaluma yangu nnao uwezo wa kuwahudumia watoto “put children First”
  Naomba ya simu 0758957321

 105. Inaitwa Jacktone J Tiibuza nina level 3 ya motor vehicle mechanics na ni dreva kwa kiwango cha PSV naomba kufanya kazi na ninyi
  Ntashukuru sana
  0715359181

 106. Naitwa Rukia Mubah nina certificate ya data collection ningependa kufanya kazi na nyinyi contact 0717655090

 107. Naitwa mwanamvua Ally Mohamed
  Nimesoma CERTIFICATE OF COMMUNITY HEALTH WORKERS, katika chuo cha Ellijery training Centre kilichopo Muheza Tanga, ninauzoefu katika kazi hii, naomba kufanya Kazi na nyie, natumai kupata jibu la ndio, ahsante
  Nambari yangu ya simu:0656548208

 108. Ninaitwa Issa Deus Gregory nimemakiza elimu ya afya ngazi ya jamii(community health) Katika chuo Cha uuguzi na ukunga Kiomboi nnaomba kufanya kazi Katika shirika lenu nipo tayar kufanya kazi eneo lolote nipo Geita
  Phone number 0753217191
  Email: issadeus3@gmail.com

 109. Kwa jina naitwa sadam said Mohamed nipo dar es salaam,Nina elimu ya kidato Cha nne .ninapenda kufanya kazi nanyi katika ngazi ya udereva nimepata mafunzo katika chuo Cha taifa Cha usafirishaji N.I.T .Nina grade two V.I.P pia ni mzoefu katika maswala udereva hivyo napenda kuomba nafasi hii .
  Kwa mawasiliano 0715 445 934
  0684 820 760

 110. My name is Issa Deus Gregory from Geita I have graduated certificate in community health at Kiomboi school of nursing arleady to work in any place according to the announcement I have experience in community health work and Care of children. I will happy if my request Will be accepted.
  Phone number 0753217191
  Email: issadeus3@gmail.com

 111. am Robert samwel,I need to work with this company I don’t have big education,but my mind still work,am ready when your need me mobile:0756290251

 112. First name; Abdallah Middle name; Ngano. Last name; Ibrahim. Nationality; Tanzanian. Birth;10 October 1994. Marital status; Single. Sex;Male. PROFESSIONAL TRAINING 2018-Agust 6 to November 9,The National Institute of Transport Dar es salaam, Tanzania.Obtained Self defense driver in VIP course. EDUCATION BACKGROUND. Certificate in form four level at Azania Secondary School. Certificate in form six level at Mbezi Beach High School Certificate in Primary School in Kisangara School. I would like apply in driver category, Thanks. For more information call number 0654830059

 113. Naitwa Leonora Q. Kasese nina diploma ya maendeleo ya jamii kutoka chuo chaserikali za mitaa Hombolo

 114. Name: Eliya s . mtondoo
  Nationality: Tanzanian
  Birth: 24.04.1994
  Sex: Male
  Education level: Certificate in civil engineering and community development.
  I’m happy and sure my application request are accepted. Thank you.

 115. Ninaitwa Leonard Francis Makala,,nina umri wa miaka 20, nimesomea afya katka fani ya uhudumu wa afya katika ngazi ya jamii yaani(Basic Technician Certificate in Community Health)katika chuo cha afya na mazingira Ngudu wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza,,ninaomba kufanya kazi katika shirika lenu maana ninauzoefu na kazi na nitafanya kazi kwa uadilifu na utendaji bora kama inavyotakiwa,,nitafurahi sana endapo ombi langu litakubaliwa..Ahsanteni kwa fursa hii na matumaini yangu maombi yangu yatakubaliwa…kwa mawasiliano namba zangu ni 0769323057 /0717591505

 116. Naitwa Emanuel chale. Nina Diploma ya ualimu sekondari, napenda kuomba nafasi ya kazi katika hili shirika. Kwani nipo tayari kufanya kazi kwa bidii zote na mahali popote bila kinyonga . Nitashirikiana nanyi nyote kwa heshima zaidi kuhakikisha maendeleo ya shirika yanazidi kisonga mbele zaidi.
  Simu na.0766538765
  E-mail. http://Www.emanuelchale87@gmail.com

 117. Naitwa Venant Walter kutoka Korogwe Tanga nina Diploma ya Ukaguzi wa shule kutoka chuo cha uongozi wa elimu ADEM Bagamoyo.Napenda kuomba ajira katika shirika lenu katika kitengo kinachohusiana na masuala ya elimu kwa watoto kama sehemu ya haki yao ya msingi.Pia ninao uzoefu wa miaka 15 katika kazi ya ualimu hasa elimu msingi katika halmashauri za Misungwi-Mwanza na Korogwe-Tanga mpaka sasa.Napenda sana kuona haki za watoto zinatimizwa pasipo kukandamizwa.Nitafanya kazi kwa moyo wote na sehemu yoyote hapa nchini kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi na za shirika pia.Namba yangu ya simu ni 0764993160.

