JKT : New Opportunities to Join JKT Training 2019 for Tanzanians | JKT vijana wa Kujitolea

Nafasi za kujiunga na Jeshi JKT

JKT wa kujitolea, Nafasi za kujiunga na jeshi , JKT wa kujitolea 2019, Ajira JKT, Nafasi za kujiunga na jeshi, JKT 2019, www.jkt.go.tz, JKT Ajira, Jinsi ya kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, Jinsi ya kujiunga na JKT, JKT ajira mpya, JKT vijana wa Kujitolea

New Opportunities to Join JKT Training 2019 for Tanzanians
National service is a system of either compulsory or voluntary government service, usually military service. Many young people spent one or more years in such programmes. Compulsory military service typically requires all male citizens to enroll for one or two years, usually at age 18 (later for university-level students), while voluntary national service requires only three months of basic military training.

 

JKT  has announced Opportunities for all Tanzanians who are willing to Join JKT Training for 2019

National Service was established on 10th July 1963 emanating from the ideas of the Father of the Nation, the late President Julius K Nyerere who once said ” National Service is the demand made by the Nation on youth and youth response in fulfilling their duty in building the Nation”.

The National Service was established by the National Service Act to bring together the youths of Tanzania for the following purpose:

 • Work together in order to build the sense of nationalism.
 • Develop cultural and sociological awareness.
 • Provide skills, build economic independency, and reduce unemployment.
 • Train and develop the youth for national service and assist the government during natural disasters and calamities.
 • Build and develop the national economy.
 • Provide military training for national defense.

DOWNLOAD OR VIEW PDF FILE FOR MORE DETAILS AND INSTRUCTIONS ON HOW TO JOIN JKT 2019
 

SOURCE: Muungwana Blog

SEE ALSO:
JKT AWAMU YA PILI 2019| LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICES-SECOND ROUND

JKT KWA MUJIBU WA SHERIA 2019| LIST OF SELECTED STUDENTS TO JOIN JKT 2019 NATIONAL SERVICES

Total
5
Shares
81 comments
   1. nashukuru kwa kupewa taarifa ya kujiunga na jtk napenda sana kazi ya jeshi naombeni nafasi ya kujiunga

    1. niko tayari kulitumika jeshi la nchi yangu kwa kujitolea namba yangu n 0693078884 na hii ni namba ya mam yangu 0759444755

  1. Niko tayari lulitumikia jeshi la nchi yangu kuilinda nchi yangu na vilivyo ndani yake kwa damu na nyama yangu elimu yangu kidato cha nne sijui na mna ya kujiunga na jeshi 0674138553

   1. Niko teyari kulitumikia taifa langu ningefurahi sana ningepata nafasi hii ya kujiunga na jeshi mwaka huu
    Kwa moyo wangu wote 0678015906

  2. Natamani but napenda kuuliza ukiwa ulimaliza kidato cha nne 2010 unaruhusiwa kujiunga leo

   1. Ninapenda sana kujitolea na pia ninaomba nafasi ya kujiunga na kujitokela kwa unyenyekevu mkubwa sana kuitumikia jeshi na kudumisha amani yetu miaka yang 25 nitafurahi endapo mtanisaidia 0718239835

 1. Ningeshukuru sana kupata nafasi ya kujiunga na JKT
  Nitashukur sana iwapo nitachaguliwa ili kujenga taifa letu
  Nilitaman san kupata nafasi huu maan ni kitu ambacho nakupenda kutoka moyoni
  Lugha ninazozungumza ni kiswahili kingereza na kiarabu shukran

  1. Nipo tayali kutumikia.nchi yangu kwaa moyo wangu wote Nina elim ya kidato cha4 no yangu ya simu 0763121144

 2. Mpendwa kaka au dada
  Kwa heshima na taadhima,ninayo furaha kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga nchi kwaaakili yangu timanu pasi na kushawishiwa na mtu yeyote
  Nitashukuru endapo ombi langu litakubaliwa ni mkazi wa ruangwa vijijini elimu ni ngazi ya chuo ngazi ya cheti elimu ya biashara
  Wako mtiifu katika kulijenga taifa.