 118. Naitwa Salim juma nimesoma tangazo la kazi katika website yenu
  Mimi ni derevaa ninauzoefu wa miaka minne ni mtanzania Nina miaka ishirin na nne
  Mawasiliano ni 0658639723

 119. Mimi ni mkazi wa dar es salaam ni muhitimu wa cozi ya udereva nilikua natamani sana kufanya kazi na ninyi endapo nitapata nafasi katika kitengo chenu asante

 120. Naitwa datus ni dreva mwenye uzoefu wa mda wa miaka sita barabaran pia nimehitim katka coz ya (PSV) pale chuo cha usafirishaji elimu yangu kidato chq nne hvyo niko tial kufanya kaz sehem yyte ntakayopangiwa.

  0763894856,0655894856

 121. Naitwa datus ni dreva mwenye uzoefu wa muda wa miaka sita barabarani pia nimehitimu katika coziya (PSV) pale chuo cha usafirishaji elimu yangu kidato cha nne hivyo niko tiali kufanya kazi sehemu yoyote ntakayopangiwa.

  0763894856,0655894856

 122. Naitwa Andrew mathew , elim yangu kidato cha nne nimesomea mafunzo ya udreva veta tabora ninauzoefu wa kutosha naomba kazi katika organization yenu. Nitafurah endapo ombi langu litafikiliwa
  Naomba yangu ni
  0752361052

 123. Naitwa august mlingi nina certficate ya community worker ningependa sana kufany kaz katika kitengo chenu 0682029848

 124. Naitwa Bernard Albano Ngatunga nipo songea nimehitimu elimu ya maendeleo ya jamii ngazi ya Diploma , naomba nafasi yakazi katika shirika la haki za watoto, nipotayari kufanya kazi kwa uadilifu na uaminifu na mahalipopote nitakapo pangiwa . 0713258120/0753050564.

 125. Kwa jina naitwa delifinus deocles , nnaumri wa miaka 20 mzaliwa wa muleba kagera , elimu yangu ni certificate of rural development planning of Dodoma at mwanza campus , naomba kazi kwenye taasisi yako na haidi kufanya kazi kwa juudi na kuheshimu waajiri wangu pamoja na wafanyakazi wenzangu.
  Nitashukuru kama utanikubalia kupata kazi kwenye taasisi yako
  Nakutakia kazi njema , na namba yangu ya simu ni 0756992715

 126. EDGAR LIGANGA
  PO BOX 2000,
  DAR ES SALAAM.
  0715440171
  edgarjohnliganga@gmail.com

  I am Edgar Liganga have graduate in MOTOR VEHICLE AND MOTOR CYCLE BASIC DRIVING with Certificate and Driving Lisense.
  Also attended to A Basic Computer Science (IT) at Don bosco Vocational Center.
  I have Experience of One year as I worked Ulanga Mahenge Hospital and Dar es salaam University of College as IT.
  I have pleasure to work and to Cooperate with You in Various activities such as Graphics Design, Web pages, Internet and Emails and Software Installation.
  I’m forwarding this comment for a positive from You.
  Your Faithful.
  EDGAR LIGANGA

  • Naitwa Rehema James nipo dares salaam nina certificate ya hotel management na customer care na nina uzoefu wa muda mrefu tafadhali naomba kazi katika kampuni yenu nipo tayari muda wowote mtakaponihitaji.
   Kwa mawasiliano ni 0715181251au0755181251 asanteni

 127. Naitwa joyce chiza nipo kigoma nina certificate ya community heath worker ninaomba kufanya kazi kwenye kampuni yenu nipo tayari mda wowote mtakapo nihitaji kwa mawasiliano 0742485316

  • mim ni msichana miaka 22 naishi Dar es salaam nmhitimu ngaz ya Chet ,, certificate ya utunzanji kumbukumbu naomba nafas katika kampuni yenu ,, nitajitahid kufanya kaz Kwa bidii zangu zote,,,,,,n
   nitashukuru sana Kama ombi langu litakubaliwa

   Asanten
   number,,0746046153

 128. Naitwa jane lungwa, nipo dar es salaam ninadiploma ya maendeleo ya jamii nipo tayari kufanya kazi na nyie na ninasifa zote.