  1. niko teyari Kama nitapata nafsi yakujiunga na jeshi LA kujenga taifa Nina elimu ya form four namb zangu 0717541620

  2. Naitwa Richard Mhoza, Niko tayari kujiunga na jwtz kwa moyo wangu wore katika kujenga taifa.0742733619

 3. Nipo tayari kutumikia nchi yangu ningefurahi kama ningepata nafasi ya kujiunga na jeshi elimu yangu ni form four namba ya simu 0768025918

   1. Naweza kua na email yenu ili niweze kupata kuwasiliana nanyi kwa urahisi zaid

   2. Ndg
    Niko Tayar kujiunga na mafunzo ya jkt, kwa akili yangu timamu, bila ya kushawishiwa na mtu yeyote kulitumikia taifa langu. Nashukur sana endapo ombi langu litakubalika.wako Regina Gerson.
    Kwa mawasiliano 0764924781.

 4. nitashukuru sana kama nitapata nafasi ya kutumikia jeshi la nchi yangu

 5. Ningependa kujiungakwenye hizi nafasi za jeshi yetu niko na certificate ya tour guide and operation kama nafisi inawezekana Niko tiali my number 0763977731 pamoja katika ujenzi wa taifa

 6. wapenda ndugu zangu nitashukuru sana na kujitolea kwa moyo wangu wote iwapo nitapata nafasi hii ya kujiunga na jeahi la kujenga taifa JKT naahidi nitajitolea kwa moyo wangu wote asante

  no 0743669980

 7. Mpendwa msomaji Mimi nimtanzania mwenye umri wa miaka23, Nina akiri timamu Nina elimu yangu ningazi yachuo nimeitimu masomo yangu RVTSC mwanza ngazi yacheti ubunifu(DSCT) nimkazi wakagera ninayo furaha kuomba nafasi yamafunzo yajeshi lakujenga taifa nikazi ninayoipenda bira ushauri wamtu nitashuku endapo ombi langu litakubarika. 0756067431

 8. Ningependa sana hii nafasi isinipite kujiunga na jeshi no moja ya ndoto yangu kubwa sana ambayo huwa naifikilia naombeni kama mtapendezwa nami namba zangu ni 0763892712/ na 0659771600 elimu darasa la saba7

 9. napenda sana kujiunga na jeshi la kujenga taifa lakini nimepitiliza nina miaka 25 na nina nguvu na afya njema nimaombi yangu kama nitapata nafasi nitafanya vizuri sana nina elimu S T D 7 Mungu awatangulie

 10. DALTONE MATHAYO Number

  0716_170652
  0759_228283 tupambane katika ujenzi

 11. Napenda sana kujiunga na jenga taiga kama kuna nafasi naomba nijiunge Mimi nmalza form six mwaka huu 2019 no yangu 0743810519

 12. Naitwa Edward Michael Mmanywa naishi Tabora Napenda sana kulitumikia taifa langu na ninapenda pia kujiunga na JKT nina elimu ya kidato cha nne ila matokeo yangu sio mazuri sana naitaji nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa cheti cha elimu ya msingi
  Wako katika ujenzi wa Taifa Edward Michael Mmanywa

 13. MPENDWA KAKA AU DADA KWA HESHIMA NA TAADHIMA,NINAYO FURAHA KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA NCHI KWAAAKILI YANGU TIMANU PASI NA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NITASHUKURU ENDAPO OMBI LANGU LITAKUBALIWA NI MKAZI WA MWANZA ISAMILO ELIMU KIDATO CHA NNE WAKO MTIIFU KATIKA KULIJENGA TAIFA

 14. MPENDWA KAKA AU DADA KWA HESHIMA NA TAADHIMA,NINAYO FURAHA KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA NCHI KWAAAKILI YANGU TIMANU PASI NA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NITASHUKURU ENDAPO OMBI LANGU LITAKUBALIWA NI MKAZI WA MWANZA ISAMILO ELIMU KIDATO CHA NNE WAKO MTIIFU KATIKA KULIJENGA TAIFA

 15. MPENDWA KAKA AU DADA KWA HESHIMA NATAZIMA NINAYO FURAHA KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA NCHI KWAAKILI YANGU TIMAM PASI NA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NITASHUKURU ENDAPO OMBILANGU LITAKUBALIWA NI MKAZI WA MOSHI MJINI ELIM DARASA LA SABA WAKO MTIIFU KATIKA UJENZI TAIFA

 16. Ndug: Kwa heshima na taadhima ninayo furaha kuomba nafasi ya kujinga na nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa (j.k.t) kwa akili yangu timamu bila kulazimishwa na mtu yoyote. Matumaini yangu ombi langu litakbaliwa wako katika ujenzi wa taifa