 129. Naitwa jane lungwa ninaishi Dar es salaam ninadiploma ya maendeleo ya jamii, nipo tayari kufanya kazi na nyie. 0711565558

 130. Naitwa Munene Victor Meowi
  Nina umri wa miaka 22 . nimemaliza kidato cha nne nchini kenya. Naombeni kazi kwani niko na bidii ya kufanya kazi.
  Namba zangu kwa mawasiliani
  0767265219

 131. naitwa Mary lodrick kigahe ninacertificant ya community health workers npo wilaya ya iringa mkoa wa iringa .ninauzoefu na kaz pia tayar kufanya kaz popote pale namba zang 0755977197 ,0654433946

 132. naitwa Regina p mwakapalila ni muhitim wa afya Na jamii (community health worker) certificate level, Unaumri wa miaka 22 ni mkazi wa mkoa wa pwani wilaya ya Bagamoyo .

  call:0766973366,
  0658693578

 133. Naitwa Khamis H Juma Mimi ni dereva mwenye udhoefu wa miaka 6..Elimu yangu ya mafunzo nimeipata chuo cha NIT kosi ya PSV na elimu yangu ni kidato cha nne…
  My phone number 0657544387

 134. naitwa Lucy Mwakalindile nipo dar mm ni laboratory assistant nipo tayar kufanya kazi nanyie sehem yoyote
  0715054518
  0784761389

 135. Naitwa magreth elias mkazi wa arusha nina certificate ya ualimu na ninaizoefu wa miaka kumi nitafanya kazi yeyote kulingana na elimu yangu

  • Naitwa magreth elias mkazi wa arusha nina certificate ya ualimu na ninaizoefu wa miaka kumi nitafanya kazi yeyote kulingana na elimu yangu.namba ya cm 0754535462

 136. Naitwa killian Mapunda nipo songea, nimeitimu kidato cha sita ndani ya mchepuo wa HKL nipo tayari kufanya kazi na nyie kwenye idara yoyote ile. Namba yangu ni 0767355942

 137. I’m Galucha Juma a boy aged 28 years old I’m a degree holder in Art and Education especially in Geography and Literature in the university of Dar es salaam main campus, I have very interested in Children’s Dignity Job vacancy according to your announcement provided out I’m ready to work with your organization to bring positive changes in good manner. hopefully my request will be answered in accordance. 0759451215/0787855358.

 138. Naitwa Alphonsina Francis Kihwele nina umri wa miaka 25.Nina elimu ya stashahada ya naendeleo ya jamii.Ninaomba kufanya kazi nanyi katika shirika la ………………..kwani nina uzoefu wa kazi kwani nimefanya kazi katika shirika la USAID kizazi kipya kwa muda wa mwaka mmoja nikiwa mwelimishaji rika wa kijamii.Hivyo basi ninaomba kazi katika shirika hilo la ………….ili tusaidiane katika ujenzi wa jamii bora
  Nitashurukuru endapo ombi langu litakubaliwa.
  mawasiliano 0711561520
  au 0754321473

 139. Naitwa saumu Mgeni kutoka Zanzibar nina umri wa miaka 26 niliyemaliza shahada ya kwanza ya early childhood education .Ninaomba kufanya kaz nanyi katika shirika children dignity forum . Ninauzoefu wa computer na kuzungumza kiengera kiufasaha pia nipo tayar kufanya kaz kwa ushikiano na uaminifu na bidii simu no 0675441829.

 140. My name is Maria Issaimani, 33 years of age. I have Diploma in Business management from Central Johannesburg College, Parktown Campus, South Africa.
  Currently working at KISEDET (Kigwe Social Economic Development and Training) the NGO that based in Dodoma.

  Cell no. +255654161936
  E-mail: issaimanim@gmail.com

 141. Naitwa Stella sylvanus,elimu yangu ni ngazi ya cheti.nimehitimu chuo cha slads
  Course ya librarian and record management. Naomba kazi katika taasisi yako.namba zangu ni 0687406784.natumaini ombi language litakubalika.

Comments are closed.