 17. Naitwa victor mushi kutoko moshi ninayo furaha kuomba nafasi ya kujiunga na mafunzo ya kujenga inchi kwa akili yangu timamu bila kushawishiwa na mtu nashukuru endapo ombi lingu litakubaliwa ni mkazi wa moshi kidato cha nne wako mtiifu katika kujenga taifa 0621528669

  1. Napenda kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga taifa JKT Nitashukuru sana endapo ombi langu litakubaliwa.0621518669

  2. npend kujiung na jeshi la kujenga taifa nitafurahi kama ombi langu litfika sehem husika 0687141873

 18. Hyo PDF inaonekana kuna hitilafu ktk kuipata ili kujua nini cha kufanya ili kupata nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa (JKT).
  Kama kuna mwenye nayo anisaidie Kwa WhatsApp number 0676575823 ili kutumia fursa hii

 19. Naomba kujiunga na jeshi nitafurahi sana kama nitafanikiwa Kujiunga.0621518669

 20. Maombi yangu ni kupata nafasi ya kujiunga na jkt kwa kujitolea kwa moyo kupata mafunzo katika maisha na si ajira

 21. Nilikua na hitaji nafasi ya kujiunga katika mafunzo ya jkt

 22. Naitwa thabith dauda kombo Niko mkoan kagera elimu yangu nimemariza kidato cha NNE 2016 Kwa sasa nimejiunga kwwnye ufundi Wa magar na ninamiaka minne tangu nimejiunga kwenye ufindi Kwa heshima na tahadhima naomba nafasi ya kujiunga na jeshi na napenda kutumikia Taifa Kwa moyo wangu ntashukuru endapo ombi rangu ritakubariwaa namb ya simu 0753962335 asantee Sana napenda taifa ranguu

 23. Naitwa lucas benedicto toka kibondo , napenda sana kujiunga na jkt kwa ufanisi wa kulijenga taifa , elmu yangu kidato cha 4 , pia ni muhitimu wa receive command militial (jeshi la akiba) nitashukuru nikipata nafasi hii ili niweze kulitumikia nchi yangu. Contact :0625137992

 24. Naitwa Rehema Kenneth ni mkaz wa dar es salaam ninapenda kujiunga na jesh la jkt elimu yang n kidato cha Nne nitafurah San kam Nitafanikiw kujiunga na jesh ili kuitumikia nchi yang namb zang ni 0655990426 wako katik ujenz wa taifa

 25. kwamajina naitwa frank moses timotheo ni muhitimu wakidato channe mwaka 2018,Mimi kama kijana wakitanzania naomba maombi yakujiunga na jeshi la jkt kwa kujitoa kwa moyo wote,kwa mawasiliano zaid 0754883205. ahsante….

 26. naipenda nchi yangu na Niko tiyari kuitumikia kwa miaka yote Nina sifa zote za kujiunga Nina akili timamu na Nina mafunzo ya scout kwa ngazi ya taifa nimesomea veta cozi ya electrical installation certificate naomben niwe mojawapo kati ya wanaoenda mafunzo hayo asanten

 27. Lang jina GODFREY a’k’a (jemedali) na mwaka uhu nakwanda kujiunga kidato cha tano na malengo yang kujiunga na jwtz kwa yeyote atakaye itaji naye kwenda uko naomba tungane pamoja tukalinde nchi yetu find me 0763800143

 28. Naitwa Christian Ally naishi Arusha lakini nimzawa wa Mbeya ‘NIPO TAYARI KUJITOLEA NA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA{JKT}’ +255743076692 Tafadhali naomba maelezo mimi nipo Arusha na nimgeni Je nikienda kwa OCD wa Arusha atanisikiliza ama mpaka OCD wa Mbeya.? Tafadhali.

 29. Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa jkt nitafrahi Kama ombi langu litakubaliwa nimehitimu kidato Cha nne namba ya simu 0764029500

 30. Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi LA LA kujenga taiga jkt nitafrahi kama ombi language litakubaliwa nimehitamu darasa LA saba 0712652506

 31. Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa jkt nitafrah kama ombi language litapokelewa 0712652506

Comments are closed.

Previous Article
DUCE Nafasi za kazi

Job Vacancies at DUCE, Tutorial Assistants

Next Article
ajira mpya wizara ya afya

30 Government Part Time Jobs at IRINGA District Council

Related Posts